You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
02.01.2025 Matangazo ya Mchana
Maafisa wa Palestina wamesema shambulio la anga la Israel limewaua zaidi ya watu 10 katika Ukanda wa Gaza+++Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo upande wa Tanzania Bara, Tundu Lissu, ametoa angalizo kuhusu uchaguzi mkuu wa chama
02.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Mlima Kilimanjaro umetajwa katika tafiti za kisayansi kukumbwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi, ikiwepo kuyeyuka kwa barafu yake+++Wanajeshi wastaafu kutoka mataifa ya Ulaya wanataka kuwatimua waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
01.01.2025 Matangazo ya Jioni
Watu 10 wamekufa na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa baada ya dereva kuparamia umati huko New Orleans, Marekani++Romania na Bulgaria zaingia rasmi katika eneo la Schengen++Saudi Arabia yaanza kampeni ya kupeleka misaada Syria
Watu 10 wamekufa Marekani baada ya dereva kuparamia umati
Watu wasipungua 10 wamekufa baada ya dereva kulivurumisha lori lake kwenye umati wa watu huko New Orleans, Marekani.
01.01.2025 Matangazo ya Mchana
Mamilioni ya watu duniani kote wameukaribisha mwaka mpya 2025++Wapalestina 17 wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya al-Bureji++Usambazaji wa gesi ya Urusi kwenda mataifa ya Ulaya kupitia Ukraine wasitishwa
01.01.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Ulimwengu waukaribisha mwaka wa 2025 kwa matamasha na fataki // Polisi ya Berlin yamkamata mshukiwa wa shambulio la kisu // Na Ivory Coast na Senegal zawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka mwaka huu
Mwangaza wa Ulaya: Mapitio ya mwaka 2024
Katika kipindi hiki maalum ambapo tutasafiri wote kwa muda wa dakika ishirini kuyakumbuka mambo muhimu yaliyotokea barani Ulaya mnamo mwaka huu wa 2024 uliogubikwa na masuala ya siasa, mabadiliko ya uongozi katika taasisi muhimu, vita vinavyiendelea nchini Ukraine, chaguzi mbalimbali, mafuriko, mioto ya nyika, na hata michezo. Ungana na Bakari Ubena.
Matangazo ya mchana: 31.12.2024
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wamewafungulia mashtaka watu watatu kwa njama ya ujasusi. Mshukiwa mkuu, Dieter S., inaaminika kuwa ni mwanamgambo mkongwe wa kundi la wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi nchini Ukraine, ambalo Ujerumani inalizingatia kuwa la kigaidi.
Mahakama yatoa waranti ya kukamatwa rais wa Korea Kusini
Hii ni mara ya kwanza kwa rais aliye madarakani nchini humo kukabiliwa na uwezekano wa kukamatwa.
31.12.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Mamia ya askari waachiwa katika mabadilishano ya karibuni kati ya Urusi na Ukraine // Mahakama ya Korea Kusini yatoa waranti wa kukamatwa kwa Rais Yoon // Na WHO yasema bado inasubiri data za UVIKO-19 kutoka kwa China
Matangazo ya Jioni 30.12.2024
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Rais wa Marekani Joe Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine. Polisi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imewafurumusha kwa mabomu ya machozi na kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakiandamana kupinga kuongezeka kwa wimbi la utekaji nyara.
30.12.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100 // Korea Kusini yaomboleza watu 179 waliokufa katika ajali ya ndege // Na Waziri mkuu wa Israel Netanyahu aendelea vizuri baada ya upasuaji wa kuondoa tezi dume
Matangazo ya Jioni | Disemba 29, 2024
Matangazo ya Mchana | Disemba 29, 2024
Hatimaye Ruto aahidi kukomesha utekaji raia
Ruto ameahidi kukomesha matukio ya utekaji nyara kufuatia shinikizo la umma baada ya watu kadhaa kutoweka.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 28 Disemba 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 28 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
28.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuna idadi kubwa ya watoto wanaishi katika maeneo ya migogoro au wamelazimishwa kuyahama makaazi yao kutokana na migogoro hiyo.
28.12.2024 Matangazo ya Asubuhi
Zaidi ya familia 2,000 zimekimbilia Malawi wiki hii kutokana na machafuko yanayohusiana na uchaguzi//Changamoto ya kisera ya Ujerumani kuendelea hata baada ya uchaguzi//Poland yajiandaa kwa uenyekiti wa mzungumzo wa Umoja wa Ulaya kutoka kwa Hungary.
27.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amelivunja bunge+++Nchini Kenya, mashirika ya haki za binadamu, chama cha mawakili, na asasi nyingine zimelaani visa vya utekaji wa watu kiholela+++Vikosi vya Israel leo vimeivamia Hospitali ya Kamal Adwan, mojawapo ya hospitali tatu za mwisho Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
27.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Jeshi la kongo FARDC limetangaza kuwakamata askari wa kikosi maalum kutoka jeshi la Rwanda wakati wa mapigano huko wilayani Lubero mkoani kivu kaskazini+++Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura ya kumuondoa madarakani kaimu rais wa taifa hilo Han Duck Soo, ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya Yoon Suk Yeol kusimamishwa kazi
27.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Ukraine inataka kujiunga na Jumuyia ya Kujihami ya NATO mara moja ili angalau iweze kuzilinda sehemu za nchi ambazo hazijachukuliwa na Urusi+++Watu waliokimbia vita katika baadhi ya vijiji huko Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, na waliopewa makaazi katika kambi za wakimbizi wameanza kurudi makwao.
27.12.2024: Taarifa ya Habari za Asubuhi
Watawala wa Syria waanzisha operesheni kwenye ngome za Assad
Serikali ya mpito ya Syria imeanzisha leo operesheni kwenye ngome ya rais aliyeondolewa madarakani Bashar al-Assad.
Matangazo ya Jioni: 25.12.2024
Sikiliza Matangazo ya Jioni kutoka DW Kiswahili
Takriban watu 28 waokolewa wakiwa hai katika ajali ya ndege
Takriban watu 28 waokolewa wakiwa hai katika ajali ya ndege
Christian Lindner atoa wito kwa Wasiyria warudi kwao
Christian Lindner atoa wito kwa Wasiyria warudi kwao
Japan na China zakubaliana kufanya mazungumzo ya usalama
Japan na China zakubaliana kufanya mazungumzo ya usalama
Meli ya mizigo ya Urusi yazama baada ya kulipuka
Meli ya mizigo ya Urusi yazama baada ya kulipuka
Taliban yasema watu 46 wauawa kwenye mashambulio ya Pakistan
Taliban yasema watu 46 wauawa kwenye mashambulio ya Pakistan
Korea Kusini: Aliyekuwa Rais akaidi agizo la kuhojiwa
Korea Kusini: Aliyekuwa Rais akaidi agizo la kuhojiwa
Matangazo ya Mchana 25.12.2024
Wakristo duniani kote washerehekea sikukuu ya Krismasi. Ndege ya abiria ya shirika la ndege la Azerbaijan yaanguka. Urusi yafanya mashambulio makubwa nchini Ukraine
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 25, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 25, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Jioni 24.12.2024
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi. Israel inaendeleza vita vyake dhidi ya wanamgambo katika Ukingo wa Magharibi. Tamasha la kuwakumbuka walioangamia Magdeburg kufanyika siku ya Alhamisi. Raia wa Marekani mwenye asili ya Urusi afungwa miaka 15 jela kwa madai ya kijasusi
24.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza serikali yake jana jioni na kuweka timu itakayokuwa chini ya Waziri Mkuu mpya Francois Bayrou ambaye waziri wake mkuu wa nne mwaka huu.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 24, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 24, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
23.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Baraza la katiba nchini Msumbiji, muda mfupi uliopita limeyaidhinisha matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi, mgombea wa chama tawala cha Frelimo, Daniel Chapo+++Kundi la wataalamu wa afya wa Palestina limesema mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha mauaji ya watu 20.
23.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Waombolezaji wameendelea kuweka maua kwa wingi, mishumaa na wanasesere au midoli, mbele ya kanisa la Johanneskirche, katika mji wa Magdeburg+++Juhudi za kusaka suluhisho kwa mgorogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaonekana kugubikwa na mkwamo kufuatia matamshi ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kwamba katu hawezi kuzungumza na waasi wa M23
23.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 23, 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Disemba 23, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Jioni: 21.12.2024
Raia wa Ujerumani wanaomboleza kuwakumbuka waathiriwa wa mkasa katika mji wa Magdeburg. Papa Francis amezungumzia kile amekiita "ukatili" unaotendeka Ukanda wa Gaza. Watawala wa Syria wamemteua waziri mpya wa mambo ya kigeni.
Matangazo ya Mchana: 21.12.2024
Sikiliza Matangazo ya Mchana kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
21.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya, Ursula von der Leyen alaani shambulizi kwenye soko la Christmas mjini Magedburg, Ujerumani: Mamlaka mpya nchini Syria wasema unataka kuchagia amani ya kikanda na kukataa migawanyiko Na Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF yaidhinisha malipo ya dola bilioni 1.1 kwa ajili ya Ukraine. Ungana nasi kusikiliza zaidi taarifa ya Habari ya asubuhi ya leo.
Makala ya Afrika wiki hii
Kimbunga Chido kilisababisha maafa makubwa na uharibifu katika mataifa mbalimbali. Mabadiliko katika uongozi wa jeshi nchini DRC yaliyofanywa na rais Tshisekedi yazusha mjadala. Tanzania na Somalia zatia saini mkataba wa ushirikiano. Kauli za mtoto wa rais wa Uganda na Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo Jenerali Muhoozi Kainerugaba yaendelea kuzusha hali ya sintofahamu.
20.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Urusi imefanya mashambulizi ya makombora alfajiri ya leo Kyiv, yakiua mtu mmoja na kuharibu ofisi sita za kibalozi pamoja na chuo kikuu katikati mwa mji huo mkuu wa Ukraine+++Mke wa mwanawanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda Dokta Kizza Besigye amesema kuwa mumewe hataomba dhamana katika mahakama ya jeshi
20.12.2024 -Matangazo ya Mchana
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amefanya mabadiliko katika uongozi wa jeshi la nchi hiyo ambayo yalisubiriwa kwa muda mrefu+++Marekani inakabiliwa na hatari ya kufungwa kwa shughuli za serikali kesho Jumamosi baada ya Baraza la Wawakilishi linaloongozwa na Warepublican kukataa mpango wa kuepuka hali hiyo
20.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Viongozi wakuu wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kujadili masualaa kadhaa muhimu, ikiwemo msaada kwa Ukraine+++Shirika la misaada la Ujerumani GIZ limeadhimisha miaka 25 ya ushirikiano na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
20.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Karibu usikilize taarifa ya habari asubuhi ya leo hapa DW Kiswahili. Miongoni mwa utakayoyasikia ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine auomba Umoja wa Ulaya kutoiacha pembeni Marekani wanapoisaidia vitani: Rais wa Urusi Vladimir Putin asema yuko tayari kufanya maafikiano kuhusu vita vya Ukraine na Israel yashutumiwa kwa "vitendo vya mauaji ya halaiki" na "safishasafisha ya kikabila". Sikiliza.
19.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Misri imekuwa mwenyeji wa viongozi wa Uturuki na Iran kwa ajili ya mkutano wa kilele wa mataifa nane yenye idadi kubwa ya Waislamu+++Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Ronald Lamola, amewaeleza waandishi wa habari kuwa Rais Ramaphosa anashiriki mazungumzo na marais wa Msumbiji ,Tanzania na Zimbabwe, kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji.
Wafuma mazulia wanawake wa Morocco
Tunapenda sana mazulia ya kiwango cha hali ya juu na yenye kuvutia. Lakini shughuli yake unaijua? Utamaduni mkongwe wa ushonaji mazulia nchini Morocco unakabiliwa na hatari ya kutoweka. Lakini sasa kusini mwa nchi hiyo wanawake ndio wasimamizi wa kazi hiyo ya sanaa na wanajitahidi kuilinda.
19.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Israel imeshambulia ngome za waasi wa Kihouthi nchini Yemen mapema leo+++Chama cha wananchi CUF cha nchini Tanzania kimeendelea kumweka kwenye safu yake ya uongozi mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba aliyechaguliwa tena kwa muhula mwingine wa miaka mitano ijayo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 22 wa 152
Ukurasa unaofuatia