You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yarusha droni zipatazo 151 kuishambulia Ukraine
Urusi yarusha droni zipatazo 151 kuishambulia Ukraine
Miili 50 yagunduliwa kwenye makaburi ya pamoja, Libya
Miili 50 mnamo yagunduliwa kwenye kaburi la pamoja Libya
Kim Jong Un akosoa ushirikiano wa kiusalama wa pande tatu
Kim Jong Un akosoa ushirikiano wa kiusalama wa pande tatu
Rais wa kwanza wa Namibia, Sam Nujoma, afariki dunia
Rais wa kwanza wa Namibia, Sam Nujoma, amefariki dunia
Israel na Hamas wakamilisha awamu ya tano ya makubaliano
Israel na Hamas wakamilisha awamu ya tano ya makubaliano
Jumuiya za EAC na SADC zatoa wito wa amani mashariki mwa DRC
Jumuiya za EAC na SADC zatoa wito wa amani mashariki mwa DRC
Matangazo ya Jioni: 08.02.2025
Jumuiya za EAC na SADC zatoa wito wa amani katika mzozo wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas mjini Tehran. Lebanon yaunda serikali mpya ambayo ni ya kwanza tangu mwaka 2022.
Matangazo ya Mchana: 08.02.2025
Mkutano wa kilele wa EAC na SADC kuhusu mzozo wa DRC wafanyika Tanzania. Viongozi wa Afrika ya Kati walaani operesheni ya M23 mashariki mwa Kongo. Mateka watatu wa Israel na wafungwa 183 wa Kipalestina kuachiwa huru Jumamosi
Makala ya Afrika Wiki Hii
Mzozo wa Mashariki mwa Kongo unaendelea kufukuta na viongozi wa M23 walijitokeza hadharani kuzungumza na wakazi wa Goma. Mataifa ya Afrika yajiandaa kukabiliana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusitisha misaada kwenye mashirika ya kigeni. Tutaumulika mzozo wa Sudan, mripuko wa ugonjwa hatari wa Ebola nchini Uganda na mengine mengi.
07.02.2025 Matangazo ya Jioni
Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameonya kwamba ikiwa hakuna kitakachofanyika, hali huenda ikazidi kuwa mbaya, huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump, kuubadilisha uamuzi wake wa kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya ICC.
07.02.2025 Matangazo ya Mchana
Umoja wa Mataifa umetowa mwito wa amani kwa mara nyingine kuhusiana na mgogoro unaoendelea Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo+++Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya ICC kutokana na uamuzi wa mahakama hiyo wa kuichunguza Israel.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maswala ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na kuibuka tena kwa nguvu waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Sera ya kumiliki ardhi nchini Afrika Kusini yapamba moto kisiasa. Bara la Afrika latatizika baada ya Marekani kusimamisha misaada ya maendeleo na ruzuku kwa Shirika la Afya Duniani, WHO
07.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Mpango wa Rais Donald Trump wa kwamba Marekani iuchukue Ukanda wa Gaza, na kuunda kile alichokiiita "Eneo la pwani ya mapunziko ya Mashariki ya Kati" umeyafadhaisha mataifa ya Kiarabu+++Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema jana kwamba itawasilisha hoja kwa Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa
07.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz aliamuru jeshi lijiandae na safari za kuondoka kwa hiara Wapalestina kutoka Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump asaini amri kuidhinisha vikwazo dhidi ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC. Na waasi wa M23 wasonga mbele mashariki mwa Congo huku Umoja wa Mataifa ukitoa miito ya amani.
06.02.2025 Matangazo ya Jioni
Kundi la waasi wa M23 leo limefanya kikao rasmi mjini Goma, ambapo kiongozi wao, Corneille Nanga, aliwatambulisha viongozi wapya+++Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema kuwa uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa mwaka 2023 pamoja na ukosefu wa nia ya kisiasa vimeathiri juhudi za kurejesha amani katika eneo hilo.
06.02.2025 Matangazo ya Mchana
Kundi la waasi wa M23 linalosaidiwa na vikosi vya Rwanda limeanzisha mapigano mapya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Marekani imetangaza kufuta hatua ya kusimamisha misaada iliyowekwa na Rais Donald Trump ili kusaidia ujumbe wa kimataifa wa usalama kwa Haiti.
06.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Pendekezo la Rais Donald Trump kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza na kuwahamisha watu wake limeendelea kupingwa vikali+++Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Dkt Thérèse Kayikwamba Wagner, ameitaka klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani kusitisha mkataba na Rwanda.
Guterres alikataa pendekezo la Trump kuhusu Gaza
Saudi Arabia imesema haitarejesha uhusiano na Israel hadi pale kutakapoundwa Dola la Kipalestina.
05.02.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Marekani yasitisha kuchangia katika mfuko wa Umoja wa Mataifa unaosimamia shughuli za kikosi cha kiulinda amani Haiti / Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anajiandaa kukutana na viongozi wawili muhimu katika Mashariki ya kati hii leo Jumatano
05.02.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump amesema Marekani itauchukua Ukanda wa Gaza uliyoharibiwa na vita na kuunda "Eneo maalumu la pwani ya mapunziko ya Mashariki ya Kati" / Aliyekuwa kiongozi wa kiroho kwa mamilioni ya waumini wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia ya Ismailia, Aga Khan amefariki dunia.
04.02.2025 Matangazo ya Jioni
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linajiandaa kufanya kikao cha dharura siku ya Ijumaa, kuujadili mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Mazungumzo ya awamu ya pili ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza yameanza, huku Israel ikisema itapeleka ujumbe wake nchini Qatar baadaye wiki hii.
04.02.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, jana alikutana na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman mjini Riyadh, siku ya kwanza ya ziara ya siku tatu Mashariki ya Kati/ China imeijibu Marekani kwa kuongeza ushuru wa hadi asilimia 15 kwa bidhaa maalum za Marekani
03.02.2025 Matangazo ya Jioni
Viongozi wa Umoja wa Ulaya waliokutana mjini Brussels hii leo wameonya kuwa hakutakuwa na mshindi katika vita vya kibiashara na Marekani, wakisisitiza kujibu ikiwa Rais Donald Trump atatangaza ushuru dhidi yao+++Mamlaka ya afya katika mji wa Mbale ambao ni mji kuu wa mashariki mwa Uganda imethibitisha kuwa watu watano wanaugua ugonjwa hatari wa Ebola.
03.02.2025 Matangazo ya Mchana
Rwanda jana imeikaribisha miito ya mkutano wa kilele utakaozileta pamoja jumuiya mbili za kikanda kujadili mzozo unaoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, leo anatarajiwa kuanza mazungumzo ya awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kundi la Hamas.
01.02.2025: Matangazo ya Jioni
Rais wa zamani wa Ujerumani Horst Köhler afariki dunia. Burundi yaonya kuhusu kutokea kwa vita vipana zaidi kutokana na mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Israel imewaachilia huru wafungwa 183 wa Kipalestina. Watu 40 wameuwawa baada ya RSF kushambulia soko Sudan
31.01.2025 Matangazo ya Jioni
Jeshi la Uganda UPDF limesema wanajeshi wake walioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, watatafuta mbinu ya kujiimarisha kiulinzi+++Bunge la Ujerumani, Bundestag linatarajiwa jioni hii kuupigia kura muswada tata utakaoanzisha kanuni kali za kudhibiti uhamiaji.
Meza ya Duara: CHADEMA mikononi mwa Lissu
CHADEMA inasema kwamba bila mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi hakutakuwa na uchaguzi wa Oktoba 2025.
31.01.2025 Matangazo ya Mchana
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23+++Wabunge wa Ujerumani wanakabiliwa na kibarua kigumu leo cha kupiga kura kwa mara nyingine kuhusu hoja ya hivi karibuni iliyopitishwa na bunge inayotaka mageuzi katika sheria ya uhamiaji
31.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Kundi la wapiganaji wa M23 limeapa kuendelea na mapigano yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Serikali za Tanzania na Burundi zimesaini makubaliano ya ujenzi wa reli ya kisasa yenye urefu wa kilometa 282 kati ya Uvinza na Musongati.
31.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
M23 wasema wanakusudia kwenda hadi Kinshasa
Ufaransa imetoa wito kwa wanajeshi wote wa Rwanda kuondoka mara moja kwenye ardhi ya Kongo.
30.01.2025 Matangazo ya Jioni
Kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema kwamba litaendelea kusalia Goma+++Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amezuia zoezi la kuachiliwa huru kwa wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za Israel.
30.01.2025 Matangazo ya Mchana
Uingereza imeionya Rwanda kwamba inaweza kuathiri msaada wa dola bilioni moja kutokana na kuhusika kwake na machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Bunge la Ujerumani limeupitisha muswada wa kuwakataa wahamiaji wengi zaidi mipakani.
Uingereza yatishia kuikatia misaada Rwanda kwa yajiriyo Goma
Uingereza imeionya Rwanda kwamba inaweza kupoteza msaada wa dola bilioni moja kwa mwaka kutoka jumuiya ya kimataifa.
30.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Hali ya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inazidi kuwa tete+++Ujerumani inakabiliwa na mdororo wa kiuchumi huku makampuni yakitoa wito wa kufanyika marekebisho ya sera ya uchumi
29.02.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wakati taarifa zikieleza kuwa waasi wa M23 wameanza kuelekea huko Bukavu, Rwanda imetahadharisha kuwa kundi hilo huenda likachukua udhibiti wa maeneo mengine zaidi huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo/ Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema haki ya kuomba hifadhi ni lazima iheshimiwe
29.01.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa Rwanda na waasi wa M23 huko Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo/ Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema jana kwamba nchi yake inaweza kufanya mazungumzo ya amani na Ukraine
29.01.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mashambulizi ya kikabila mashariki ya Kongo // Mahakama nchini Marekani yazuia kwa muda mpango wa Trump kufungia ufadhili wa serikali // Na Waziri Mkuu wa Italia achunguzwa kuhusu kuwachiwa kwa mbabe wa kivita wa Liby
Waandamanaji washambulia balozi Kinshasa
Umoa wa Mataifa umesitisha usambazaji wa chakula kwenye mji wa Goma na maeneo ya jirani kwa sababu za kiusalama.
Ujerumani: Wapalestina hawapaswi kuondolewa Gaza
Ujerumani imesema kwamba watu wa Palestina hawapaswi kuondolewa katika eneo lao kwenye Ukanda wa Gaza.
28.01.2025 Matangazo ya Jioni
Waandamanaji washambulia balozi za kigeni Kinshasa+++Marais zaidi ya 20 wa nchi za Afrika wamekutana nchini Tanzania leo kujadili upatikanaji wa umeme kwa watu milioni 300 Afrika ifikapo 2030+++Denmark na Ujerumani zataka Ulaya iliyo thabiti zaidi kukabiliana na vitisho
28.01.2025 Matangazo ya Mchana
Wanajeshi wengine wa Afrika Kusini wauawa mashariki Kongo+++Tanzania - Mataifa ya Afrika yanatafuta namna ya kuwaunganisha watu milioni 300 ifikapo 2030+++Kulingana na serikali ya Hamas huko Gaza zaidi ya Wapalestina 300,000 walirejea Jumanne+++Rais wa Marekani Donald Trump asaini amri itakayozuia waliojibadili jinsia kuingia jeshini
Wanajeshi wengine wa Afrika Kusini wauawa mashariki Kongo
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amezungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu hali ya Kongo.
28.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
DR Congo - Muungano wa waasi unaoongozwa na kundi la M23 lenye wapiganaji wengi wa Kitutsi umesema ukemata mji wa Goma wenye wakazi zaidi ya milioni mbili+++Tanzania - Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa nchi za Afrika kuhusu nishati+++izara ya sheria Marekani yawafuta waendesha mashitaka waliozishughulikia kesi za jinai za Trump.
28.01.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa kibinaadamu unaotia wasiwasi mashariki ya Kongo // Serikali ya Ujerumani na upinzani zakabiliana kuhusu sera pinzani za mipaka // Na Wizara ya sheria Marekani yawafuta kazi waendesha mashitaka waliozishughulikia kesi za jinai za Trump
27.01.2025 Matangazo ya Jioni
Milipuko ya mizinga imeutikisa mji wa Goma leo hii// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuongeza muda wa miezi sita wa vikwazo vinavyolenga kuinyima fedha Urusi kutokana na vita vyake nchini Ukraine// Leo mi maadhimisho ya miaka 80 tangu kukombolewa kwa kambi ya Auschwitz na wanajeshi wa Kisovieti.
27.01.2025 Matangazo ya Mchana
Waasi wa kundi la M23 wameingia kwenye kitovu cha mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Goma// Israel imewaruhusu maelfu ya Wapalestina kuanza safari ya kurejea Kaskazini mwa Gaza leo Jumatatu// Takriban watu 70 wameuawa nchini Sudan katika shambulio lililolenga hospitali pekee inayofanya kazi katika mji uliozingirwa wa El Fasher.
27.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
27.01.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wadai kuukamata mji wa Goma nchini Kongo // Wapalestina wakosoa vikali wazo la Trump la kuisafisha Gaza // Na Marekani na Colombia zazozana kuhusu kufukuzwa nchini wahamiaji
Matangazo ya Jioni: 26.01.2025
Shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch limesema mzozo wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kuwa 'janga'. Israel yawazuia maelfu ya Wapalestina kurejea Kaskazini mwa Gaza. Donald Trump azitaka nchi za kiarabu kuwakubali wakimbizi zaidi kutoka Gaza. Wanamgambo wawauwa wanajeshi 20 Nigeria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 19 wa 152
Ukurasa unaofuatia