You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
03.03.2025 Matangazo ya Mchana
Viongozi wa Ulaya waliokutana jana katika mkutano wao wa kilele huko Uingereza, wamesema wataendelea kuiunga mkono Ukraine+++Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekanusha juu ya kukamatwa kwa wapiganaji 20 wanaohusishwa na mauaji ya kimbari ya Rwanda kwenye ardhi yake.
03.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi kutoka hapa Idhaa ya Kiswahili ya DW, miongoni mwa makala utakazo zisikia ni mbiu ya mnyonge, makala yetu leo, mtu na mazingira, vijana tugutuke na jukwaa la manufaa.
03.03.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Viongozi wa Ulaya waliokutana London waahidi uungaji mkono kwa Ukraine // Israel yashutumiwa kwa kusimamisha usafirishwaji wa misaada katika Ukanda wa Gaza // Na Jeshi la Uganda laingia katika mji wa kaskazini mashariki mwa Kongo
Mfungo wa Ramadhani waanza
Waislamu kwenye mataifa mengi ya Mashariki ya Kati na Ghuba wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi o1 Machi 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi o1 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Watu 23 wauawa, 20 wachukuliwa mateka Kongo
Watu 23 wameuawa na wengine 20 kuchukuliwa mateka kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Urusi yaishambulia tena Ukraine kwa droni
Urusi imefanya mashambulizi mengine makubwa ya droni nchini Ukraine, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini humo.
Starmer kuwakutanisha viongozi wa Ulaya juu ya Ukraine
Keir Starmer ameitisha mkutano wa kilele na viongozi wa Ulaya kuzungumzia hatua za kuisaidia Ukraine.
Trump, Zelensky warushiana maneno hadharani
Zelensky alisisitiza kuwapo kwa hakikisho la usalama kabla ya makubaliano yoyote na Urusi.
Taarifa ya Habari za Ulimwegu Asubuhi 01 Machi 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwegu Asubuhi 01 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Mkutano wa Zelensky, Trump wamalizika vibaya
Zelensky alishikilia ulazima wa kupatikana kwa hakikisho la usalama kabla ya kukubali usitishaji mapigano.
28.02.2025 Matangazo ya Jioni
Vyama vya kihafidhina vilivyoshinda uchaguzi wa Jumapili iliyopita nchini Ujerumani vya CDU-CSU, vimeanza mazungumzo ya awali ya kuunda serikali ya muungano na chama cha SPD+++Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema bado anafanya mashauriano na wananchi kabla ya kutoa mwelekeo wake wa kisiasa.
28.02.2025 Matangazo ya Mchana
Mratibu wa muungano wa waasi wa AFC unaolijumuisha kundi la waasi wa M23 Corneille Nangaa amethibitisha idadi ya watu 11 waliopoteza maisha+++Urusi na Ukraine zimeshambuliana vikali usiku wa kuamkia leo ambapo watu watatu wameripotiwa kuuawa huku kukiripotiwa uharibifu mkubwa
Miripuko mkutano wa M23 Bukavu yauwa 11
Miripuko hiyo ilitokea kwenye mkutano uliotishwa na kundi la waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda.
28.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 28 Februari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Dominiki yayatangaza makundi yenye silaha Haiti kuwa magaidi
Jamhuri ya Dominiki imeyatangaza makundi yenye silaha ya taifa jirani la Haiti kuwa makundi ya kigaidi.
Kim aamuru utayarifu wa silaha za nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameamuru matayarisho kamili ya mashambulizi ya nyuklia.
Ocalan aitaka PKK kuweka chini silaha
Kiongozi wa Wakurdi, Abdallah Ocalan, ametaka chama chake cha Kurdistan Workers (PKK) kuweka silaha chini.
Mkutano wa bionauwai wafikia makubaliano
Wajumbe kutoka mataifa takribani 200 wamekubaliana juu ya mpango wa ufadhili wa ulinzi wa maumbile asili na viumbe hai.
Trump amkaribisha Starmer bila ahadi ya usalama kwa Ulaya
Trump ameonesha kulegeza msimamo juu ya amani ya Ukraine bali hakumpa Starmer ahadi yoyote kwa usalama wa Ulaya.
28.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 28 Februari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
27.02.2025 Matangazo ya Jioni
Watu wasiopungua watano wamepoteza maisha wakati wa mkutano ulioendeshwa na Mratibu wa Muungano wa waasi wa M23 nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo+++Utawala wa Rais William Ruto umekosolewa na viongozi mbalimbali, wakidai kuwa ameshindwa kutimiza ahadi zake
27.02.2025 Matangazo ya Mchana
Mwendesha Mashtaka mkuu wa mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya ICC Karim Khan amesema mahakama za Kimataifa zimeshindwa kuuzuia ukatili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Hamas imeikabidhi miili ya mateka wanne wa Israel, na nchi hiyo pia imewaachia huru mamia ya wafungwa wa Kipalestina kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza
27.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 27 Februari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taiwan yasema ndege 45 za China ziliingia anga yake
Taiwan ilisema ndege 45 za kijeshi za China zimeruka kwenye anga la kisiwa hicho kilichojitangazia uhuru.
Baraza la Usalama lawajia juu waasi wa Sudan kuunda serikali
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi wa RSF.
Afrika Kusini yawarejesha wanajeshi 127 kutoka DR Kongo
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
FBI yaituhumu Korea Kaskazini kwa wizi wa dola bilioni 1.5
FBI imesema Korea Kaskazini ilihusika na wizi wa takribani dola bilioni 1.5 kupitia sarafu za mtandaoni
Trump aifutia kibali cha mafuta Venezuela
Kibali kilichoiruhusu kampuni ya Chevron Corp. kusafirisha mafuta ya Venezuela nchini Marekani kitasimamishwa wiki hii.
Merz amtembelea Macron
Friedrich Merz amefanya ziara ya kushitukiza mjini Paris kukutana na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.
27.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 27 Februari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Ramaphosa aukosowa mporomoko siasa za ulimwengu
Ramaphosa amesema ulimwengu utaendelea kurudi nyuma kutokana na kukosekana uthabiti na ushirikiano wa kimataifa.
26.02.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi mpya wa muungano wa Social Democrats bungeni, Lars Klingbeil ametoa wito wa mazungumzo ya dhati na Friedrich Merz kuhusiana na mchakato wa kuunda serikali ya muungano na chama cha Christian Democrats, CDU / Karibu watu 46 wamekufa baada ya ndege ya kijeshi ya Sudan kuanguka jana Jumanne katika mji wa Omdurman
26.02.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wapatanishi wa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kuwaachia huru wafungwa wa Kipalestina / Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia
26.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda / Akili mnemba inatumiwa kushawishi michakato ya kidemokrasia barani Afrika
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Februari 26, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
25.02.2025 Matangazo ya Jioni
Bunge la Ukraine lamuongezea muda Rais Zelenskyy+++Hamas: Israel inakiuka makubaliano kwa kuchelewesha kuachiliwa mafungwa+++Ujerumani - Merz aanza juhudi za kutafuta washirika wa kuunda serikali mpya+++Mkutano wa Kilele wa Kimataifa wa masuala ya Bioanuai kwa lengo la kunusuru viumbe na mimeo ulimwenguni,"COP 16," umeanza tena leo mjini Roma, Italia
25.02.2025 Matangazo ya Mchana
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ameonya kuwa amani haiwezi kumaanisha 'kusalimu amri' linapohusika suala la Ukraine+++Umoja wa Mataifa waunga mkono azimio linaloipendelea Urusi dhidi ya Ukraine+++Viongozi wa Kongo na Burundi wakutana+++Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema kundi lenye silaha lauwa wanakijiji 26 Sudan
25.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Waziri wa mambo ya nje wa Israel asema nchi hiyo ni kiungo muhimu kwa Ulaya+++Ujerumani - Uchaguzi wa Bunge la Shirikisho: Matokeo yanamaanisha nini kwa uchumi?+++China inazidi kuangazia uchumi na biashara badala ya kuchukua jukumu kubwa katika juhudi za amani kati ya Ukraine na Urusi+++Uhuru wa vyombo vya habari unazidi kudidimia kote ulimwenguni
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi Februari 25, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Merz ataka kuunda serikali haraka
Merz amesema atamualika waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azuru Ujerumani
24.02.2025 Matangazo ya Jioni
Kansela mtarajiwa wa Ujerumani Friedrich Merz anasema anataka kuunda serikali haraka iwezekanavyo+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito wa "amani ya kudumu na ya kweli" katika wakati ambapo nchi yake inaadhimisha miaka mitatu ya uvamizi wa Urusi.
24.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Muungano wa vyama vya CDU na CSU umeshinda uchaguzi, huku chama cha Kansela Olaf Scholz cha Social Democratic SPD, kikishindwa vibaya+++Hali ya afya ya kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis imeendelea kuwa mbaya na kuibua hofu kwa waumini wa kanisa hilo ulimwenguni.
24.02.2025 Matangazo ya Mchana
Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutuma salamu zao za pongezi kwa Friedrich Merz anayetarajiwa kuwa kansela wa Ujerumani+++Umoja wa Ulaya umekubaliana kuiweka vikwazo zaidi Urusi na kuendelea kuiunga mkono Ukraine katika kupambana na uvamizi wake ikiwa ni miaka mitatu hii leo tangu kuanza kwa vita hivyo.
Nani atakuwa Kansela mpya wa Ujerumani?
Raia wa Ujerumani wanapiga kura leo Jumapili (23.02.2025) kuchagua serikali mpya.
22.02.2025: Matangazo ya Jioni
Israel yathibitisha kuwa mwili wa mateka mwanamke uliokabidhiwa Ijumaa ni Shiri Bibas. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akanusha kusaini makubaliano yenye upendeleo na Marekani kuhusu madini adimu. Marekani yasema imemuuwa mwanachama mkuu wa kundi la kigaidi la Hurras al-Din
22.02.2025: Matangazo ya Mchana
Hamas na Israel wabadilishana mateka na wafungwa. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema Ulaya inaweza kufanya mengi kuhakikisha amani kwa Ukraine. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio na Rais wa Kenya William Ruto watoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa Kongo.
22.02.2025 Matangazo ya Asubuhi
Karibu katika matangazo yetu ya Asubuhi usikilize uchambuzi wa ripoti kuu za kimataifa pamoja na makala murua kabisa tulizokuandalia.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Vita mashariki mwa Kongo vyapelekea maelfu ya watu kukimbilia Burundi, mzozo wa Sudan ambao umeendelea kusababisha maafa makubwa barani Afrika. Pia, kwa mara ya kwanza Afrika ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa mataifa ishirini tajiri na yanayoinukia kiuchumi duniani G20. Na maandamano makubwa yalifanyika nchini Uganda ili kushinikiza kuachiliwa huru kwa mpinzani mashuhuri Kiza Besigye.
21.02.2025 Matangazo ya Jioni
Hamas imesema leo kuwa inachunguza uwezekano wa kosa katika kutambua mabaki ya mwili uliokabidhiwa kwa Israel chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano+++Mwenyekiti wa zamani wa tume ya uchaguzi na mipaka,IEBC, Wafula Chebukati amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 152
Ukurasa unaofuatia