You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Jeshi la Israel lafanya mashambulizi Lebanon
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya anga nchini Lebanon muda mfupi baada ya kuzuia makombora yaliyotoka Lebanon.
Ufaransa, Uingereza zapigia debe kikosi kwa ajili ya Ukraine
Ufaransa na Uingereza zinahimiza juu ya kupelekwa kikosi cha kulinda mkataba wowote wa amani kati ya Urusi na Ukraine.
Alon Pinkas: Hali ndani ya Israel haiakisi demokrasia
Mwanadiplomasia wa zamani wa Israel Alon Pinkas amesema hali ya kisiasa ndani ya Israel haiakisi demokrasia.
Wanawake watengeneza dawa za kuua mbu nchini Kenya
Makala ya Wanawake na Maendeleo inalimulika kundi la wanawake wa nchini Kenya walioungana kuzalisha dawa ya mbu.
28.03.2025 Matangazo ya Mchana
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana na kuijadili Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema serikali ya Lebanon inahusika na mashambulizi ya makombora mawili yaliyorushwa kuelekea nchini mwake.
Israel yailaumu Lebanon kwa kuishambulia, yajibu mapigo
Israel imeilaumu Lebanon kwa kuhusika na makombora yaliyorushwa nchini humo na jeshi lake tayari limejibu mashambulizi.
28.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Mwanadiplomasia wa zamani wa Israel Alon Pinkas ameiambia DW kuwa, mfumo wa nchi yake wa kuhakikisha uwajibikaji ili kuzuia matumizi mabaya ya madaraka unavurugwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu+++Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10
27.03.2025 Matangazazo ya Jioni
Kundi la Hamas la Palestina limearifu kuwa mmoja wa wasemaji wake Abdul Latif al-Qanou ameuwawa mapema leo+++Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG), iliyobainisha ongezeko la deni la taifa kutoka Tsh trilioni 82.25 za kitanzania hadi Trilioni 97.35 kwa mwaka wa fedha 23/24
27.03.2025 Matangazo ya Mchana
Takriban viongozi 30 watakutana mjini Paris leo kujadiliana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy jinsi ya kuimarisha usaidizi wa kijeshi+++Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar, mpinzani wa muda mrefu wa Rais Salva Kiir, amekamatwa jana
27.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Baada ya takriban miaka miwili ya mapigano kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF pamoja na washirika wao, jeshi hilo linadaiwa kuikomboa ikulu ya Rais katika mji mkuu, Khartoum+++Serikali mpya ya mpito ya Syria iliahidi kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya ambayo mtawala wa zamani wa nchi hiyo alijitajirisha nayo.
26.03.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi yasema agizo la rais Putin la kusitisha mashambulizi katika sekta ya nishati nchini Ukraine bado lipo pale pale / Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda zinapoteza hadi dola bilioni 5 kwa mwaka kutokana na ubaguzi dhidi ya mashoga
26.03.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mapigano mapya yamezuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo / Mamia ya Wapalestina wameandamana Kaskazini mwa Gaza wakitaka vita vikomeshwe na kundi la Hamas liondoke madarakani.
Machafuko yazuka tena Mashariki mwa Kongo
Wakati hayo yakiarifiwa watu wawili wameuawa katika mazishi ya mwanamuziki maarufu wa Kongo
26.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Operesheni za kijeshi za Uganda za mara kwa mara katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hutajwa kuwalenga waasi wa ADF wanaoupinga utawala wa Kampala / Nchini Ujerumani, ubaguzi wa rangi umezoeleka hadi kuonakana jambo la kawaida
10.03.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anaelekea nchini Saudi Arabia kukutana na Mwanamfalme Mohammed bin Salman / Siku ya Jumamosi kundi la ADF lilikishambulia kijiji cha Ngohi Vuyinga katika eneo la Lubero
25.03.2025 Matangazo ya Jioni
Ikulu ya Kremlin imesema hii leo kwamba Moscow na Washington zinatathmini matokeo ya mazungumzo ya nchi hizo mbili yaliyofanyika Saudi Arabia+++Israel imetangaza hivi leo kuwa itachukua udhibiti wa maeneo zaidi ya Ukanda wa Gaza+++Tanzania - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko alitoa taarifa za kuwashwa kwa mtambo wa mwisho katika bwawa la kufua umeme la mwl. Julius Nyerere
Bwawa la JNHPP kumaliza tatizo la umeme Tanzania?
Adha ya umeme itakuwa historiaTanzania? Suleman Mwiru amezungumza na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga.
Jopo laundwa kumaliza mzozo wa Kongo
Mkutano wa kilele Jumuiya ya SADC na ile ya Afrika Mashariki, umeunda jopo la wasuluhishi wa mzozo wa Kongo.
Chad na Sudan Kusini zamkosoa Naibu Mkuu wa jeshi la Sudan
Chad na Sudan Kusini zimekosoa kauli ya Naibu Mkuu wa jeshi la Sudan, aliyeyatuhumu mataifa hayo kuwaunga mkono RSF.
25.03.2025 Matangazo ya Mchana
Mkutano wa kilele ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, na Jumuiya ya Afrika Mashariki+++Jeshi la Israel limewataka Wapalestina kuondoka eneo la Kaskazini mwa Gaza+++Serikali ya Marekani imekiri kuwa maafisa wakuu wa utawala wa Rais Donald Trump, walimjumuisha kwa bahati mbaya mwandishi habari katika kundi la mazungumzo ya siri
25.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Kenya - Mchakato wa kumteua mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC umeingia siku yake ya pili+++Mwanasiasa anayesakwa zaidi nchini Zimbabwe Blessed Geza amezua taharuki baada ya kuwataka raia wa nchi hiyo kufanya maandamano makubwa mwishoni mwa mwezi huu wa Machi
24.03.2025 Matangazo ya Jioni
Ujerumani imeelezea wasiwasi wake mkubwa kufuatia kuongezeka kwa vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza// Maafisa wa Marekani na Urusi wamekutana nchini Saudi Arabia leo kujadili usitishaji mapigano kwa sehemu nchini Ukraine.
Zaidi ya waandamanaji 1,100 wako mikononi mwa polisi Uturuki
Polisi nchini Uturuki imewakamata zaidi ya watu 1,100 tangu meya wa Istanbul Ekrem Imamoglu alipokamatwa wiki iliyopita.
24.03.2025 Matangazo ya Mchana
Waasi wa M23 wameendelea kuushikilia mji wa mashariki mwa Kongo wa Walikale// Kauli ya Katibu NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, CCM nchini Tanzania, Amos Makalla, akikishutumu chama kikuu cha upinzani, CHADEMA imezua taharuki miongoni mwa wadau wa siasa na wananchi katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Hospitali kubwa zaidi kusini mwa Gaza yashambuliwa
Wizara ya afya ya Gaza imesema jeshi la Israel limeishambulia hospitali kubwa zaidi kusini mwa Ukanda wa Gaza ya Nasser.
24.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Matangazo ya Mchana: 23.03.2025
Jeshi la Israel mnamo siku ya Jumapili 23.03.2025 limewaamuru wakazi wa mji wa Rafah ulio kusini mwa Gaza kuondoka kutoka kwenye mji huo. Urusi yalishambulia kwa droni jiji la Kyiv nchini Ukraine. Papa Francis kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza Jumapili baada ya kulazwa kwa muda mrefu.
Jeshi la Sudan ladhibiti majengo zaidi Khartoum
Jeshi la Sudan limesema limerejesha udhibiti wa majengo muhimu kwenye mji mkuu Khartoum yaliyokuwa chini ya RSF.
22.03.2025: Matangazo ya Asubuhi
Yaliyomo: Hali ya Mashariki ya Kati, Siasa za Tanzania na Uchaguzi ujao, na uchambuzi unaoangazia ikiwa Qatar itafanikisha au la kuutatua mzozo wa mashariki mwa Kongo.
22.03.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mkuu wa jeshi la Sudan akataa kuzungumza na wanamgambo wa RSF hadi wajisalimishe. Ufaransa yapinga kauli ya Waziri wa Ulinzi wa Israel ya kutaka kuyatwaa maeneo kadhaa ya Gaza. Umoja wa Mataifa umesema vita vya mashariki mwa Kongo vimesababisha watu laki moja kukimbilia nchi jirani.
21.03.2025 Matangazo ya Jioni
Uwanja wa ndege wa Heathrow umefungwa kabisa hivi leo kufuatia umeme kupotea kwa sababu ya moto uliozuka katika kituo kidogo cha umeme magharibi mwa London+++Taifa la Kusini mwa Afrika la Namibia leo limemuapisha rais wake wa kwanza mwanamke Netumbo Nandi-Ndaitwah, aliyeshinda uchaguzi mwaka jana na kurefusha muda wa miaka 35 wa chama tawala cha SWAPO mamlakani.
Maoni: Hofu ya kuzuka mgogoro mwingine nchini Sudan Kusini
Kwenye kipindi cha Maoni Meza ya Duara, wachambuzi wetu wanaijadili Sudan Kusini. Mkataba wa Amani wa mwaka 2020 uliiimarisha serikali ya mseto ya rais Salva Kiir na makamu wake wa kwanza Riek Machar lakini huo haukuwa mwarobaini kamili kwa sababu nchi hiyo haijawahi kuwa tulivu. Jee! kwa nini Sudan Kusini mara kwa mara inarudi pale pale, kwenye migogoro? Mwenyekiti ni Zainab Aziz
21.03.2025 Matangazo ya Mchana
Serikali ya Israel mapema leo imeidhinisha kwa kauli moja pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kumuachisha kazi mkuu wa shirika la intelijensia ya ndani, Ronen Bar+++Kirsty Coventry amechaguliwa kuwa rais wa kwanza wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki IOC na kuwa mwanamke wa kwanza na pia mwafrika kupata kazi hiyo.
21.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakubaliana kuchukua hatua zote muhimu ili kuimarisha utayari wao kiulinzi ifikapo mwaka 2030+++Ushiriki wa wanawake katika uongozi na michezo bado ni mdogo kama ambavyo imebainika katika utafiti ulofanywa na Chama cha waandishi wa habari wanawake TAMWA-Zanzibar kwa kushirikiana na shirika la maendeleo la Ujerumani (GIZ)
21.03.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mzozo kati ya Israel na Hamas wapamba moto, huku pande hizo mbili zikishambuliana. Rais wa Marekani amesema nchi yake inatarajia kusaini mkataba wa madini na Ukraine. Maandamano yenye vurugu yashuhudiwa Uturuki kudai kuachiwa kwa kiongozi mkuu wa upinzani na Meya wa mji wa Istanbul.
20.03.2025 Matangazo ya Jioni
Goma inazama katika mgogoro wa kiuchumi tangu kuchukuliwa kwa mji huo na waasi wa M23+++Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels kujadili uwezo wao wa ulinzi na msaada kwa Ukraine baada ya Marekani kuonesha ukaribu na Urusi.
20.03.2025 Matangazo ya Mchana
Israel imeendeleza mashambulizi yake katika ukanda wa Gaza na watu 70 wameuawa+++Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji wa Walikale wenye utajiri wa madini ya bati.
20.03.2025: Matangazo ya Asubuhi
Yaliyomo: Hali jumla ya Mashariki ya Kati, changamoto za uongozi mpya Syria, Uwezekano wa kuzuka vita vipya huko Tigray na mengine mengi.
20.03.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na mauaji ya mfanyakazi wake huko Gaza. M23 yaingia katika mji mwingine Mashariki mwa Kongo wa Walikale. Polisi wa Uturuki wamshikilia kiongozi mkuu wa upinzani na Meya wa Instanbul.
19.03.2025 Matangazo ya Jioni
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amezungumza kwa njia yasimu na mwenzake wa Marekani, Donald Trump+++Zaidi ya miaka miwili imepita tangu serikali ya Ethiopia na makundi hasimu yaliposaini mkataba wa amani kati ya Ethiopia na Tigray
19.03.2025 Matangazo ya Mchana
Kamati iliyoundwa na Serikali ya Tanzania kuchunguza uwepo wa wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam imebaini kuwa wazawa wanaotumia nyaraka zao kuwasajilia biashara raia wa China+++Marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameelezea dhamira yao ya kusitisha mapigano mara moja.
18.03.2025 Matangazo ya Jioni
Israeli imefanya mashambulizi makubwa zaidi ya anga kwenye Ukanda wa Gaza tangu Januari, na kuwaua zaidi ya watu 400+++Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesisitiza kutorudi nyuma na kampeni yake ya kutaka mabadiliko
Jukwaa la manufaa
Sikiliza maoni yako msikilizaji katika kipindi cha Jukwaa la Manufaa, kilichoandaliwa na kuongozwa Angela Mdungu
18.03.2025 Matangazo ya Mchana
Mashambulizi makubwa zaidi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamewaua zaidi ya watu 320+++Wakati mazungumzo kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Rais Vladimir Putin wa Urusi kusaka suluhu za vita vya Ukraine yakingojewa kwa hamu baadaye leo
Trump, Putin kuzungumzia Ukraine leo
Kwenye Ukraine kumeshuhudiwa mashambulizi ya usiku kucha yakitokea upande wa Urusi.
17.03.2025 Matangazo ya Jioni
Serikali ya Rwanda imesitisha uhusiano wake wakidiplomasia na Ubelgiji+++Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeanza kusimamisha shughuli za mashirika ya habari yanayofadhiliwa na serikali+++Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu hali ya kidiplomasia kati ya nchi yake na Marekan
Matangazo ya Mchana 17.03.2025
Wakati mataifa makubwa ulimwenguni yakijiandaa kuiwekea vikwazo zaidi nchi ya Rwanda kwa shutuma za kulisaidia kundi la M23 linalopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Paul Kagame wa Rwanda amewatadhaharisha wananchi wake kuwa tayari kukabiliana na hali mbaya kutokana na vikwazo hivyo.
Sheria za Israel zayapa hofu mashirika ya misaada Palestina
Mashirika ya misaada katika maeneo ya Palestina yana hofia kuwa sheria mpya za Israel zifanya shughuli zao kuwa ngumu.
Marekani, Wahouthi waapa kuendelea kushambuliana
Wahouthi walisema mashambulizi ya Marekani yatakuwa yakijibiwa kwa mashambulizi ya Yemen kila mara yatakapofanyika.
16.03.2025: Matangazo ya Jioni
Zelensky aituhumu Urusi kwa kutoonyesha nia ya kuvimaliza vita. Huko Macedonia, idadi ya watu waliofariki kutokana na moto uliotokea katika klabu ya usiku imefikia watu 59. Maelfu ya watu waandamana nchini Mexico kuwakumbuka waliopotea.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 152
Ukurasa unaofuatia