You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mark Rutte asema Urusi bado ni kitisho kwa NATO
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Mark Rutte amesema Urusi bado ni kitisho kikubwa kwa jumuiya hiyo.
04.04.2025 - Matangazo ya Mchana
Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imeidhinisha uamuzi wa kumuondosha madaraka Rais Yoon Suk Yeol ambaye alisimamishwa kazi na bunge+++Jeshi la Israel limetangaza kuwa limeanzisha mashambulizi mapya ya ardhini kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Israel yatanua mashambulizi ya ardhini kaskazini mwa Gaza
Jeshi la Israel limeanzisha mashambulizi mapya ya ardhini kaskazini mwa Ukanda wa Gaza mapema Ijumaa.
04.04.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wanakutana mjini Brussels kwa siku mbili kujadiliana njia za kuufanya mfungamnao huo wa kijeshi kuwa "madhubuti+++Tathmini za awali polisi nchini Ujerumani kwa mwaka 2024, zimeonesha kuimarika kwa hali ya usalama.
04.04.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya wahudumu wa afya huko Gaza yanazusha wasiwasi wa "uhalifu wa kivita". Nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO waahidi kuongeza matumizi yao ya ulinzi. Upinzani nchini Burundi watahadharisha kuwa uhaba wa mafuta utaathiri uchaguzi ujao wa Bunge.
Marekani kuanza utekelezaji wa "ushuru wa kulipiza"
Lengo ni kuyalinda maslahi ya kampuni za Marekani na kuinufaisha nchi hiyo chini ya ajenda yake ya "Marekani Kwanza".
03.04.2025 - Matangazo ya Mchana
Tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka mataifa mbalimbali limezua taharuki duniani+++Mashambulizi katika eneo la mashariki ya kati yamechukua sura mpya baada ya watu wasiopungua 50 kuuawa usiku wa kuamkia leo kwenye ukanda wa Gaza.
03.04.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Mamia kwa maelfu ya familia za waakazi wa Ukanda wa Gaza zinasema zimepoteza matumaini na kuishiwa nguvu kutokana na kulazimishwa kuyakimbia maakazi yao+++Mamlaka nchini Tanzania zimetangaza kuanza kazi kwa Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025
03.04.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Trump atangaza ushuru mkubwa kwa mataifa mbalimbali duniani. Vita vyaendelea Gaza huku Wapalestina wakiandamana kuipinga Hamas. Libya yasitisha shughuli za mashirika 10 ya kimataifa kwa tuhuma za hujuma.
03.04.2025: Matangazo ya Asubuhi
Yaliyomo: Uchambuzi wa dunia yetu leo Asubuhi na makala fupi ya wanawake na maendeleo.
02.04.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kenya leo inaadhimisha miaka 10 tangu kutokea shambulio la kigaidi dhidi ya chuo kikuu cha Garissa / Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz amesema mashambulizi ya Israel huko Gazayanatanuliwa ili kuangamiza na kuwafurusha wanamgambo katika eneo hilo
02.04.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la China limesema limefanya mazoezi ya kuzilenga bandari muhimu na vituo vya nishati / Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati
China yaendelea na luteka za kijeshi kuizunguka Taiwan
Mazoezi hayo yanafanyika baada ya rais wa Taiwan Lai Ching-te kuiita China kuwa ni nguvu ya kigeni ya uadui.
02.04.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Marekani inatazamiwa kuanza kutekeleza leo amri ya Rais Donald Trump ya kuweka viwango sawa vya ushuru / Ulimwengu unaadhimisha leo Aprili 2 siku ya Usonji
China yafanya mazoezi mengine ya kijeshi Taiwan
Jeshi la China limetangaza mazoezi mapya hivi leo katika eneo tete la bahari ya Taiwan.
Mjumbe maalum wa Urusi kukutana na mwenzake wa Marekani
Mjumbe wa ngazi za juu wa Urusi anatazamiwa kuwasili nchini Marekani wiki hii kwa mazungumzo na utawala wa Trump.
Wakuu wa Majeshi wa Magharibi waijadili Ukraine
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya Magharibi wanatarajiwa kujadiliana uwezekano wa kutuma wanajeshi nchini Ukraine.
Niger yawaachia mawaziri wa serikali iliyopinduliwa
Utawala unasema ni utekelezaji wa maazimio ya kongamano la kimataifa lililofanyika mwezi Februari.
Watu 21 wafa kwa mripuko wa ghala la baruti India
Watu 21 wamepoteza maisha baada ya mripuko uliofuatiwa na moto kwenye ghala kubwa la baruti magharibi mwa India.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 2 Aprili 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 2 Aprili 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Hatimaye Uingereza kuirejesha Chagos kwa Mauritius
Hatimaye Uingereza kuirejesha Chagos kwa Mauritius
Sura ya Ujerumani: Mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano
Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto nchini Ujerumani yanaendelea kati ya kambi ya kihafidhina ya CDU/CSU pamoja na chama cha SPD takriban wiki sita tangu kufanyike uchaguzi. Hata hivyo bado kuna mambo mengi ambayo hadi sasa wameshindwa kuafikiana. Ungana na Bakari Ubena.
01.04.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amesema hakuwa anafanya masihara alipotamka anataka kuwania muhula wa tatu madarakani / Zaidi ya wakambizi elfu 70 kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamevuka mpaka na kuingia taifa jirani la Burundi
Mali, Burkina Faso, Niger zatangaza ushuru mpya
Lengo ni kukusanya fedha za kuufadhili muungano wao wa kisiasa na kiuchumi ulioanzishwa hivi karibuni.
01.04.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amewasili Kiev leo katika kuonyesha uungaji mkono kwa Ukraine / Watu wapatao wawili wameuwawa katika shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 01 Aprili 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 01 Aprili 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 01 Aprili 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 01 Aprili 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Bado tunashirikiana na Marekani suluhu ya Ukraine - Kremlin
Urusi na Marekani zinalifanyia kazi suala la makubaliano ya amani kwenye vita vya Ukraine.
China yafanya mazoezi makali ya kijeshi kuzunguka Taiwan
China imeanza mazoezi ya pamoja ya vikosi vyake vya ardhini, wanamaji, na maroketi kuzunguka kisiwa cha Taiwan.
Israel yawauwa wafanyakazi 15 wa afya Gaza
Wapalestina wameizika miili 15 ya wafanyakazi wa huduma za afya na uokozi waliouawa na wanajeshi wa Israel huko Gaza.
Le Pen azuiwa kuwania uchaguzi kwa miaka mitano
Marine Le Pen ameikosowa hukumu ya kupigwa marufuku kuwania uchaguzi kwa miaka mitano.
Panama yampa siku tatu rais wa zamani kwenda uhamishoni
Serikali ya Panama imesema imeongeza muda wa kumruhusu rais wa zamani kwenda Nicaragua alikopatiwa hifadhi ya kisiasa.
Genge lenye silaha lawafungulia wafungwa 500 Haiti
Polisi nchini Haiti imerejesha udhibiti kufuatia genge lenye silaha kulivamia gereza na kuwaachia huru wafungwa 500.
31.03.2025 - Matangazo ya Jioni
Kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa Marine Le Pen amepatikana na hatia katika kesi ya ubadhirifu kutokana na matumizi mabaya ya fedha za Bunge la Ulaya kupitia chama chake cha National Rally+++Israel imependekeza mpango wa makubaliano yatakayowezesha kuachiwa mateka wanaozuiliwa katika Ukanda wa Gaza
31.03.2025 - Matangazo ya Mchana
Viongozi wa Kiislamu wamewaomba Wakenya kuishi kwa umoja na amani huku vijana wakitakiwa kuzingatia maadili+++Uongozi wa kijeshi wa Myanmar umetangaza wiki ya mambolezo kufuatia tetemeko la ardhi lililowaua zaidi ya watu 1700.
Jukwaa la Manufaa
Sikiliza maoni yako msikilizaji katika kipindi cha Jukwaa la Manufaa, kilichoandaliwa na kuongozwa Angela Mdungu. Kumbuka katika kipindi hiki tunatoa nafasi ya msikilizaji kusema kile kilicho moyoni mwako, kinachomkera na kinachomfurahisha. Kuna nafasi pia ya kuwasikia wanajukwaa wengine watakaotoa dukuduku lao kupitia njia ya simu.
31.03.2025 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 31 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Iran yakataa mazungumzo na Marekani
Iran imelikataa pendekezo la mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kama ilivyopendekezwa na Rais Donald Trump.
Iran yakataa mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani
Rais Pezeshkian amesema nchi yake imekataa majadiliano ya moja kwa moja na Marekani juu ya programu yake ya nyuklia.
Ukraine yaripoti mapigano makali Donbass
Mapigano makali kwenye mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Ukraine, baada ya majeshi ya Urusi kusonga mbele.
China yagundua eneo jipya la uchimbaji mafuta
China imegunduwa kiwango kikubwa cha mafuta kwenye eneo la mashariki mwa Bahari ya Kusini ya China
Mali, Burkina Faso, Niger zaanzisha ushuru mpya wa pamoja
Ushuru huo umetangazwa ili kuusimamisha umoja mpya ulioundwa na mataifa hayo matatu.
Le Pen angojea hukumu ya ubadhirifu wa euro milioni saba
Marine Le Pen anatazamiwa kusomewa hukumu ya kesi yake ya ubadhirifu wa fedha.
Uingereza mwenyeji wa mkutano 'biashara chafu' ya wahamiaji
Wajumbe kutoka mataifa zaidi ya 40 wanakusanyika nchini Uingereza kwa mkutano wa kilele juu ya usafirishaji wahamiaji.
31.03.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 31 Machi 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
30.03.2025: Matangazo ya Jioni
Netayahu asema operesheni ya kijeshi dhidi ya Hamas imepata ufanisi//Idadi ya walioangamia kufuatia tetemeko la ardhi Myanmar inazidi kupanda//Na Kiongozi wa RSF athibitisha jeshi lake kuondoka Khartoum
Matangazo ya Mchana: 30.03.2025
Wapalestina waadhimisha Iddi kwa mashambulizi makali kutoka Israel. Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.1 kwenye kipimo cha Richter limepiga mji wa pili kwa ukubwa Mnyanmar. Al sharaa atangaza serikali mpya Syria
29.03.2025: Matangazo ya Jioni
Juhudi za uokoaji zaendelea Myanmar na Thailand baada ya tetemeko kubwa la ardhi. Maelfu ya waandamanaji waingia barabarani katika mitaa ya Istanbul, Uturuki kudai kuachiwa huru kwa kiongozi mkuu wa upinzani Ekrem Imamoglu. Wizara ya afya huko Gaza imesema watu zaidi ya 900 wameuawa tangu Israel ianzishe wimbi jipya la mashambulizi.
29.03.2025: Matangazo ya Mchana
Watu zaidi ya 1,000 wafariki nchini Myanmar kutokana na tetemeko la ardhi. Sudan Kusini yasema Makamu wa rais wa nchi hiyo Riek Machar yuko kwenye kifungo cha nyumbani. Shambulio la Urusi laua watu wanne na kuwajeruhi wengine kadhaa nchini Ukraine.
28.03.2025 Matangazo ya Jioni
Umoja wa Ulaya hii leo Ijumaa umemtaka Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir kubadili mwelekeo wa mambo na hivyo kuupunguza mvutano nchini mwake+++Urusi imesema hivi leo kwamba kitendo cha Umoja wa Ulaya kukataa kwa kulegeza vikwazo dhidi yake, kunaonyesha kuwa umoja huo hautaki amani nchini Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 152
Ukurasa unaofuatia