You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
13.05.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Uingereza imekuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa Ulaya uliojadili vita vya Ukraine+++Kundi la kwanza la raia wa Afrika Kusini walio na asili ya walowezi wa kizungu waliopewa hadhi ya ukimbizi wanawasili Marekani kuanza maisha mapya
12.05.2025 Matangazo ya Mchana
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin nchini Uturuki+++Uturuki: Viongozi wa Chama cha Kikurdi (PKK) watangaza kuweka chini silaha+++Mafuriko yauwa zaidi ya watu 100 DRC+++Ujerumani na Israel zaamisha miaka 80 ya uhusiano chini ya kivuli cha vita
12.05.2025 Matangazo ya Asubuhi
Zelensky asema yuko tayari kukutana na Putin kwa mazungumzo ya moja kwa moja nchini Uturuki+++Sudan huenda ikasitisha usafirishaji wa mafuta kutoka Sudan Kusini kufuatia mashambulizi ya RSF+++Iran yasema mazungumzo ya nyuklia yalikuwa "magumu lakini yenye manufaa"
11.05.2025 Matangazo ya Jioni
Uturuki yasema iko tayari kuandaa mazungumzo ya amani na Urusi. Ujerumani yasema mzozo wa Gaza hauwezi kumalizwa kijeshi. Na papa Leo XIV atowa mwito wa amani duniani.
Charles Hillary afariki dunia
Alikuwa mtangazaji maahiri wa vipindi mbali mbali ikiwemo michezo na burudani
11.05.2025 Matangazo ya mchana
Mashambulizi ya Israel yauwa takriban watu 10 Ukanda wa Gaza. Rais Vladmir Putin apendekeza mazungumzo ya ana kwa ana na Ukraine.India yaishutumu Pakistan kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha vita Kashmir.
Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30
Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Nchini Tanzania kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Chadema Tundu Lissu iligonga vichwa vya habari baada ya Bunge la Ulaya kutaka mwanasiasa huyo aachiwe huru na kuitaka Tanzania kuandaa uchaguzi wa huru na haki. Rwanda na DRC ziliendelea na mazungumzo ya amani huko Qatar na kuwasilisha kwa Marekani rasimu ya mpango wa amani mashariki mwa Kongo. Na mengine mengi.
Mpango wa Marekani juu ya misaada ya kiutu Gaza wapingwa
Mpango wa Marekani kuhusu utaratibu mpya wa utoaji misaada ya kiutu Gaza umepata upinzani huku mapigano yakiendelea.
09.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Mapigano makali yameanza tena tangu Alhamisi kwenye eneo la Kusini mwa Gaza huku wapiganaji wa Hamas wakipambana karibu na mji wa Rafah+++Rais William Ruto wa Kenya amemteua Erastus Ethekon kuwa Mwenyekiti ajaye wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.
India na Pakistan zaendelea kushambuliana
Mzozo kati ya India na Pakistan umefikia kiwango kibaya kwa pande zote mbili kushambuliana.
WFP: Watoto laki 6 wakosa msaada Sudan Kusini
Umoja wa Mataifa umesema mapigano ya Sudan Kusini yanazuia juhudi za kufikisha misaada kwa watoto wapatao 60,000.
09.05.2025 - Matangazo ya Mchana
Kanisa Katoliki duniani limempata kiongozi wake mpya, Papa Leo wa 14+++Nchini Tanzania wabunge wamepinga maazimio ya Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Serikali yao+++Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema kuwa Urusi itakabiliwa na vikwazo vipya kama itakataa kuyapa uzito mazungumzo ya amani.
Merz: Urusi itawekewa vikwazo ikipuuza mchakato wa amani
Kansela wa Ujerumani amesema Urusi itakabiliwa na vikwazo vipya kama itakataa kuyapa uzito mazungumzo ya amani.
09.05.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Kadinali Robert Prevost kutoka Chicago ndiye papa mpya akijulikana kama Leo XVI // Pakistan na India zatuhumiana kwa mfululizo wa mashambulizi ya droni // Na Umoja wa Mataifa wapunguza msaada nchini Kongo kutokana na matatizo ya kifedha
08.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Dunia leo inaadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa vita vya Pili vya Dunia vilivyodumu kwa muda mwa miaka 6+++Israel imeionya Iran kuwa itafanya kile ilichofanya kwa kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza+++Taasisi ya huduma za macho ya Ujerumani inayofahamika kama TanzanEye, imetoa misaada ya vifaa tiba Tanzania.
08.05.2025 - Matangazo ya Mchana
Viongozi na makada watano wa juu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, nchini Tanzania kutangaza kukihama chama hicho+++Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki wamekusanyika mjini Vatican wakiwa na matumaini ya kuuona moshi mweupe unaoashiria kupatikana kwa kiongozi mpya wa kanisa hilo.
08.05.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani bado unaendelea Vatican+++ Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hali ya wasiwasi inazidi kuripotiwa katika baadhi ya vijiji vya jimbo la Kivu Kusini.
08.05.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Usitishaji mapigano uliotangazwa na Urusi nchini Ukraine waanza kutekelezwa // Makadinali washindwa kumchagua papa mpya katika duru ya kwanza ya upigaji kura // Na PSG yaichapa Arsenal na kuweka miadi na Inter Milan fainali ya Ligi ya Mabingwa
07.05.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ujerumani na Ufaransa zimekubaliana kuunda baraza la pamoja la ulinzi na usalama / Jeshi la Sudan limesema mifumo yake ya kujilinda na makombora imezuia mashambulizi ya droni kwenye mji wa Port Sudan
07.05.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela mpya wa Ujerumani Friedrich Merz aliyeingia madarakani Jumanne 06.05.2025 anaelekea kwenye mataifa ya Ufaransa na Poland katika ziara inayolenga kukuza ushirikiano na mataifa hayo / Makadinali 133 kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamejumuika mjini Vatican kushiriki zoezi muhimu na la kihistoria la kumchagua papa atakayemrithi hayati Papa Francis
Friedrich Merz aapishwa kuwa Kansela wa Ujerumani
Friedrich Merz sasa ndiye kansela mpya wa Ujerumani, baada ya jioni ya kupitishwa kwa kura 325 bungeni.
06.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Hatimaye, kiongozi wa kihafidhina wa Ujerumani, Friedrich Merz, amechaguliwa kuwa kansela wa kumi wa taifa hili lenye nguvu kubwa ya kiuchumi barani Ulaya+++Vyombo vya habari vya waasi wa Kihouthi vimeripoti kuwa Israel imeushambulia mji mkuu wa Yemen.
Merz ashinda ukansela wa Ujerumani duru ya pili bungeni
Tayari, Rais Frank-Walter Steinmeier amemuapisha rasmi kuwa kansela mpya.
06.05.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamua kuwa kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tanzania Tundu Lissu, itasikilizwa katika mahakama ya wazi / Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya anga katika bandari ya Hodeidah, Yemen
Merz ashindwa kuwa kansela duru ya kwanza ya kura bungeni
Kura nyengine inatazamiwa ndani ya kipindi cha wiki mbili, huku AfD wakitowa wito wa uchaguzi mpya.
Urusi na Ukraine zashambuliana licha ya juhudi za upatanishi
Makabiliano kati ya Urusi na Ukraine yameendelea kushuhudiwa kutwa nzima jana Jumatatu na usiku wa kuamkia leo.
05.05.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mpango wa Israel wa kutanua operesheni zake huko Gaza na kutangaza nia ya kuliteka eneo lote la ukanda huo na kusalia katika ardhi hiyo ya Palestina kwa muda usiojulikana umepingwa na mataifa mbalimbali / Vyama vya CDU/CSU nchini Ujerumani, vimetia saini makubaliano ya kuunda serikali ya pamoja yanayofungua njia kwa utawala mpya.
05.05.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Pakistan imefanya jaribio la pili la kombora la masafa marefu huku Iran ikimtuma waziri wake wa mambo ya nje kujaribu kuyapatanisha mataifa hayo mawili yenye silaha za nyuklia / Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu leo kimezindua ripoti yake ya 23 inayoangazia hali ya haki za binadamu nchini Tanzania kwa mwaka 2024
Israel yaapa kulipa kisasi dhidi ya Wahouthi
Israel imesema itajibu shambulizi la kombora la waasi wa Houthi lililoulenga Uwanja wa Ndege mjini Tel Aviv.
04.05.2025: Matangazo ya Jioni
Wahouthi wanadai kuhusika na mashambulizi ya uwanja wa ndege wa Tel Aviv. Qatar yapinga kauli kali ya Israel dhidi yake juu ya Gaza. Wakuu wa vyombo vya habari Burundi wakosoa 'mateso' dhidi ya wanahabari.
04.05.2025: Matangazo ya Mchana
Takriban wanajeshi 11 wameuliwa kwenye mashambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kambi ya jeshi la anga la Sudan yashambuliwa kwa Droni katika mji wa bandari wa mashariki. Zelensky apinga pendekezo la Putin la kusimamisha mapigano kwa siku tatu.
Matangazo ya Jioni: 03.05.2025
Urusi yasema Ukraine haitakuwa salama kama itaishambulia nchi hiyo Mei 9 wakati wa maadhimisho ya ushindi wa Umoja wa Kisovieti, dhidi ya utawala wa Kinazi wa Ujerumani katika vita vya pili vya dunia. Mjumbe wa Umoja wa Mataifa alaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria. Zaidi ya watu 7 wameuwawa baada ya hospitali ya MSF kushambuliwa Sudan Kusini
Matangazo ya Mchana: 03.05.2025
Watu 11 wakiwemo wanane wa familia moja wauwawa Ukanda wa Gaza. Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni, makombora. Watu 27 wameuwawa baada ya wapiganaji wa RSF kuuteka mji muhimu Sudan. India yapiga marufuku bidhaa za Pakistan
Watu 11 wakiwemo 8 wa familia moja wauwawa Ukanda wa Gaza
Mashambulizi ya Israel yaliyoelekezwa katika kambi ya wakimbizi mjini Khan Younis yamewauwa watu 11 wa familia moja.
India yazipiga marufuku bidhaa zinazotoka Pakistan
India imetoa tangazo la kuzuia kuingizwa kwa bidhaa zonazotoka au kupitia Pakistan.
Watu 27 wauwawa baada RSF kuuteka mji muhimu Sudan
Takriban watu 27 wameuwawa baada ya kundi la wapiganaji wa RSF kuuteka mji wa En Nahud nchini Sudan.
02.05.2025 - Matangazo ya Jioni
Wakati mashambulizi ya Israel yakisababisha vifo vya watu 20 huko Gaza+++Shirika la ujajusi nchini Ujerumani limekitangaza chama cha mrengo mkali wa kulia, AfD, kama kundi la itikadi hali+++Vyombo vya habari nchini Tanzania vinakosolewa vikali kutokana na mwenendo wa kutoa taarifa zenye mwelekeo wa kile kinachofahamika kama 'uchawa'
02.05.2025 - Matangazo ya Mchana
Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ itakamilisha hivi leo kesi ya wiki nzima ambayo ilikuwa likijadili hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Israel+++Mkuu wa majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba kupitia mtandao wa X amekili wanamshikilia Eddie Mutwe mlinzi mkuu wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine.
02.05.2025 - Matangazo ya Asubuhi
Jeshi la Israel kufanya shambulizi la onyo dhidi ya "wapiganaji wenye itikadi kali" wanaojiandaa kuwashambulia watu wa jamii ya wachache ya Druze katika mji wa Sahnaya nchini Syria+++Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vinaonekana kushika kasi kote barani Ulaya.
02.05.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa habari unazoweza kuzisikia asubuhi hii ni Rais Donald Trump kumteua mshauri wake wa usalama wa taifa kuwa balozi kwenye Umoja wa Mataifa | Kiongozi wa Kiroho wa Jamii ya Druze alaani mashambulizi dhidi ya jamii hiyo na kutaka uingiliaji wa kimataifa | Na China yasema inatathmini pendekezo la Marekani la mazungumzo kuhusu ushuru huku ikisisitiza uaminifu.
01.05.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mashambulizi ukanda wa Gaza yamekuwa ya kila siku tangu Israel ilipoanzisha tena operesheni za kijeshi mnamo Machi 18 / Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeanzishwa harakati za kumwondolea kinga ya kisheria Rais wa zamani Joseph Kabila ili ashtakiwe kwa madai ya kuwaunga mkono waasi wa kundi la M23
01.05.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoli Tanzania(TEC), Padri Charles Kitima amevamiwa na kushambuliwa jana usiku / Marekani imezitolea wito ndia na Pakistan kupunguza mivutano yao iliyozidishwa na shambulio lililowauwa watu 26 Kashmir
01.05.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel imeendeleza mashambulizi yake kwenye Ukanda wa Gaza na hapo jana iliwaua Wapalestina wasipungua 12 / Visa vya mauaji ya wanawake nchini Kenya
01.05.2025 Taarifa ya habari Asubuhi
Marekani na Ukraine zasaini makubaliano ya uwekezaji // Israel yafanya mashambulizi ya onyo dhidi ya wanamgambo wanaonuia kuwashambulia watu wa jamii ya Druze // Na Mwanasiasa nchini Kenya auawa kwa kupigwa na risasi
30.04.2025 Matangazo ya Jioni
Pakistan yaituhumu India kwa kupanga kuishambulia+++Waasi wa M23 waendelea kuajiri vijana wapiganaji mjini Goma+++CCM yaonya hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi mkuu+++Wasomi kutoka nchi za Afrika wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili, nafasi na uhuru wa wataalamu barani Afrika
30.04.2025 Matangazo ya Mchana
Tshisekedi atetea mkataba wa amani kati ya Kongo na Rwanda+++Mke wa rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bi Denise Nyakeru, yupo ziarani nchini Burundi, ambako mara tu baada ya kuwasili hapo jana alikwenda kuzuru kambi moja ya wakimbizi+++Chama cha Social Democrat, SPD, yaidhinisha kuingia serikali mpya ya mseto Ujerumani+++Israel yakabiliwa na shinikizo kubwa kufuatia vita vya Gaza
SPD yaidhinisha kuingia serikali mpya ya mseto Ujerumani
Kansela mpya kupitishwa bungeni tarehe 6 Mei na serikali mpya kuanza kazi kwa Muungano Mkuu wa SPD na CDU-CSU.
30.04.2025 Matangazo ya Asubuhi
Israel inakabiliwa kwa mara nyingine na shinikizo la kimataifa kutokana na kampeni yake ya kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza+++Imefahamika kwamba serikali ya Marekani inapanga kufunga balozi nyingi barani Afrika+++Katika maeneo mengi ya vijijini Afrika Kusini, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupata huduma za afya
30.04.2025: Matangazo ya Asubuhi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kuwepo suluhu la mataifa mawili katika mzozo wa Israel na Palestina. Urusi yakataa pendekezo la rais wa Ukraine la kurefusha kwa siku 30 hatua ya Putin ya usitishwaji mapigano kwa siku 3. Pakistan yadai kuwa India inajiandaa kuishambulia wakati mvutano kati yao ukiongezeka.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 152
Ukurasa unaofuatia