Sema Uvume leo, inaimulika App ya HustleSasa ambayo imeweza kuwa msaada mkubwa kwa wanamuziki na wasanii mbalimbali nchini Kenya kuweza kuuza muziki wao na bidhaa nyinginezo mtandaoni. Mtandao wa Twitter uliingia matatani kwa mara nyingine mara baada ya barua pepe binafsi ambazo zinahusishwa na akaunti milioni 235 kudukuliwa kipindi cha nyuma. Mtayarishaji ni Sylvia Mwehozi.