Annalena Charlotte Alma Baerbock ni mwanasiasa wa Ujerumani kutoka chama cha watetezi wa mazingira cha Kijani. Alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje tangu Desemba 2021 hadi Mei 2025.