ANKARA Watu watatu wauwawa katika shambulio la bomu nchini Uturuki
16 Julai 2005Matangazo
Watu watano wameuwawa katika shambulio la bomu nchini Uturuki. Mtu wa kijitoa muhanga alijilipua akiwa ndani ya basi la abiria katika mji wa mapumziko ulio karibu na baharini wa Kusadasi. Gavana Ali Baris wa Kusadasi, kilomita 72 kusini mashariki mwa mji wa bandari wa Izmir, amesema mlipuko huo umewajeruhi watu wengine 14, baadhi yao wakiwa mahututi.