Al-Shabaab yashambulia AMISOM
9 Juni 2016Matangazo
AMISOM nayo inasema imewauwa wapiganaji wa kundi hilo kiasi ya 110 wa kundi hilo. Kutoka mjini Mogadishu DW imezungumza na mwandishi habari Hussein Aweis na kwanza ameulizwa nilitaka kujua kwanini kunakuwa na taarifa tata?