Huko nchini Afrika Kusini kumetokea ajali ya mgodi ambapo wachimba migodi 3,200 walikwama tangu chini ya mgodi wa dhahabu wa Hamony-ellandsrand katika kijiji cha Kaltonville kuanzia jana jioni. Imearifiwa shughuli ya uokoaji inaendelea katika mgodi huo.