Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani juma hili ni pamoja na mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mvutano wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Marekani baada ya balozi Ebrahim Rasool kuamriwa kuondoka Washington.