Magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii yameangazia juu ya kuchaguliwa kwa Mwenyekiti mpya ya Tume ya Umoja wa Afrika. Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuongezeka ghasia katika eneo la Mashariki ya Kongo na vilabu vya Ulaya vinavyofadhiliwa na Rwanda vyalaumiwa kwa kutoikosoa nchi hiyo kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 nchini Kongo.