Maswala ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na kuibuka tena kwa nguvu waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Sera ya kumiliki ardhi nchini Afrika Kusini yapamba moto kisiasa. Bara la Afrika latatizika baada ya Marekani kusimamisha misaada ya maendeleo na ruzuku kwa Shirika la Afya Duniani, WHO