Magazeti ya Ujerumani yameangazia kadhia ya kusitishwa kwa safari ya ndege iliyokuwa imewabeba waomba hifadhi kutoka Uingereza kwenda Rwanda, ziara ya Mfalme Filipo wa Ubelgiji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo miongoni mwa maudhui nyengine. Mtayarishaji ni Mohammed Khelef.