Kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani wiki nzima ya mkutano imezatitiwa kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi baina ya Ulaya na Afrika. Deutsche Welle ni mshirika wa Wiki ya Biashara ya Afrika.