You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ufaransa kuchunguza kifo cha Arafat
Waendesha mashitaka nchini Ufaransa wamefungua uchunguzi wa tuhuma za mauwaji ya aliyekuwa Rais wa Palestina Yasser Arafat mwaka 2004.
Nini kitatokea baada ya kifo cha Zenawi?
Baada ya Ethiopia kumpoteza kiongozi wake mwenye nguvu sana, suali linaloulizwa ni nini kitatokea baada ya kifo cha Waziri Mkuu Meles Zenawi, hasa inapozingatiwa mjengeko wa taifa hilo lenye makabila mengi.
Kifo cha rais Ghana chaweza kuleta mshikamano wa kitaifa
Ghana imekuwa katika maombolezo tangu jumanne. Kwa mujibu wa katibu mkuu wa Mchakato wa amani wa nchi za magharibi (WANEP), Emmanuel Bombandey, hali hiyo inaweza kupunguza mfarakano baina ya vyama vya siasa nchini humo.
Kenya yaomboleza kifo cha Prof. Saitoti
Kenya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kutokana na vifo vya Waziri wa Usalama, Prof. George Saitoti, na Naibu wake, Orwa Ojode, hapo jana (11 Juni 2012), huku baraza la mawaziri likifanya kikao cha dharura.
Nani atasalimika katika kundi la kifo, Kundi B
Imebakia siku moja tu kabla ya kuanza kwa patashika ya kuwania taji la ubingwa wa mataifa ya Ulaya,kombe la UEFA, Euro 2012.Timu16 zilizogawanywa katika makundi manne zitawania taji hilo nchini Poland na Ukraine.
Bado serikali haijathibitisha kifo cha Rais Mutharika
Ripoti kutoka vyanzo vya kitabibu zinasema Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi amefariki dunia baada ya kuugua maradhi ya moyo, bali hadi sasa serikali ya nchi hiyo haijathibitisha kifo hicho huku wasiwasi ukiongezeka.
Kifo cha Khalil Ibrahim chazua hali ya wasiwasi katika jimbo la Darfur
Kundi kuu la waasi katika jimbo la Darfur, The Justice and Equality Movement – JEM- limethibitisha kuwa kiongozi wake aliuwawa na wanajeshi wa Sudan na likaapa kulipiza kisasi
Maombolezo yaendelea nchini Korea kaskazini kufuatia kifo cha kiongozi wake Kim Jong Il
Mwili wa kiongozi wa muda mrefu wa Korea Kaskazini Kim Jong IL umelazwa katika ikulu ya taifa huku waombolezaji wakimiminika katika kumbi tofauti za umma
Libya ina mustakbali upi baada ya kifo cha Gaddafi?
Maswali yanayoulizwa baada ya kifo cha Muammar Gaddafi ni mustakabali wa Libya na kwa kiasi gani nchi hiyo iko huru kweli na ikiwa ule uadui uliopelekea uasi hatimaye umeshazikwa na Gaddafi jangwani!
Viongozi watoa maoni yao kuhusu kifo cha Gaddafi
Kufuatia kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Moummar Gaddafi hapo jana kumekuwa na hisia tofauti kutoka kwa viongozi mbali mbali duniani.
Kifo cha Gaddafi ni mwanzo wa kipindi kipya Libya
Kifo cha dikteta wa Libya Muammar Gaddafi kinaashiria mwanzo wa kipindi kipya cha kihistoria nchini Libya. Kwa maoni ya mwandishi wetu Rainer Sollich, nchi hiyo inakabiliwa na changamoto kali kweli.
Mahojiano na Mwanaharakati Hassan Omar Hassan kuhusu kifo cha Profesa Wangari Maathai
Marehemu Profesa Wangari Maathai atakumbukwa kwa juhudi zake za kuyasukuma mbele masuala ya haki za binadamu na ulinzi wa mazingira.
Kifo cha Rabbani ni pigo kwa amani Afghanistan
Rais wa zamani wa Afghanistan, Burhanuddin Rabbani ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa nyumbani kwake hapo jana mjini Kabul.
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Osama zajitokeza
Kilichomtokezea Osama bin Laden mwisho wa masiha yake, sasa kinazidi kuibuka na utawala wa Rais Barack Obama unakiri kwamba kiongozi huyo wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qaida hakuwa amejihami kwa silaha.
Uhusiano kati ya Pakistan na Marekani waathirika,kifo cha Osama
Vyombo vya habari nchini Pakistan vimesema kuwa , kuuwawa kwa muasisi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda Osama bin Laden kutaleta fadhaa kubwa kwa maafisa wa Pakistan.
Kifo cha Osama kimeibua hisia mbalimbali duniani kote
Kifo cha kiongozi wa wa Al-Qaeda Osama bin Laden kimeendelea kuibua hisia mbalimbali kote ulimwenguni. Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema kuuwawa kwa kiongozi huyo ni ushindi kwa wapenda amani.
Rais Obama athibitisha kifo cha kiongozi wa al Qaeda Osama bin Laden
Kiongozi wa kundi la al Qaeda Osama bin Laden ameuwawa. Amethibitisha hayo rais wa Marekani Barack obama. Obama amesema operesheni ilifanywa siku ya Jumapili. Maiti yake imezikwa baharini.
Makamo waziri mkuu wa utawala wa Sadam Hussein,Tareq Aziz ahukumiwa adhabu ya kifo
Mahakama kuu ya Iraq yawakuta na hatia vigogo watatu wa utawala wa zamani wa Irak kwa makosa miongoni mwa mengineyo ya uhalifu dhidi ya ubinaadam-mahakama hiyo yaamuru wanyongwe
Adhabu ya kifo yatekelezwa Marekani.
Kutekelezwa kwa adhabu ya kifo katika jimbo la Virginia, nchini Marekani, kumechochea hasira kali kutoka kwa watu wanaoipinga adhabu ya kifo.
Hariri aiona Syria haina makosa juu ya kifo cha Babaake
Waziri mkuu wa Lebanon, Saad al-Hariri,amekiri kwamba muungano anaouongoza na unaoungwa mkono na nchi za Magharibi, ulifanya haraka kuituhumu Syria kwa kuuliwa baba yake, waziri mkuu wa zamani, Rafik al-Hariri.
Uganda yashinikizwa kuchunguza kifo cha Saidi Lutaaya
Shirika la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Uganda itimize ahadi yake ya kuwashitaki maafisa wa usalama waliohusika katika visa vya ukiukaji wa haki za binadamu kwa kuteua afisa kuchunguza kifo cha Lutaaya
Dunia yaomboleza kifo cha Rais wa Poland
Rais Kaczynski amefikwa na mauti baada ya ndege yake kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, Urusi.
Afrika Kusini baada ya kifo cha Terre Blanche
Inaelekea wapi ?
E.Terreblanche na kifo chake .
Afrika Kusini yaelekea wapi ?
Wahariri wa magazeti walaani adhabu ya kifo!
Katika maoni yao wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanashutumu adhabu ya kifo iliyotolewa na China kwa raia wa Uingereza.
Ujerumani yaomboleza kifo cha kipa Robert Enke
Kamerun na Nigeria zakata tiketi zao za Kombe la dunia 2010.
Nini sababu za kifo cha kipa wa taifa Enke ?
Hukumu ya Muuwaji wa mama wa kimisri -kifungo cha maisha.
Miaka kumi ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
<p>Leo ni miaka kumi tangu kufariki dunia mwanzishaji wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere.
Rwanda: Mkutano kuhusu Adhabu ya Kifo
Umoja wa Afrika -AU- umeanzisha mjadala kuhusu adhabu ya kifo, kwa lengo la kuzishawishi nchi wanachama wake kufuta adhabu hiyo, ambayo umoja huo unasema inakiuka haki ya binadamu kuwa na uhai.
Al Shabab kulipiza kisasi kifo cha Nabhan
Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab lililo na mafungamano na kundi la Al-Qaeda wamekiri kuwa kamanda wao mmoja aliuawa katika operesheni ya wanajeshi wa Marekani iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii.
Kifo cha Ted Kennedy
Huzuni za walimwengu kwa kifo cha mwanasiasa mashuhuri kabisa wa Marekani
Kifo cha Seneta Edward Kennedy chaombolezwa duniani.
Viongozi wa dunia wamkumbuka Ted Kennedy.
Kifo cha mwisho kabla ya kuondoshwa Ukuta wa Berlin
Tarehe 5 Februari 1989,ilikuwa siku ya mwisho ambapo mkazi wa Berlin ya Mashariki alipoteza maisha yake alipojaribu kukimbilia upande wa Magharibi.
Abiria 155 wanusuruka kifo kufuatia ajali ya ndege Marekani.
Katika tukio la kimiujiza ndege ya abiria ya shirika la ndege la marekani imetua katika mto Hudson mjini Newyork na abiria wote 155 wamenusurika.
Mapinduzi yafuatia kifo cha Lansana Conte
Muimla wa Guine Conacry aiaga dunia na kuiacha Guine ya Conacry katika hali ya ufukara
Miaka minne tokea kifo cha Yasser Arafat kiongozi wa Wapalestina.
Maelfu ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wamekusanyika katika kaburi la marehemu Yasser Arafat leo hii kwa kumbukumbu ya miaka minne tokea kifo cha kiongozi wao huyo shujaa.
Kukabiliwa kwa mashitaka ya Uhaini kwa Katibu Mkuu wa chama cha MDC nchini Zimbabwe, Tendai Biti, huwenda kukamfanya akabiliwe na adhabu ya kifo.
Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change-MDC, Tendai Biti, anakabiliwa na mashitaka ya uhaini.
Kesi ya Guantanamo.
Watuhumiwa wa mashambulio ya kigaidi wasema wanataka kufa mashahidi.
China na Iran zapinga ripoti kuhusu hukumu ya kifo
China inaongoza katika orodha ya nchi zilizowauwa watu wengi zaidi mwaka jana kutokana na hukumu ya kifo.
Marekani yataka washukiwa wa mashambulio ya Septemba 11 wahukumiwe kifo
Maelezo juu ya kifo cha Bhutto yatatanisha
UM wapitisha azimio kusitisha hukumu ya kifo.
Azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya adhabu ya kifo
Hukumu ya kifo yafutwa katika jimbo la New Jersey- Marekani
Jimbo la Marekani New Jersey kuondosha adhabu ya kifo
New York. Baraza kuu la umoja wa mataifa kuidhinisha usitishaji wa adhabu ya kifo.
Hukumu ya kifo yatishia kuligawa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lenye wanachama 192 linatarajiwa kuipigia kura hukumu ya kifo, pengine mwanzoni au katikati ya mwezi huu wa Novemba. Hukumu ya kifo inaelezwa kuwa swala tete la kisiasa linalosababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa.
LISBON : Leo ni siku dhidi ya hukumu ya kifo
Siku ya Kimataifa Kupinga Adhabu ya Kifo
Maafisa wa Umoja wa Ulaya wanaokutana Lisbon nchini Ureno,wanahimiza kuimarisha juhudi za kidiplomasia ili kupiga marufuku adhabu ya kifo kila pembe ya dunia.Hii leo,kwa mara ya kwanza inaadhimishwa siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani.
LONDON : Kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Diana
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 11
Ukurasa unaofuatia