You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Dunia yaomboleza kifo cha Helmut Kohl
Kansela Angela Merkel amemtaja Kohl kama tukio la bahati la Wajerumani.
Manuel Noriega: Kifo cha dikteta
Askari wa zamani, raia wa Panama aliyetawala kimabavu Manuel Noriega afariki hospitalini akiwa na miaka 83
China yaoongoza katika utoaji hukumu ya kifo duniani
Shirika la Amnesty International lasema China bado inoongoza duniani kote katika utoaji hukumu ya kifo.
Hatima ya dhabu ya kifo Marekani
Mashindano ya nyímbo Eurovision yapewa sura ya kisiasa
Churkin akumbukwa na wengi umoja wamataifa
Churkin akumbukwa na wengi umoja wamataifa
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 1: ''Kifo Hakina Heshima''
Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi
Kunatarajiwa kuwepo na mtikisiko kwa upande wa upinzani baada ya kufariki mwanasiasa mkongwe Etienne Tshisekedi.
Wacongo waomboleza kifo cha Tshisekedi
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo amezungumza na wananchi kusikia wanachosema kuhusu kifo chake.
Kifo cha rais wa saba wa Ujerumani Roman Herzog
Kufariki dunia Roman Herzog na wasichana wa kiislam kutakiwa washiriki katika mafunzo ya kuogelea
Cuba yajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi
Wacuba wanajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi kitakachokuwa hadi Desemba 4.
Kifo cha Fidel Castro: Dunia yatoa rambirambi
Dunia yatoa rambirambi kufuatia kifo cha Fidel Castro
Mahakama yamuondolea Morsi adhabu ya kifo
Mahakama hiyo pia imebatilisha hukumu ya kifo dhidi ya wanachama wengine wa vuguvugu la udugu wa Kiislamu.
Thailand yaanza maombolezo kifo cha Mfalme
Shughuli za burudani zapigwa marufuku ili kutoa fursa ya kuomboleza kwa mwezi mzima, maombolezo yatachukuwa mwaka mzima.
Erdogan apewa onyo
Adhabu ya kifo haikubaliki Umoja wa Ulaya
Erdogan: Huenda tukarejesha adhabu ya kifo
Mataifa ya Magharibi yamtaka Erdogan asitumie adhabu ya kifo
2015 yavunja rekodi kwa adhabu za vifo zilizotekelezwa
Amnesty International yatahadharisha kuhusu ongezeko la adhabu ya kifo
Walinzi wawili wa mbunge wa Somalia wauwawa mjini Mogadishu
Amisom yasema imewauwa viongozi kadhaa wa Al Shabaab
Messi au Ronaldo? mabishano yasababisha kifo
Mtu mmoja ameuawa India kutokana na mzozo wa nani jogoo kati ya Messi na Ronaldo
Kifo cha Scalia chatikisa kinyang'anyiro cha urais Marekani
Rais Barack Obama amesema atatekeleza majukumu yake ya kikatiba na kumteua mrithi wake
Saif al-Islam Gaddafi ahukumiwa kifo
Mahakama ya Libya imemhukumu Saif al-Islam Gaddafi na watu wengine wanane hukumu ya kifo kwa uhalifu wa kivita
Wanafunzi wanahofia usalama wao Pakistan
Hofu ya hali ya usalama imetandanda miongoni mwa wanafunzi wa shule katika eneo la kaskazini mwa Pakistan
Mahakama yathibitisha adhabu ya kifo kwa Mursi
Kiongozi huyo amekutwa na hatia ya kuhusika na mauaji na utekaji nyara mwaka 2011, wakati wa vuguvugu la umma lililomwin
Marekani, Umoja wa Ulaya zakosoa hukumu ya kunyongwa Mursi
Marekani na Umoja wa Ulaya zimeelezea wasiwasi kuhusiana na hukumu za kifo zilizotolewa dhidi ya Rais wa Misri aliepinduliwa Mohammed Mursi na watu wengine kadhaa
Morsi ahukumiwa Kifo
Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri Mohammed Morsi ambaye tayari anatumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la uchochezi wa ghasia dhidi ya waandamanaji,amehukumiwa kifo
Heshima zimeendelea kutolewa kwa Grass
Grass alifariki mjini Lübeck kutokana na maambukizi ya mapafu.
Singapore yaomboleza kifo cha baba wa taifa
Singapore iko kwenye maombolezo ya kifo cha kiongozi wake wa muda mrefu, Lee Kuan Yew, anayetukuzwa sana kwenye taifa hilo aliloliinua kutoka mji usio matumaini hadi ngome imara ya kiuchumi.
Melfu waandamana kuomboleza kifo cha Nemtsov
Melfu waandamana kuomboleza kifo cha Nemtsov
AFCON:Algeria yanusurika,Senegal yaanza vizuri kundi la kifo
AFCON: Algeria yanusurika, Senegal yaanza vizuri kundi la kifo
Wolfsburg yaomboleza kifo cha Malanda
Kifo cha kiungo wa timu ya Ubelgiji ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 Junior Malanda kimeiwacha klabu yake Wolfsburg katika majonzi lakini bado itaendelea na kambi yake ya mazoezi nchini Afrika Kusini
Pakistan yaombwa kusitisha adhabu ya kifo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ameendelea kuihimiza Pakistan kusitisha adhabu ya kifo na kurejesha tena marufuku iliowekwa dhidi ya adhabu hiyo ilioondolewa na serikali kufuatia shambulizi la Peshawar.
Kurejeshwa adhabu ya kifo Pakistan kwawapa wasiwasi Amnesty
Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif ametangaza kurejeshwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa, kwa watakaokutwa na hatia ya ugaidi ingawa Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International linapinga sheria hiyo.
Marekani yathibitisha kifo cha kiongozi wa al Shabaab
Wizara ya ulinzi ya Marekani jana Ijumaa(05.09.2014)imethibitisha kuwa Ahmed Abdi Godane, kiongozi wa kundi la al-Shabaab, ameuwawa katika shambulio la anga la Marekani nchini Somalia wiki hii.
Ni wakati wa kuomboleza kifo cha 'tiki-taka'?
Baada ya kushinda mataji matatu ya mashindano yaliyopita ya kimataifa, ni muhimu kuwaza kama mabingwa watetezi Uhispania huenda wakaambulia patupu katika dimba la Kombe la Dunia nchini Brazil
Adhabu ya kifo ya Misri yalaaniwa vikali
Umoja wa Mataifa na Marekani wamelaani vikali adhabu ya kifo dhidi ya watu 683 wanaodaiwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali akiiwemo kiongozi wa chama cha udugu wa Kiislamu Mohamed Badie.
Adhabu ya kifo na kunyongwa yaongezeka duniani
Shirika la Amnesty International limetoa ripoti inayosema idadi ya watu waliopewa adhabu ya kifo na kunyongwa imeongezeka duniani. Ripoti hiyo inasema watu 778 walinyongwa mwaka jana katika nchi 22.
Hukumu ya kifo kwa watu 529 nchini Misri
Mahakama ya Misri imewahukumu kifo wafuasi 528 wa rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi. Wafuasi hao walikutwa na hatia ya kuanzisha ghasia na kuvamia majengo ya polisi katika mji wa Kusini mwa Minya.
Dunia yaomboleza kifo cha mchezaji nguli Eusebio
Mashabiki wa soka duniani wanaomboleza kifo cha mchezaji nguli alietawala soka la Ureno katika miaka 1960, Eusebio da Silva, "chui mweusi," alifariki dunia siku ya Jumapili akiwa na umri wa miaka 71
Viongozi wa kiafrika wamlilia Madiba
Viongozi mbali mbali barani Afrika nao wametoa rambi rambi zao na kumwelezea Nelson Mandela kama mfano mwema kwao, wakisema pengo lake haliwezi kuzibwa kirahisi.
Dunia yaomboleza kifo cha Mandela
Viongozi mbalimbali wa dunia wakiwemo rais Barack Obama wa Marekani, katibu Mkuu wa Umoja wa Mazaifa ban Ki-Moon na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, wametoa hisia zao juu ya kifo cha mzee Nelson Mandela.
Ajali za barabarani tishio Afrika
Benki ya Dunia imesema kuongezeka kwa makaazi ya mijini katika nchi za Kiafrika kunasababisha matatizo mbali mbali yakiwemo ya afya. Imeelezwa pia kuwa ajali za barabarani zinazidi kuwa nyingi.
Maandamano yaitishwa Tunisia kupinga kifo cha kiongozi wa upinzani
Rais wa Tunisia Moncef Marzouki ametangaza leo 26.07.2013 kuwa siku ya maombolezo baada ya watu waliojihami kwa silaha kumpiga risasi na kumuua mkuu wa upinzani hatua inayoonekana kuzua mzozo wa kisiasa.
Kenya: Uchunguzi wa kifo cha Mutula Kilonzo wafanyika leo
Serikali ya Kenya hii leo 29.04.2013 imeanza uchunguzi rasmi kujua nini kilisababisha kifo cha seneta wa eneo la Makueni nchini humo Mutula Kilonzo.
Kifo cha Chavez cha uhuzunisha ulimwengu
Washirika wa Venezuela wanamlilia Hugo Chavez wanaemtaja kuwa " Mtu wa aina pekee" na ambae kifo chake ni hasara isiyokuwa na kifani.
Venezuela yakanusha habari za kifo cha Chavez
Wasaidizi wa karibu na ndugu wa rais Hugo Chavez wa Venzuela wamekanusha habari kuwa rais huyo anaweza kuwa amefariki au anakaribia kufa kutokana na ugonjwa wa saratani, na kusema kuwa bado anapigana kuokoa maisha yake.
Zanzibar yaomboleza kifo cha Sheikh Bachu
Mchana huu Zanzibar imemzika mmoja wa wanazuoni wake maarufu wa dini ya Kiislamu, Sheikh Nassor Abdullah Bachu, ambaye alifariki dunia jana (13.02.2013) baada ya kuugua zaidi ya mwaka mmoja.
Watu 21 wahukumiwa kifo Misri
Watu 22 wameuwawa (26.01.2013) katika mapambano ya kupinga kuhukumiwa kwa adhabu ya kifo kwa watu 21 kutokana na kuhusika kwao katika ghasia za soka zilizosababisha vifo vya watu 74 wakati wa mechi ya soka mwaka jana
Gambia yashinikizwa kuacha hukumu ya kifo
Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga hukumu ya kifo, ambapo ingawa nchi nyingi duniani zinajiepusha kutekeleza hukumu hiyo, bado kuna mataifa 57 ambayo bado yanaendelea nayo, ikiwemo Gambia inayolaumiwa vikali duniani.
Mwaka mmoja tangu kifo cha Wangari Maathai
Leo (25.09.2012) ni mwaka mmoja tangu kifo cha mwanamazingira maarufu na mshindi wa tuzo ya Nobeli, Wangari Maathai.
Makamu wa rais Iraq apinga hukumu ya kifo dhidi yake
Makamu wa rais wa Iraq Tareq al-Hashemi amepinga hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi yake na mahakama nchini humo jana kwa makosa ya kuhusika na kupanga mauaji na kujigamba kwamba hukumu hiyo ni kama medali kifuani mwake.
Mkutano wa Arab League wataka kifo cha Arafat kichunguzwe
Mkutano huo kwa kauli moja umeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Wapalestina Yasser Arafat kufuatia tetesi kwamba aliuwawa kwa kupewa sumu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 11
Ukurasa unaofuatia