You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
WHO:Kujitoa uhai husababisha kifo kimoja kati ya 100 duniani
Karibu robo tatu ya vifo vya kujitoa uhai duniani hutokea katika nchi maskini, kuliko na watu wengi zaidi duniani.
UN: Iran imetekeleza adhabu ya kifo kwa watu 841 mwaka 2025
Umoja wa Mataifa umesema Iran imetekeleza adhabu ya kifo kwa watu takriban 841 tangu mwanzo wa mwaka 2025 hadi Agosti
Waendesha mashitaka wa Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Serikali ya Kongo imedai kiongozi huyo wa zamani analiunga mkono kundi la M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda
Waendesha mashitaka Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Chama cha Kabila cha PPRD, chalalamika kuwa kiongozi wao anafanyiwa maonevu ya kisiasa
Saudi Arabia yawanyonga wanane kwa ulanguzi wa mihadarati
Umoja wa Mataifa umeitaka Saudi Arabia kusitisha mara moja adhabu ya kifo hasa kwa makosa yasiyo ya vurugu.
Naibu mkuu wa zamani wa DW Kiswahili azikwa mjini Cologne
Mohammed aliaga dunia Jumanne wiki hii nyumbani kwake Cologne.
Buriani gwiji la habari Mohammed Abdulrahman
Naibu Mkuu wa zamani wa idhaa ya Kiswahili ya DW Mohammed Abdulrahman amefariki dunia na kuacha alama isiyofutika.
DW Kiswahili yamuomboleza Mohammed Abdulrahman
Mohammed Abdulrahman akumbukwa kwa kuwa mwandishi mahiri, mlezi, na mjenzi wa Kiswahili fasaha na sanifu ndani ya DW.
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari aombolezwa
Baadhi ya raia wa Nigeria wakosoa utawala wa Buhari kwa kushindwa kushughulikia maovu ya muda mrefu.
Nigeria yaomboleza kifo cha Muhammadu Buhari
Nigeria imeanza mipango ya kuurejesha nyumbani mwili wa rais wa zamani Muhammadu Buhari aliyeaga dunia nchini Uingereza.
Gaza: Wito watolewa GHF ivunjwe, yatajwa kuwa mtego wa kifo
Zaidi ya mashirika 165 ya misaada ya kimataifa yameZaidi ya metoa wito wa kuvunjwa kwa mpango tata wa misaada Gaza, GHI.
Mwendesha mashtaka asaka waranti mpya dhidi ya Yoon
Yoon Suk Yeol alijaribu kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka uliopita, hatua ambayo haikufanikiwa
Maafisa wawili wa polisi Tanzania wahukumiwa kifo
Maafisa wa polisi walimuua mfanyabiashara huyo Mussa Hamisi kwa kumchoma sindano yenye sumu
Bunge la Uingereza kuamua muswada wa huduma ya kifo
Bunge la Uingereza litaamua leo iwapo linaruhusu kuendelea kwa mchakato wa kutungwa sheria ya kutoa msaada wa kifo.
Tundu Lissu: Sina mawasiliano na mawakili wangu
Mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzania Tanzania anayeshikiliwa gerezani kwa tuhuma za uhaini na uchochezi Tundu Lissu ameamua kuwaondosha mawakili wake na kujiwakilisha mwenyewe kuanzia sasa, kufuatia na kile alichoiambia mahakama kuwa hapewi nafasi ya faragha na mawakili wake. Wakili Fulgence Massawe anatoa tahmini ya kisheria kufuatia uamuzi huo wa Lissu.
Afisa wa polisi Kenya akamatwa kwa mauaji ya Albert Ojwang
Kifo cha Ojwanga kimesababisha ghadhabu kubwa na maandamano mjini Nairobi.
Kifo cha mwanablogu Kenya chamliza mzazi, ataka haki
Kifo cha mwanablogu nchini Kenya chamliza mzazi, atamani haki ipatikane
Kifo cha mwanaharakati polisi yakaliwa kooni Kenya
Idara ya Polisi nchini Kenya inamulikwa kwa kifo cha kutatanisha cha Mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii.
Sudan Kusini yakanusha ripoti za kifo cha Rais Salva Kiir
Serikali ya Sudan Kusini imekanusha taarifa kwamba Rais Salva Kiir amefariki dunia.
Amerika Kusini yaomboleza kifo cha rais Jose Mujica
Mujica ni mpiganaji wa zamani wa msituni anayeheshimika na wafuasi wa siasa za mrengo wa kushoto kwa unyenyekevu wake
Charles Hillary afariki dunia
Alikuwa mtangazaji maahiri wa vipindi mbali mbali ikiwemo michezo na burudani
Vurugu zashuhudiwa Vatican watu wakiendelea kumuaga Papa
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis, aliaga dunia siku ya Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88.
Wakristo kote duniani wamuombea Papa Francis
Maelfu ya watu wameanza kuuaga na kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Papa Francis atakayezikwa Jumamosi.
Mwili wa Papa Francis wawasili Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro
Papa Francis anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumamosi mjini Roma.
Watanzania wamuenzi Papa Francis
Watanzania waomboleza kifo cha kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis. Wanamkumbuka namna ambavyo amehimiza upendo, haki na kusisitiza kwake mazungumzo ya kumaliza migogoro kwenye maeneo ya machafuko na alivyopigania haki za binadamu na mazingira.
Watu wamiminika Vatican kumuaga Papa Francis
Papa Francis kuzikwa siku ya Jumamosi katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Bikira Maria Mkuu.
Papa Francis kuzikwa siku ya Jumamosi
Ibada ya mazishi ya Papa Francis imepangwa kuanza Jumamosi saa nne asubuhi katika Uwanja wa Mtakatifu Peter.
Wakatoliki wa Tanzania waomboleza kifo cha Papa Francis
Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis kuhusu namna Wakristo Wakatoliki wa Tanzania wanavyoomboleza kifo cha Papa Francis.
Mwili wa Papa Francis kuwekwa kanisa la Mtakatifu Marta
Mwili wa Papa Francis unaweza kuhamishiwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Peter siku ya Jumatano.
Tanzia: Papa Francis, mhafidhina aliyependa mabadiliko
Hata hivyo, Papa Francis ameaga dunia (21.04.2025) bila kutimiza sehemu kubwa ya ndoto zake za mabadiliko.
Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Papa Francis alichaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki mnamo Machi 13 mwaka 2013.
Idadi ya waliouawa kutokana na hukumu ya kifo yazidi duniani
Amnesty International imesema maelfu ya hukumu nyingine za kifo huenda zilitekelezwa kwa siri.
Kongo yawarudisha Wamarekani waliohukumiwa kifo
Kongo yawarudisha Wamarekani waliohukumiwa kifo baada ya mazungumzo ya ngazi za juu.
Kongo yawarejesha Wamarekani waliokuwa wamehukumiwa kifo
Msemaji wa rais wa Kongo Tina Salama amesema watu hao watatu watatumikia vifungo vyao nchini Marekani
Walionyongwa duniani waongezeka katika miaka tisa: Amnesty
Ripoti ya Shirika la Amnesty International imesema jumla ya watu 1,518 walinyongwa duniani kote katika mwaka 2024.
Tshisekedi abatilisha hukumu ya kifo dhidi ya wamarekani 3
Marekani na Kongo zataka kutia saini makubaliano ya madini kwa kubadilishana na msaada wa kiusalama Kongo.
WHO: Maambukizi ya Ebola yaongezeka nchini Uganda
Uganda ilianza kutoa chanjo ya majaribio dhidi ya kirusi cha Ebola iliyoidhinishwa kwa muda na WHO mwezi Januari.
Besigye ashtakiwa kwa uhaini unaobeba hukumu ya kifo
Licha ya mahakama ya juu kuamua kuwa mahakama ya kijeshi haina mamlaka ya kuwashtaki raia, bado wamendelea kuzuiliwa.
Iran yawanyonga kiasi watu 975 mwaka jana
Iran yawanyonga kiasi watu 975 mwaka jana
Wafuasi wa Navalny wazuru kaburi lake mjini Moscow
Mama yake Navalny amesema anafanya kila awezalo kuhakikisha uchunguzi unafanyika kubaini kifo cha mwanawe.
Viongozi mbalimbali waomboleza kifo cha Sam Nujoma
Sam Nujoma ambaye aliongoza vita vya kupigania uhuru wa Namibia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.
Rais wa zamani wa Ujerumani Horst Köhler afariki dunia
Köehler aliyeiongoza Ujerumani kati ya mwaka 2004 hadi 2010, alifahamika kama muungaji mkono mkubwa wa bara la Afrika.
Amnesty yaihimiza Kongo kusitisha hukumu ya kifo
Amnesty yatoa mwito kwa Rais Tshisekedi kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa watu kadhaa waliopatikana na hatia.
Zimbabwe yapongezwa kwa kuondoa adhabu ya kifo
Umoja wa Mataifa waipongeza Zimbabwe kwa kuondoa hukumu ya kifo, na kuzitaka nchi nyingine kuchukua hatua sawa na hiyo.
UN yakaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa kufuta adhabu ya kifo
Mapema wiki hii, Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa alitia saini sheria ya kuondoa adhabu ya kifo.
Zimbabwe yaondoa hukumu ya kifo
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limepongeza hatua ya kuondolewa kwa hukumu ya kifo.
Askari 23 wakabiliwa na adhabu ya kifo kwa kuliasi jeshi
Askari hao walifikishwa mbele ya mahakama ya kijeshi mjini Butembo katika mkoa wa Kivu Kaskazini
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa India Singh yaanza
Mazishi ya kitaifa kwa Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh yaanza
Bunge Uingereza lapitisha sheria ya kifo cha kusaidiwa
Muswada wa kuhalalisha kifo cha kusaidiwa kwa wagonjwa mahututi umepita usomaji wa pili kwenye Bunge la Uingereza.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 11
Ukurasa unaofuatia