You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Muafghani akamatwa kwa kula njama ya kufanya shambulio
Tawhedi alipanga kufanya shambulio kwenye mikusanyiko ya watu wengi.
Urusi yashambulia ngome mbili za wanamgambo nchini Syria
Oleg Ignasyuk hata hivyo halikuweka wazi eneo kulikofanyika mashambulizi hayo.
Mashambulizi ya Israel yaharibu barabara ya Lebanon-Syria
Israel inadai njia hiyo inatumiwa na wanamgambo wa Hizbullah kusafirisha silaha kimagendo.
Mashirika ya ndege yasimamisha safari za Mashariki ya Kati
Mashirika kadhaa ya ndege yamesimamisha safari zake Kwenda na kutoka Iraq, Iran na Jordan.
Israel yashambulia katikati mwa Beirut
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 100,000 wa Lebanon wamekimbilia nchini Syria kufuatia mashambulizi ya Israel. Taarifa hiyo ni baada ya shambulizi la Ijumaa la Israel kumuua kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah.
Naibu Mkuu wa Hezbollah: Tuko tayari kwa lolote
Hii ni hotuba ya kwanza tangu shambulio la Israel lilipomuua kiongozi wa kundi hilo Hassan Nasrallah.
Jeshi la Marekani lawaua wanamgambo 37 nchini Syria
CENTCOM imesema hakuna dalili zozote kwamba raia wameumizwa katika mashambulizi hayo.
Marekani yasema imewaua wanamgambo 37 nchini Syria
Marekani imesema ilifanya mashambulizi mawili tofauti nchini Syria na kuwaua wale imewataka kuwa "magaidi 37".
Viongozi 4 wa kundi la IS wauawa shambulio la Agosti Iraq
CENTCOM imesema wapiganaji 14 wa ISIS waliuawa, wakiwemo viongozi wanne wa kundi hilo nchini Iraq.
Msyria mbaroni kwa kutaka kuwauwa wanajeshi Ujerumani
Kijana mwenye miaka 27 raia wa Syria anayetuhumiwa kupanga shambulio dhidi ya wanajeshi amekamatwa Ujerumani.
Israel yafanya mashambulizi Palestina, Syria na Lebanon
Matukio yote hayo yamekuwa yakiongeza hofu ya kuzuka kwa vita vipana zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
Waziri mkuu wa Iraq afanya mazungumzo na Rais wa Iran
Viongozi hao wamesema serikali zao zinapinga hatua ya kutanua vita kati ya Israel na kundi la Hamas Gaza.
Idadi ya vijana wanaonaswa kwa ugaidi yaongezeka Ulaya
Ni, jinsi gani kundi la itikadi kali linalojiita dola la kiislamu IS linashawishi vijana Ulaya kushambulia maadui zake?
Iran yaapa kuchukua hatua kujibu vikwazo vipya
Marekani na mataifa yenye nguvu ya Magharibi, yametangaza vikwazo vipya kwa Iran kwa sababu ya kuipa Urusi makombora.
Rais wa Iran awasili Iraq katika ziara ya kwanza ya kigeni
Ofisi ya waziri mkuu Iraq, imefahamisha kuwa kiongozi huyo wa Iran alikaribishwa na waziri mkuu Mohammed Shia al Sudani.
Marekani yakubaliana na Iraq kuondoa wanajeshi wake
Marekani inao wanajeshi wapatao 2,500 nchini Iraq na 900 nchini Syria.
Volker Turk azitaka nchi kuchukua hatua dhidi ya Israel
Wakati huohuo Israel yafanya mashambulizi Syria ambayo yamewauwa watu zaidi ya 14 na wengine 43 wakijeruhiwa vikali.
Mashambulizi ya Israel ndani ya Syria yawaua watu 5
Mashambulizi ya anga ya Israel yaliyoyalenga maeneo matano ndani ya Syria yamewaua watu 5.
Wanamgambo 15 wa kundi la IS wauwawa Iraq
Majeshi ya Marekani na Iraq yawauwa wanamgambo 15 wa kundi linalojiita Dola ya Kiislamu IS katika operesheni ya pamoja.
Ujerumani yawatimua wahalifu wa Afghanistan
Ujerumani imesema haitachukuwa hatua za kurejesha uhusiano wa kawaida na Taliban.
Mahakama Uganda yamhukumu mwanachama wa IS miaka 10 jela
Mtu huyo anahusishwa na tukio la jaribio la shambulio la kigaidi katika shughuli ya mazishi ya kamanda mwandamizi.
Ujerumani kuongeza kasi ya kuwarudisha wahamiaji makwao
Serikali ya kansela Scholz inazidi kukosolewa kwa kushindwa kudhibiti uhamiaji na sheria za kubeba silaha
Scholz atembelea Solingen kulikofanyika shambulio la kisu
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wanaopambana na ugaidi wanamchunguza mtu huyo anayeitwa Issa al- H.
Scholz aitembelea Solingen baada ya shambulizi la kisu
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amewasili katika mji wa Solingen siku tatu baada ya shambulizi baya la kisu.
Assad: Juhudi za kurejesha uhusiano na Ankara hazijafanikiwa
Uturuki ilivunja uhusiano na Syria mnamo mwaka 2011 baada ya kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria.
Zaidi ya watu 10 wameuawa katika shambulio Burkina Faso
Kulingana na chanzo cha hospitali, zaidi ya watu 100 wamefikishwa hospitalini wakiwa na majeraha.
Je, EU inapaswa kufikiria upya sera yake kuhusu Syria?
Sera ya Umoja wa Ulaya kuhusu Syria imeshindikana huku kundi kubwa la wahamiaji likisaka hifadhi kwa nchi wanachama.
Watu 10 wauawa katika shambulio la ADF mashariki mwa Kongo
Chifu wa eneo hilo Leon Siviwe amethibitisha vifo vya watu hao, wakiwemo wanaume na wanawake.
Wanajeshi wa Marekani washambuliwa Syria
Vikosi vya Marekani nchini Syria vimeshambuliwa kwa ndege isiyo rubani, ingawa hadi sasa hakuna taarifa za majeruhi.
Washirika wa Hamas walaani mauaji ya kiongozi wake
Iran, Urusi, China , Uturuki na makundi washirika wa Hamas wametuma salamu za pole na kulaani vikali mauaji ya Haniyeh.
Nchi kadhaa za Ulaya kurekebisha mahusiano na Syria
Nchi hizo zilipendekeza pia kuundwa kwa ofisi ya mjumbe wa EU kwa Syria na kufunguliwa kwa Ubalozi mpya mjini Brussels.
Israel yashambulia kambi za ulinzi nchini Syria
Israel yashambulia kambi za ulinzi nchini Syria
Iraq: Roketi zafyetuliwa kuelekea kambi ya jeshi la Marekani
Makundi yanayoungwa mkono na Iran yamekuwa yakiushinikiza muungano wa kijeshi uondoke nchini humo.
Putin ajadiliana na al-Assad kuhusu mizozo Mashariki ya Kati
Rais wa Urusi Vladimir Putin, amekutana na Rais Bashar al Assad wa Syria mjini Moscow,
Kundi la IS huenda linajiunda upya
Kundi la kigaidi la IS limedai kuhusika kwenye mashambulizi 153 huko Syria na Iraq, miezi sita ya kwanza ya 2024.
Syria yafanya uchaguzi wanne wa Bunge tangu kuzuka kwa vita
Wasyria katika maeneo yanayodhibitiwa na serikali wamepiga katika uchaguzi wa nne wa bunge tangu kuanza kwa vita.
Erdogan huenda akamualika Assad kwa mazungumzo Uturuki
Vita vya Syria vilivyoanza mwaka 2011 yaliyatia doa mahusiano ya mataifa hayo mawili.
Dola la Kiislamu lauwa watu zaidi ya 4,000 Syria tangu 2019
Dola la Kiislamu lauwa watu zaidi ya 4,000 Syria tangu 2019
Erdogan hajaondoa uwezakano wa kurudisha uhusiano na Syria
ongozi huyo wa Uturuki ameongeza kuwa nchi yake haina nia ya kuingilia kati masuala ya ndani ya Syria.
Nani wakulaumiwa vifo vya Mahujaji huko Makka?
Nani wakulaumiwa au nini kilichosababisha vifo vya Mahujaji huko Makka?
Jeshi la Niger ladai kumuua mwanachama muhimu wa kundi la IS
Niger imekuwa kwa miaka mingi ikikabiliwa na mashambulizi ya makundi ya kigaidi.
Mwendesha mashtaka Ujerumani aonya juu ya kitisho cha ugaidi
Idadi ya matukio ya uhalifu yanayochochewa na siasa yameongezeka maradufu Ujerumani.
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 41 kufuatia shambulio Kongo
ADF wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu wanaendesha harakati zao mashariki mwa Kongo.
Zaidi ya raia 50 wauawa na ADF mashariki mwa DRC
Kundi la ADF, asili yake ni waasi wenye itikadi kali za kiislamu kutoka Uganda.
Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu
Scholz amechukizwa na tabia ya watu waliopewa hifadhi nchini Ujerumani kujihusisha na uhalifu.
Scholz aunga mkono kufukuzwa wahalifu wa Syria, Afghanistan
Akihutubia bunge la Ujerumani, Bundestag, Scholz amesema uhalifu na vitisho vya kigaidi havina nafasi nchini Ujerumani.
Zaidi ya nusu ya miundombinu yote Ukanda wa Gaza imeharibiwa
Wakati huohuo Benjamin Netanyahu asema awamu ya kwanza ya mpango wa amani yaweza kufikiwa bila ya kusitishwa mapigano.
Ujumbe wa UN kuondoka Irak mwishoni mwa mwaka 2025
Ujumbe huo unao wafanyakazi takriban 700 ambao kazi yake ni kuishauri serikali kuhusu mazungumzo ya kisiasa
Rais Assad wa Syria akutana na Kiongozi Mkuu Iran Khamenei
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkaribisha Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Tehran.
Maafisa watatu waandamizi wa Syria wahukumiwa Ufaransa
Maafisa hao ni wa ngazi za juu zaidi nchini Syria kushitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu katika mahakama ya Ulaya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 77
Ukurasa unaofuatia