You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bashar al-Assad na familia yake wapewa hifadhi Urusi
Assad ameikimbia nchi baada ya waasi kuchukua udhibiti wa mji mkuu Damascus.
Urusi yasema Assad ameondoka nchini Syria
Urusi pia imesema kambi zake za kijeshi Syria ziko katika tahadhari kubwa lakini hakuna kitisho dhidi yao kwa sasa.
Viongozi wa dunia wapongeza Assad kuondolewa madarakani
Marekani yasema inafuatilia matukio ya Syria kwa maribu na kuhimiza amani na mshikamano
Serikali ya Bashar Al Assad yadaiwa kuondolewa madarakani
Hii ni mara ya kwanza wapiganaji wa upinzani kuingia Damascus tangu mwaka 2018
UAE yaitolea mwito Syria kujizuwia na vurugu
Rais Assad hadi sasa hajulikani aliko na Gargash alikataa kuthibitisha au kukanusha iwapo rais huyo ataomba hifadhi UAE.
Waasi wa Syria waingia Damascus, wasema Assad amekimbia
Waasi nchini Syria wamedai kuwa rais wa Syria Bashar al-Assad amekimbia nchi.
07.12.2024: Matangazo ya jioni
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol anusurika kungo'lewa madarakani nchini humo ++ Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuongoza sherehe za kufunguliwa tena Notre Dame mjini Paris++ Waghana milioni 18 wanapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini humo
Chanzo: Hezbolah imetuma wapiganaji 2000 nchini Syria
Shirika linalofuatilia vita nchini Syria limeripoti kuwa serikali ya nchi hiyo imepoteza udhibiti wa mji wa Daraa.
Waasi Syria waitwaa Daraa
Serikali ya Syria imepoteza udhibiti wa jimbo na mji muhimu wa kusini, Daraa.
Maelfu ya watu wakimbilia mji wa Homs katikati mwa Syria
Makundi hayo ya waasi tayari yameiteka miji muhimu ya Aleppo upande wa kaskazini na Hama katikati mwa Syria.
Waasi wa Syria waendelea kusonga mbele
Mkuu wa kundi hilo amesema lengo lao ni kuuteka mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa rais Bashir al-Assad.
Uturuki yakiri kukutana na Urusi na Iran kuijadili Syria
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa mkutano huo utafanyika kati ya Uturuki, washirika wa Damascus, Iran na Urusi.
Israel yashambulia "njia za kusafirisha silaha" za Hezbollah
Shambulio hilo limefanyika wakati Israel na Hezbollah zikilaumiana kukiuka masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano
Hamas: Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yaanza tena
Taarifa hiyo imetolewa wakati Israel ikiendeleza mashambulizi yake huko Gaza wanakoishi mamilioni ya Wapalestina.
Waasi wa Syria waingia mji wa Hama
Waasi wa Syria wameingia kwenye mji wa Hama na kuwalazimisha wanajeshi wa serikali kuondoka na kujipanga nje ya mji huo.
Nani anadhibiti eneo gani nchini Syria?
Vikosi vya serikali viliondoka katika maeneo yenye Wakurdi wengi kaskazini na mashariki mwa Syria.
Urusi yaunga mkono hatua za Syria dhidi ya waasi
Urusi yasema inaunga mkono hatua zinazochukuliwa na Syria dhidi ya waasi
Syria yajipanga kulipiza mashambilio ya waasi mkoani Hama
Volker Türk ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa vita Kaskazini magharibi mwa Syria.
UN yatoa wito wa kupunguza uhasama na kuwalinda raia Syria
Jeshi la Syria na washirika wake wameendelea kupambana na waasi waliovamia na kuchukua udhibiti wa mji wa Aleppo.
Vita vyashika kasi Syria, Iran yataka diplomasia kutumika
Waasi wameudhibiti mji mkubwa wa Aleppo huko Syria na kuibua wasiwasi wa kisiasa na kiusalama katika nchi jirani, Iraq.
Uturuki: Kiini cha vurugu za Syria si "uingiliaji wa kigeni"
Uturuki yasema itakuwa kosa kujaribu kueleza kuwa matukio ya Syria yametokana na uingiliaji wa mataifa ya kigeni.
Vikosi vya Syria vyaendelea kukabiliana na waasi Aleppo
Jeshi la Syria na vikosi vya Urusi wameshambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi mashariki mwa mji wa Aleppo
Wanamgambo wa Iraq watua Syria kutoa msaada wa kijeshi
Kamanda mkuu wa jeshi la Syria la SDF amesema bado hali kaskazini magharibi mwa Syria imeendelea kuwa mbaya zaidi.
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria baada ya kusonga mbele
Watu 16 wauawa katika shambulizi la anga mjini Aleppo
Ripoti zilisema mapema kwamba waasi nchini Syria sasa wanadhibiti sehemu kubwa ya mji wa Aleppo.
Jeshi la Syria lazidiwa, laikimbia Aleppo
Jeshi la Syria lilisema Jumamosi kuwa dazeni kadhaa ya wanajeshi wake waliuwawa kufuatia shambulizi lililofanywa kaskazi
Waasi nchini Syria wadhibiti eneo kubwa la Aleppo
Waasi hao wameendelea kushambulia vikosi vya serikali vinavyosaidiwa na Iran na Urusi tangu siku ya Jumatano.
IDF lashambulia "miundombinu ya kijeshi" ya Hezbollah
Israel imesema hatua ya kusafirisha silaha kimeagendo inakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano baina yao na Hezbollah.
Jeshi lafunga uwanja wa ndege, barabara mjini Aleppo
Wapiganaji wa upinzani walifanya operesheni ya kushtukiza na kuwaacha wanajeshi wa serikali wakiwa wameduwaa!
Waasi wa Syria waingia mji wa Aleppo
Mapigano hayo ni mmoja ya makali zaidi katika miaka kadhaa, huku watu 255 wakiripotiwa kuuawa.
Makundi ya kijihadi ya Syria yaushambulia mji wa Aleppo
Haya ni mashambulizi makubwa dhidi ya wanajeshi wa serikali ambayo yamesababisha mapigano zaidi nchini humo
Mamia ya watu wauawa katika mapigano ya Syria
Kundi la waasi la Tahrir-al-Sham na washirika wake wamezuwia barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Damascus na Aleppo.
Mapambano makali yaendelea Syria kati ya wapiganaji na jeshi
Mashambulizi ya Urusi, mshirika wa utawala wa Assad, yameuwa raia 19.
Palestina yalaani kura ya turufu ya Marekani kuhusu Gaza
Palestina yalaani hatua ya Marekani ya kuzuia azimio la kusitishwa kwa mapigano huko Gaza katika Baraza la Usalama.
Israel yafanya mashambulizi katika wilaya moja Damascus
Wilaya hiyo ndiko kunapatikana majengo mengi ya balozi, makao makuu ya usalama na ofisi za Umoja wa Mataifa.
Mashambulizi ya Israel yaua watu Gaza, Lebanon na Syria
Israel imefanya mashambulizi kadhaa nchini Syria, Lebanon na katika Ukanda wa Gaza, na vifo vya makumi vimeripotiwa.
Israel yauwa wengine sita Lebanon
Mashambulizi ya Israel nchini Lebanon yameuwa watu sita na Marekani ikishambulia maghala ya Hizbullah nchini Syria.
Iraq yatarajia Trump atatimiza ahadi ya kusitisha vita
Kupitia mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Waziri Mkuu wa Iraq na Trump, taifa hilo la Kiarabu limetaka dunia ya amani.
Israel yasitisha rasmi uhusiano na UNRWA
Israel imesema Jumatatu kuwa imesitisha mahusiano yake na Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi wa P
Misri yapendekeza kusitishwa mapigano kwa siku mbili Gaza
Mkuu wa kikosi cha walinzi wa Iran aionya Israel kwamba itajibiwa vikali baada ya mashambulizi yake nchini Iran
Iraq yaulalamikia Umoja wa Mataifa kuhusu visa vya Israel
Jeshi la ulinzi wa mapinduzi ya Iran limeionya Israel kwamba itakabiliwa na hatua kali baada ya shambulizi nchini Iran.
Israel yafanya mashambulizi ya anga dhidi ya Iran
Qatar, Pakistan, Iraq, Syria, Umoja wa Falme za Kiarabu na Hamas wamelaani vikali mashambulizi ya Israel nchini Iran.
Israel imethibitisha kukishambulia kivuko cha mpakani
Jeshi la Israel limethibitisha kukishambulia kivuko cha mpakani baina ya Syria na Lebanon,
Mashambulizi ya droni ya Uturuki yawaua raia 27 nchini Syria
Mashambulizi ya droni ya Uturuki yawaua raia 27 nchini Syria
Vikosi vya Iraq vyasema vimemuua kiongozi wa kundi la ISIS
Vikosi vya Iraq vyasema vimemuua kiongozi wa kundi la ISIS
Mbaroni kwa kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel
Raia wa Libya amekamatwa nchini Ujerumani kwa shutuma za kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel mjini Berlin.
Mashambulizi ya anga ya Iraq yamuua mmoja wa viongozi wa IS
Jeshi la Marekani ladai kuwa mashambulizi ya anga ya Iraq yamemuua kiongozi mkuu wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu.
Israel yashambulia Gaza, Lebanon na Syria
Hayo yanajiri wakati Iran imeionya Israel kuhusu azma yake ya kulipiza kisasi shambulio la hivi karibuni la makombora.
Marekani yashambulia ngome za IS Syria
Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo yanayodaiwa kuwa ni ngome za kundi la IS.
Israel yashambulia barabara kuu ya Syria -Lebanon
Mashambulizi ya Israel yamelenga barabara kuu inayounganisha Syria na Lebanon kukata njia za ugavi za Hezbollah.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 77
Ukurasa unaofuatia