You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ushawishi wa Uturuki kwa Syria ni mdogo
Uturuki haijafanikiwa katika jitahada zake za kumshawishi Rais wa Syria Bashar al-Assad kufanya mageuzi badala ya kutumia mabavu, jambo linalodhihirisha kuwa ushawishi wa Uturuki kwa serikali ya Syria si mkubwa sana.
Utawala wa Syria wapoteza uhalali - EU
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Catherine Ashton amesema utawala wa Syria umepoteza uhalali wake huku Umoja huo ukimshinikiza Rais Bashar Al Assad kwa kumuonya kwamba vikwazo vinaweza pia kuwekwa dhidi yake.
Umoja wa Ulaya waiwekea Syria vikwazo
Umoja wa Ulaya umemuonya rais wa Syria, Bashar al Assad kumaliza ukandamizaji dhidi ya raia au akabiliwe na hatua za kumuadhibu huku umoja huo ukiridhia vikwazo dhidi ya serikali ya nchi hiyo vinavyoanza kutekelzwa leo.
Mauaji zaidi Syria
Licha ya serikali kuweka marufuku ya kuandamana bila ya kibali, hali ya mambo inazidi kuharibika nchini Syria, huku vikosi bvya serikali vikiendelea kuwashambulia waandamanaji kwenye miji kadhaa nchini humo.
Umwagaji damu waendelea Syria
Watu sita waliuawa hapo jana nchini Syria, baada ya vikosi vya serikali kushambulia bandari ya Banias kaskazini mwa nchi.
Syria iache kutumia mabavu dhidi ya waandamanaji
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemtaka Rais wa Syria Bashar al-Assad kukomesha umwagaji damu na kuwakamata kiholela, wapinzani wanaoandamana kwa amani.
Uhuru wa habari bado ni ndoto Syria
Wakati Syria ilipoondosha hali ya hatari iliyodumu miaka 50 pamoja na marufuku ya mawasiliano kupitia mitandao hivi karibuni, ilitarajiwa kuwa mwanzo wa mageuzi. Lakini hiyo ilikuwa ndoto tu, maana ukandamizaji ungalipo.
Wapinzani Syria wapewa siku 15 kujisalimisha
<p>Serikali ya Syria imewapa watu waliotekeleza vitendo vya uvunjaji sheria muda wa siku 15 kujisalimisha katika vyombo vya sheria kote nchini humo.
Jumuiya ya kimataifa kuiwekea vikwazo Syria
Jumuiya ya kimataifa imeanza kuchukua hatua dhidi ya Syria inayotumia nguvu dhidi ya waandamanaji wanaoipinga serikali nchini humo.
Baraza la haki za binadamu laijadili Syria
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa leo limeanza vikao maalumu juu ya Syria, huku shinikizo likiongezwa kwa ajili ya kulaani hatua kali zinazochukuliwa dhidi ya waandamanaji na kutaka kufanyike uchunguzi.
Uingereza yazungumzia maandamano nchini Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, William Hague, amesema Rais Bashar Assad hawezi kuwa na uwezo wa kuongoza mabadiliko nchini mwake yanayoshinikizwa na waandamanaji.
Syria yatumia jeshi kuwavunja nguvu wapenda mageuzi
Wanaharakati wa haki za binaadam wanahoji Syria inatanguliza mbele nguvu za kijeshi kulivunja nguvu vuguvugu la wapenda demokrasia nchini humo. Watu 25 wameuwawa huko Daraa hii leo.
Majeshi ya Syria yaendelea kuuwa raia
Majeshi ya Syria yanaendelea na mashambulizi yake dhidi ya raia ambapo watu takriban 20 wameripotiwa kuuawa katika mji wa Daraa.
Polisi nchini Syria washambulia wanaharakati
Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Syria, wamesema polisi wa idara ya upelelezi, wamevamia nyumba kadhaa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Damascus usiku wa kuamkia leo.
Takriban watu 88 wauawa Syria
Idadi ya watu waliouawa katika maandamano ya kudai mageuzi ya demokrasia nchini Syria imeongezeka hadi kufikia 88.
Maandamano yanaendelea nchini Syria licha ya uamuzi wa kubatilisha sheria ya hali ya hatari
Mageuzi yaliyotangazwa na rais Bashar al Assad ili kutuliza kilio cha wananchi,hayatoshi wanasema wapinzani.Wanataka wafungwa wa kisiasa waachiliwe huru na utawala wa chama kimoja ukome.
Serikali ya Syria yajiuzulu
Rais wa Syria Bashar al Asssad ameridhia uamuzi wa kujiuzulu serikali yake kufuatia siku kadhaa za maandamano nchini humo.
Biden asema Iraq imepiga hatua
Makamu wa rais wa Marekani Joe Biden amewasili mjini Baghdad kwa mkutano wa kwanza na Nuri al Maliki tangu waziri huyo mkuu wa Iraq kuanza hatamu yake ya pili.
Serikali ya Muungano yaundwa nchini Iraq.
Waziri mkuu, Nuri al Maliki ataendelea kulihudumia taifa katika wadhifa wake.
Ripoti ya Wikileaks juu ya Unyanyasaji Iraq.
Marekani imeelezwa kwamba ilitambua, lakini ilishindwa kuchunguza matukio ya kuwanyanyasa wafungwa nchini Iraq.
IAEA yajikuta katika njia panda dhidi ya Syria
Shirika la Nguvu za Atomiki la Umoja wa Mataifa IAEA limesema kuwa Syria imekuwa ikiweka vikwazo dhidi ya shirika hilo kuichunguza kuhusiana na shashaka kuwa nchi hiyo inajihusiska na shughuli za atomiki
Ripoti ya Amnesty International dhidi ya mahabusu, Iraq.
Shirika la Kimataifa la Haki za binaadamu, Amnesty Internatinal limearifu kwamba maelfu ya watu wanashikiliwa katika magereza ya Iraq, bila ya kufunguliwa mashtaka na pia kunyanyaswa kisaikolojia na mateso mengine.
Hariri aiona Syria haina makosa juu ya kifo cha Babaake
Waziri mkuu wa Lebanon, Saad al-Hariri,amekiri kwamba muungano anaouongoza na unaoungwa mkono na nchi za Magharibi, ulifanya haraka kuituhumu Syria kwa kuuliwa baba yake, waziri mkuu wa zamani, Rafik al-Hariri.
Rais Obama atoa hotuba ya kukamilisha vita vya Iraq.
Wanajeshi 4,400 wa Marekani waliuawa, 34,260 walijeruhiwa na maelfu ya Wairaqi walikufa katika vita hivyo.
Wanajeshi wa Marekani wakamilisha harakati za kijeshi nchini Iraq
Rais Barack Obama ataahutubia taifa leo usiku kuadhimisha mwisho wa shughuli z kijeshi za nchi yake nchini Iraq
Mripuko katika kituo cha makuruti Iraq
Hadi watu 60 wameuawa katika shambulio lililofanywa na mshambuliaji wa kujitoa muhanga katika kituo cha kuandikisha wanajeshi katika mji mkuu wa Iraq,Baghdad.Watu 125 pia wamejeruhiwa katika shambulio hilo.
Tariq Aziz auponda uamuzi wa Marekani kuondoa majeshi Iraq
Amtetea Saddam Hussein kwa kusema ukweli juu ya silaha za maangamizi.
030810 USA Irak Obama
Rais Barack Obama aitekeleza ahadi ya kuyaondoa majeshi ya Marekani kutoka Iraq.
Miaka 10 madarakani; Rais Al-Assad wa Syria akosolewa kwa ukandamizaji wa haki.
Syria ni kati ya nchi zinazokandamiza zaidi uhuru wa uandishi habari duniani.
Rais wa Urusi Dmitri Medvedev ziarani nchini Syria
Viongozi wa Urusi na Syria wasisitiza umuhimu wa kufumbuliwa mzozo wa Mashariki ya kati na kulitakasa eneo hilo na silaha za kinuklea
Watu 35 wauawa katika mashambulio ya mabomu Iraq
Mashambulio hayo ni mfululizo wa miripuko ya mabomu iliyoanza Ijumaa iliyopita
Matokeo ya uchaguzi kutangazwa leo
Tume ya uchaguzi nchini Iraq yakiri kwamba upinzani ni mkali.
Matokeo ya uchaguzi wa Iraq hadi sasa
Al -Maliki na Allawi wako bega kwa bega
Waziri Mkuu Maliki aongoza katika uchaguzi wa Iraq
Waziri Mkuu wa Iraq, Nuri al-Maliki, aliyesaidia kutuliza mizozo ya kimadhehebu nchini Iraq, anashika nafasi ya mbele katika uchaguzi unaotazamwa kama mtihani wa demokrasia changa nchini humo.
Waziri Mkuu al-Maliki aongoza katika uchaguzi wa Iraq
Waziri Mkuu wa Iraq, Nuri al-Maliki, aliyesaidia kutuliza mizozo ya kimadhehebu nchini Iraq, anashika nafasi ya mbele katika uchaguzi unaotazamwa kama mtihani wa demokrasia changa nchini humo.
Uchaguzi wa wabunge Iraq
Uchaguzi wa Iraq umeanza rasmi hii leo . Shughuli ya uchaguzi wa wabunge nchini Iraq imegubikwa na milipuko kadhaa na mashambulio ya makombora baada ya kundi la Al-Qaeda tawi la Iraq kutishia kuivuruga pamoja na kuwaua
Uchaguzi waanza Iraq
Hatima ya Waziri-mkuu Al Maliki
Syria na Iran zataka kuimarisha uhusiano wao
Hii leo Rais wa Syria Bashar al-Assad na rais mwenzake wa Iran Mahmoud Ahmedinejad wamepuza waziwazi jitahada za Marekani kutaka kuleta mtengano kati ya washirika hao wawili katika Mashariki ya kati.
Baraza la Uchumi baina ya Ujerumani na Syria laanzishwa
Mwanzoni mwa wiki hii, mjini Damascus, nchini Syria, kuliasisiwa baraza la kiuchumi baina ya wafanya biashara wa nchi hiyo na wa Ujerumani.
Obama amteua balozi mpya wa Marekani Syria
Chama cha Republican chapinga uteuzi wa Robert Ford
Blair ahojiwa kuhusu Iraq
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ametetea uamuzi wake wa kushiriki katika uvamizi dhidi ya Iraq ulioongozwa na Marekani katika mwaka 2003.
Nigeria,Syria na Cuba na hatua za Marekani
Je, hatua hizo ni dawa mujarab ?
Rais Al-Bashir wa Syria aitisha tena upatanishi wa Uturuki .
Israel yataka mazungumzo yasio na mwisho ?
Mfalme Abdulla wa Saudi Arabia ziarani nchini Syria
Ni ziara ya kihistoria baada ya uhusiano mbaya.
Watu 75 wauawa nchini Iraq
Watu hao wameuawa kufuatia mfululizo wa mashambulio ya mabomu yaliyotokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
Mashambulizi Iraq.
Mashambulizi Iraq yatia wasiwasi kwamba vikosi vya Iraq haviko tayari kushikilia usalama nchini humo.
Leo ni siku ya mwisho kwa majeshi ya Uingereza kuwepo Iraq
Mkataba uliosainiwa na nchi hizo mbili, unaitaka Uingereza kuondoa majeshi yake yote ifikapo Julai 31, 2009.
Kundi mpinzani wa Iran lashambuliwa Iraq.
Kundi kubwa zaidi la upinzani nchini Iran lililo uhamishoni limelaani uvamizi ulioendeshwa na serikali ya Iraq katika kambi moja wanamoishi wafuasi wake.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani akutana na Waziri Mkuu wa Iraq
Akiwa nchini Iraq, Waziri huyo Robert Gates, amesema amefurahishwa na hali ya usalama iliyopo kwa sasa.
Iraq: Usalama baada ya Wamarekani kuondoka mijini
Jee, majeshi ya Iraq yataweza kurejesha amani nchini?
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 58 wa 77
Ukurasa unaofuatia