You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Jeshi la Russia laondoka Syria kwenda Libya?
Vikosi vya kijeshi vya Urusi vilivyoko Syria vinaonekana kuanza mchakato wa kuondoka kwenye kambi zao.
Viongozi wa EU kujadili mustakabali wa utawala mpya Syria
Mataifa ya umoja wa Ulaya yanakabiliwa na maamuzi ya namna gani ya kushughulika na uongozi mpya wa taifa hilo.
Umoja wa Mataifa watoa wito wa uchaguzi huru Syria
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Geir Pedersen ametoa wito wa kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki nchini Syria
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge waandamizi wa kihafidhina katika bunge la Ujerumani, Bundestag, wamewataka wanadiplomasia mjini Damascus kuzungu
Netanyahu: Majeshi ya Israel kusalia Mlima Hermon
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema wanajeshi wa nchi hiyo wataendelea kubaki katika eneo la kimkakati la M
HTS kujivunja na kujiunga na jeshi la Syria
Hayat Tahrir al-Sham (HTS) imesema italivunja tawi lake la kijeshi na kujiunga rasmi na jeshi
Baraza la Usalama: Mchakato wa kisiasa Syria uwe jumuishi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuanzishwa mchakato wa kisiasa "jumuishi" nchini Syria.
Netanyahu: Wanajeshi watabakia ukanda salama na Syria
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema vikosi vya nchi yake vitabakia la ukanda salama na Syria
Baada ya Syria, je, utawala wa Iran utafuata na kuanguka?
Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad je utawala wa Iran pia utaanguka?
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
Ulaya yaipa Uturuki bilioni 1 kuwasaidia wakimbizi wa Syria
Ulaya yaipa Uturuki bilioni nyengine moja kuwashughulikia wakimbizi wa Syria
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Kiongozi wa Syria asema makundi ya waasi "yatavunjwa"
Kiongozi mpya wa Syria amesema makundi yote ya waasi nchini humo yatavunjwa na kuwekwa chini ya wizara ya ulinzi.
Mali yadai kumkamata kiongozi wa IS kanda ya Sahel
Jeshi la Mali limesema limemkamata "kiongozi mkuu" wa tawi la kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS, kanda ya Sahel.
Mashambulizi ya Israel yapiga maghala ya makombora Syria
Israel imekuwa ikiishambulia kile ilichosema ni maeneo ya kijeshi ndani ya Syria baada ya kuangushwa utawala wa Assad.
Serikali ulimwenguni zawasiliana na watawala wapya wa Syria
Serikali mbali mbali za ulimwengu zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wapya wa Syria.
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema mjumbe wao kuzungumza na watawala wapya wa Syria.
16.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
16.12.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mataifa ya kigeni yawajongelea watawala wapya wa Syria
Umoja wa Mataifa na nchi kadhaa duniani zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wa mpito nchini Syria.
Israel yadhamiria kujitanua eneo la Milima ya Golan
Serikali ya Israel imeidhinisha mpango wa kuongeza idadi ya watu kwenye eneo inalolikalia kwa mabavu la milima ya Golan.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ataka Syria iondolewe vikwazo
Syria imekuwa katika mzozo kwa muda mrefu chini ya utawala wa rais aliyeondolewa Bashar al-Assad.
Meza ya Duara: Anguko la Assad na mustakbali wa Syria
Kwenye Meza ya Duara wiki hii, Mohammed Khelef anawaongoza Ahmed Rajab, Abdulfattah Mussa na Harrison Mwilima kujadili anguko la aliyekuwa dikteta wa Syria, Bashar al-Assad, na mustakbali wa taifa hilo la Mashariki ya Kati.
Mjumbe wa UN Syria ataka vikwazo viondolewe baada ya Assad
Mjumbe Maalum wa UN kwa ajili ya Syria Geir Pedersen ametoa wito kwa taifa hilo kuondolewa vikwazo mara moja.
Marekani yakiri kuwasiliana moja kwa moja na Syria
Kundi hilo la waasi la HTS lilichukua madaraka baada ya kumuangusha Rais Bashar al-Assad siku chache zilizopita.
Mjumbe wa UN aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Blinken afanya ziara nchini Iraq kuhusu hali ya Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na waziri mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani.
G7 kuijadili Syria, serikali yaahidi utawala wa sheria
Assad aliikimbia Syria baada ya mashambulizi makali yaliyoongozwa na kundi la Kiislamu la Hayat Tahrir al-Sham (HTS).
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Blinken amwambia Erdogan "raia wa Syria wanahitaji kulindwa"
Blinken amemwambia Erdogan kwamba raia wa Syria wapaswa kulindwa baada ya waasi kuipindua serikali ya Bashar al-Assad.
Blinken asema raia wa Syria wanahitaji kulindwa
Mataifa mbali mbali yatangaza kufungua tena balozi zao mjini Damascus.
Katiba, Bunge vyasimamishwa kwa muda Syria
Msemaji wa serikali mpya ya Syria amesema bunge na katiba ya nchi hiyo vitasitishwa kwa miezi mitatu ya mpito
Kundi la G7 lasema liko tayari kuisaidia Syria
Viongozi wa kundi la G7, wamesema wako tayari kusaidia mchakato wa kipindi cha mpito nchini Syria.
Watu 28 wauwawa Gaza katika mashambulizi ya Israel
Watu wasiopungua 28 wameuwawa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza.
Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus, Syria
Qatar imesema itafungua tena ubalozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya miaka 13.
Mohammad al-Bashir aahidi kutenda haki kwa raia wote
Waziri Mkuu mpya wa Syria Mohammad al-Bashir amesema utawala wake utatenda haki kwa raia wote wa Syria.
Waziri mkuu wa Syria akiri, nchi yake haina fedha za kigeni
Waziri mkuu mpya wa Syria awatolea mwito raia Wasyria walioko nje warejee nyumbani
Kamanda wa Kikurdi atangaza usitishaji vita Syria
Kamanda wa kikosi cha wapiganaji wa Kikurdi Syria atangaza makubaliano ya usitishaji vita Kaskazini mashariki mwa Syria
Iran yazishutumu Israel, Marekani kwa anguko la Assad
Israel inasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya jeshi la anga la Syria, ikidai kuweka eneo la ulinzi.
Israel yashambulia maeneo 350 ya kijeshi nchini Syria
Netanyahu atetea hatua hiyo aliyoitaja kuwa "muhimu" kwa usalama wa Israel.
Israel yakanusha vikosi vyake kuingia Syria
Israel imekanusha leo kuwa wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Syria.
Mohammed al-Bashir kiongozi wa mpito Syria
Mohammed Bashir, mtu ambaye hajulikani katika sehemu kubwa ya Syria amesema ataongoza mamlaka ya muda hadi Machi Mosi.
Vikosi vya Israel vyakaribia mji mkuu wa Syria, Damascus
Uvamizi wa jeshi la Israel nchini Syria umefika karibu kilomita 25 kusini magharibi mwa mji mkuu Damascus.
Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300
Duru zina sema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 300 dhidi ya Syria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad.
Israel yafanya mashambulizi makubwa nchini Syria
Hayo yanajiri wakati mchakato wa kukabidhiana madaraka ukianza huko Syria.
Majadiliano ya kukabidhiana madaraka yaanza Syria
Jumuiya ya kimataifa yatoa wito wa kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani na utulivu.
Mawaziri kadhaa bado wapo kazini Syria
Waziri Mkuu wa Syria amesema mawaziri kadhaa bado wanafanya kazi mjini Damascus hata baada ya waasi kuuteka mji mkuu na
Raia wa Syria washerehekea kuanguka utawala wa Assad
Raia wa Syria wamemiminika katika uwanja mkuu kwenye jiji la Damascus hii leo Jumatatu kuashiria mapambazuko yaliyokuwa
Netanyahu: Hatua za Israel zimesaidia anguko la Assad Syria
Watafiti wa masuala ya usalama wamesema kauli ya Netanyahu ina ukweli kwa kiasi fulani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 77
Ukurasa unaofuatia