You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Obama aapa kuizunguka Congress
Rais wa Marekani Barack Obama ameapa kulizunguka bunge na kuchukua hatua kivyake ili kuwaimarisha watu wa tabaka la kati, akionyesha kukatishwa kwake tamaa na kasi ndogo ya kutunga sheria kwa upande wa bunge hilo.
Mazungumzo ya Syria yaingia awamu muhimu
Mkutano wa kusaka amani ya Syria unaofanyika nchini Uswisi unatazamiwa kuanza hatua yake muhimu hivi leo huku mazungumzo yakiingia kwenye masuala ya kiasisa na wapinzani wakishikiza kuondoka kwa Rais Bashar al-Assad.
Mazungumzo ya ana kwa ana yameanza
Mahasimu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria wamekutana kwa mara yakwanza ana kwa ana Jumamosi(25.01.2014)wakianzisha mazungumzo ya kumaliza karibu miaka mitatu ya mzozo uliosababisha watu laki moja kuuwawa.
Mahasimu wa Syria wakutana ana kwa ana
Serikali ya Syria na upinzani hatimaye wamekutana ana kwa ana (Jumamosi 25.01.214) wakati mazungumzo magumu ya amani yanayodhaminiwa na Umoja wa Mataifa yakisonga mbele mjini Geneva.
Pande zinazopingana Syria kukutana , mazungumzo ya amani huenda yasifanyike
Baada ya siku kadha za uchelewesho na kushutumiana, pande zinazopigana Syria zitafanya mkutano wao wa kwanza leo Jumamosi (25.01.2014) kuanza mazungumzo ya kumaliza mzozo huo unaokaribia kutimiza miaka mitatu.
Saud Arabia yapigania ushawishi Syria
Mwanamfalme wa Saud Arabia Saud al-Faisal, anashiriki katika mazungumzo ya amani ya Geneva ili kushinikiza vita vikome nchini Syria.Lakini wadadisi wanajiuliza kwanini Saud Arabia imepania hivyo ?
Maafisa wa serikali ya Syria na Upinzani kukutana ana kwa ana
Serikali ya Syria na upinzani leo wanatarajiwa kukaa kwa mara ya kwanza katika meza moja ya mazungumzo kujadili namna ya kumaliza ghasia nchini humo zilizodumu kwa takriban miaka mitatu.
Maoni ya wahariri juu ya mkutano wa Syria
Wahariri wanatoa maoni juu mazungumzo ya kuutatua mgogoro wa Syria yaliyoanza katika mji wa Montreux nchini Uswisi.Jee pana matumaini ya mkutano huo kufanikiwa?
Mkutano wa Geneva II waanza kwa mzozo
Mkutano wa kimataifa juu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu miaka mitatu sasa nchini Syria umeanza mjini Montreux, huku mgawanyiko juu ya nafasi ya Rais Bashar al-Assad kwenye kipindi cha mpito ukiibuka.
Human Rights watch yazishutumu nchi zenye nguvu duniani kuhusu Syria
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadaamu Human Rights Watch limezishutumu nchi zenye nguvu zaidi duniani kwa kushindwa kushinikiza kumalizika kwa maovu Syria na badala yake zinaangazia zaidi mazungumzo
Umoja wa Mataifa waifutia Iran mwaliko
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameufuta mwaliko aliokuwa ameutoa kwa Iran kushiriki katika mazungumzo ya amani ya Syria ambayo yanatarajiwa kuanza kesho nchini Uswisi.
Wapinzani Syria waichimbia mkwara UN
Muungano wa upinzani nchini Syria ulitoa muda wa masaa sita kwa Umoja wa Mataifa kufuta mwaliko uliotolewa kwa Iran kuhudhuria mkutano wa Geneva II, vinginevyo wanajitoa.
Mtafaruku baada ya Iran kualikwa Geneva II
Mazungumzo ya amani nchini Syria ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye wiki hii yamekumbwa na sintofahamu, baada ya Umoja wa Mataifa kuialika Iran kushiriki katika mazungumzo hayo. Upinzani umetishia kuyasusia.
Upinzani Syria wakubali kuhudhuria mkutano wa Geneva II
Upinzani uliogawika kwa kiasi kikubwa nchini Syria hatimaye umekubali jana Jumamosi(18.01.2014) kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa amani, wa Geneva II ukisema unataka kumuondoa madarakani rais Bashar al-Assad.
Mazungumzo ya Montreux yawiva
Matayarisho ya mkutano wa wiki ijayo mjini Montreux kusaka amani ya Syria yanaelezwa kufikia hatua nzuri, ambapo Waziri wa Mambo ya Nje Walid Mualle ametangaza mpango wa kubadilishana wafungwa na waasi.
Kesi ya Hariri yaanza
Kesi dhidi ya watu wanne wanaotuhumiwa kupanga mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Lebanon, Rafik Hariri, imeanza mjini The Hague, ikiwa ni takribani miaka tisa baada ya mauaji hayo.
Mashambulizi ya mabomu yauwa watu 46 Iraq
Msururu wa mashambulizi nchini Iraq yakijumuisha mabomu ya kutegwa garini mjini Baghdad yamesababisha mauaji ya watu 46 hivi leo huku wanamgambo wakichukua maeneo mengi zaidi kutoka kwa maafisa wa usalama mkoani Anbar.
Wafadhili waichangia Syria dola bilioni 2.4
Wafadhili wanaokutana nchini Kuwait wameahidi kutoa kiasi cha dola bilioni 2.4 katika msaada wa kibinaadamu kwa waathrika wa vita nchini Syria, ambao mkuu wa umoja huo amesema nusu yao wanahitaji msaada wa dharura.
Wafadhili wakutana Kuwait kuichangia Syria
Wafadhili wanakutana leo nchini Kuwait kuchangisha fedha zitakazowasaidia raia milioni 13 wa Syria walioathirika na vita. Umoja wa Mataifa umeiomba jumuiya ya kimataifa kuchangisha dola bilioni 6.5 kuisaidia nchi hiyo.
Makundi ya upinzani Syria yapata msimamo mmoja
Makundi kadha ya upinzani nchini Syria yamekubaliana kuhusu msimamo mmoja kabla ya mazungumzo ya amani ya kumaliza mzozo nchini mwao.
Mgogoro wa Syria upatiwe uvumbuzi-wachambuzi
Mvutano wa ushindani wa kuitawala Syria katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo linaloshikiliwa na upinzanini sababu zinazosababisha kuendelea kwa mashambulizi ya waasi dhidi ya vita vya kidini.
Syria yaanza kusafirisha silaha za sumu
Serikali ya Syria imeanza kuondoa shehena ya silaha za zumu nchini humo katika katika awamu muhimu ya mpango wa maangamizi wa silaha hizo unaoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa na ambao umechelewa kutoka na sababu kadha
Waasi wauwa wapiganaji 34 wa jihadi Syria
Shirika la uangalizi wa haki za binaadamu nchini Syria limesema kuwa waasi wa Syria wamewaua wapiganaji 34 wa kigeni walio na mafungano na mtandao wa Al-Qaeda kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.
Mwaka wa Kumbukumbu 2014 Magazetini
Kitisho cha itikadi kali ya dini ya kiislam nchini Iraq, mivutano ndani ya serikali ya muungano wa vyama vikuu wiki sita tu tangu ilipoundwa na mwaka wa kumbukumbu- 2014 nchini Ujerumani magazetini
Iran haijaalikwa mkutano wa amani Syria
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon siku ya Jumatatu alituma barua za mualiko kwa mataifa 30 yatakayohudhuria mkutano wa amani wa Syria nchini Uswisi mwezi huu, lakini Iran haikuwa miongoni mwa waalikwa.
Mashariki ya Kati Magazetini
Juhudi za waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry Mashariki ya kati,vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Iraq na shinikizo linalomkaba rais Vladimir Putin wa Urusi ni miongoni mwa mada magazetini
Jeshi la Iraq kuwashambulia wanamgambo mjini Fallujah
Waziri Mkuu wa Iraq Nuri al-Maliki amewataka wakaazi wa Fallujah wawatimue magaidi wanaoudhibiti mji huo, na kuuepusha dhidi ya shambulizi la kijeshi. Ameyaamuru majeshi kutoyashambulia maeneo ya makaazi
Marekani kuisaidia Iraq kupamba na Al Qaeda
Marekani itaisaidia Iraq katika mapambano yake dhidi ya wanamgambo wenye mafungamano na kundi la Al Qaeda lakini haitotuma vikosi vyake nchini humo.Imesema hayo ni "mapambano yao".
Vikosi vya usalama Iraq wafanya mashambulizi
Vikosi vya usalama nchini Iraq vimepigana na wanamgambo wenye mafungamano na kundi la Al-Qaida walioivamia miji inayokaliwa na wasunni, pamoja na kuviteka vituo vya polisi katika mkoa wa al-anbar.
Zaidi ya watu 13 wauwawa Iraq
Zaidi ya watu 13 wameuwawa baada ya jeshi la polisi nchini Iraq kuivunja kambi ya waandamanaji wa madhehebu ya Sunni katika jimbo la Anbar, lililoko upande wa mashariki ya taifa hilo.
Serikali ya Syria imefanikiwa kuokoa raia wake walioshikiliwa na magaidi
Hatimaye serikali ya Syria imefanikiwa kuwahamisha wakazi elfu 5 wa mji wa Adra uliopo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus, waliokuwa wamezingirwa na vikundi vya magaidi katika operesheni iliyofanywa na jeshi lake
Ushiriki wa vyama vya Wakurdi wa Syria, katika mazungumzo ya Geneva
Licha ya kuwepo kwa hali ya kutoaminiana kati ya wapinzani nchini Syria, hatimaye, vyama viwili vya kisiasa vyenye misimamo tofauti miongoni mwa watu wa kabila la Kurdi, vimekubaliana kuhudhuria mkutano wa amani, Geneva
Watu 6 wauawa Lebanon
Watu sita, akiwemo waziri wa zamani wa fedha wa Lebanon, Mohamad Chatah, wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea Beirut. Mauaji hayo yalitokea wakati Chatah akielekea kwenye mkutano wa wanasiasa wa nchi hiyo, Beirut.
Ushiriki wa Iran mkutano wa Syria bado kitendawili
Umoja wa Mataifa umeamua juu ya washiriki wa mazungumzo juu ya mgogoro wa Syria, lakini maafisa wamesema Ijumaa kuwa Marekani inajaribu kuizuwia Iran kushiriki katika mkutano huo uliopangwa kufanyika Januari 22.
Syria yaonywa kuendelea kwa vitendo vya kikatili dhidi ya raia
Mashirika yanayotetea haki za binaadamu yameionya Lebanon kuidhibiti hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka dhidi ya raia wa Syria kutokana na kuendelea kwa vita vya ya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria.
Ban Ki-moon ashutumu matumizi ya silaha za sumu Syria
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ameshutumu matumizi ya silaha za sumu nchini Syria na kusema kuwa wale waliohusika wawajibishwe.
Silaha za sumu zilitumiwa Syria
Ripoti ya mwisho ya Umoja wa Mataifa kuhusu matumizi ya silaha za sumu nchini Syria imesema kuwa gesi ya sumu huenda ilitumika katika mashambulizi mengine manne, kando ya lile lililothibitishwa mjini Damascus.
Shirika la OPCW kupokea tuzo yake rasmi siku ya Jumanne
Wakati shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za sumu OPCW litakapopokea tuzo ya amani ya Nobel mjini Oslo siku ya Jumanne(10.12.2013) wafanyakazi wake watakuwa wanajitayarisha kuharibu ghala la silaha za sumu Syria.
Watoto ndiyo waathiriwa wakubwa wa mzozo wa Syria
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watoto wa Syria ndiyo waathiriwa wakubwa wa vita ambavyo vinaendelea nchini humo kwa zaidi ya miezi thelathini sasa huku wengi sasa wakilazimika kuwa wakimbizi na kuathirika kiakili.
Maoni ya wahariri juu ya kushambuliwa ubalozi wa Iran
Pamoja na masuala mengine wahariri wanazungumzia juu ya kushambuliwa kwa ubalozi wa Iran mjini Beirut na mazungumzo juu ya mpango wa nykulia wa Iran
Upinzani Syria kushiriki mazungumzo ya amani
Kundi kubwa la upinzani nchini Syria linaloungwa mkono na mataifa ya Magharibi, limesema linakusudia kushiriki katika mazungumzo ya amani na serikali ya Syria yatakayofanyika Geneva, iwapo matakwa yao yatatimizwa.
Diplomasia na mzozo wa Syria
Muungano wa Upinzani wa Syria umedokeza leo Jumamosi (09.11.2013) kuwa tayari kutumia diplomasia kukomesha vita vya miezi 31 wakati kundi hilo likianza mkutano kuamuwa iwapo ushiriki mkutano wa amani wa Geneva.
Mazungumzo ya kutafuta amani Syria kufanyika mwishoni mwa mwaka
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema mazungumzo ya kutafuta amani ya Syria sasa yatafanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Juhudi zaendelea kuufanikisha mkutano wa Syria
Urusi, Marekani na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Lakhdar Brahimi, kwa kauli moja wamekubali kutuma ujumbe kwa wahusika katika mazungumzo ya kuisaka amani ya Syria.
Juhudi za kuleta amani Syria
Mjumbe maalum wa kimataifa kwa Syria Lakhdar Brahimi, anakutana na maafisa wa Urusi na Marekani mjini Geneva. katika wakati ambapo Umoja wa mataifa unasema asili mia 40 ya wa Syria wanahitaji kusaidiwa.
Bila wapinzani mkutano wa Geneva hauwezekani
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa na Mataifa ya Kiarabu nchini Syria Lakhdar Brahimi amesema mkutano wa kimataifa wa amani hautawezekana bila ya wapinzani wa Syria, na Umoja wa mataifa ukionya kuhusu ongezeko la utapiamlo.
Waziri Mkuu al-Maliki aomba msaada Marekani
Waziri Mkuu wa Irak Nuri al-Maliki anakutana na Rais Barack Obama mjini Washington wakati ambapo nchi yake inakabiliwa na wimbi kubwa la umwagikaji damu. Waziri Mkuu huyo ameenda Marekani kuomba msaada.
Hakuna mkutano bila upinzani wa Syria
Mjumbe wa amani Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiarabu Lakhdar Brahimi amesema leo kuwa kongamano linalopangwa la amani jijini Geneva ili kumaliza vita vya Syria huenda lisiandaliwe bila ya ushiriki wa upinzani.
Brahimi ziarani Syria
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Lakhdar Brahimi, anakwenda Syria huku juhudi za kimataifa za kuzikutanisha pande zinazohusika na mzozo wa Syria zikikabiliwa na upinzani wa makundi ya itikadi kali.
Brahimi akutana na Muallem
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Syria, Walid Muallem, amesisitiza kuwa ni Wasyria pekee ambao wanawajibu wa kuchagua hatima yao na amepinga madai ya mataifa ya Magharibi kuwa Rais Bashar al-Assad ajiuzulu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 47 wa 77
Ukurasa unaofuatia