You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanamgambo wateka bwawa Iraq
Wanamgambo wa Kisunni kutoka kundi la Dola la Kiislamu wameliteka bwawa kubwa kabisa la Iraq na kuliweka chini ya udhibiti wake ikiwa ni rasilmali kubwa ya kuzalisha umeme na kusambaza maji.
Watoto wa Iraq taabani kutokana na vita
Tume ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuisaidia Iraq, UNAMI, imesema Iraq sasa imegeuka kuwa mahala hatari kabisa duniani kuwa mtoto.
Ban Ki-moon akutana na Maliki
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekutana na viongozi wa juu wa Iraq akiwataka waukwamue mkwamo wa siasa katika wakati ambapo mashambulizi ya kigaidi yakiangamiza maisha ya zaidi ya watu 60.
Umoja wa Mataifa waidhinisha upelekaji misaada Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha ruhusa kuingia kwa misaada ya kiutu katika maeneo ya waasi bila ya ridhaa ya serikali ya Syria katika maeneo manne ya vivuko mpakani na Uturuki, Iraq na Jordan.
Kikao cha bunge chaahirishwa Iraq
Wabunge waliochaguliwa karibuni nchini Iraq walikutana leo(01.07.2014),wakiwa katika mbinyo wa kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kuepusha nchi hiyo kugawanyika baada ya mashambulizi ya Waislamu wenye Imani kali.
ISIS yatangaza miliki ya Khalifa Iraq na Syria
Kundi la wapiganaji wa jihadi wanaoongoza mashambulizi nchini Iraq wametangaza miliki ya Khalifa na kuwataka Waislamu wote duniani kutangaza utiifu kwa kiongozi wao.
Iraq yapambana kuikombowa Tikrit
Vikosi vya Iraq vikisaidiwa na helikopta za mashambulizi vimeanzisha operesheni mapema Jumamosi (28.06.2014) ya kuukombowa mji wa kaskazini wa Tikrit kutoka mikono ya wanamgambo wa Kisunni ambao wameuteka hivi karibuni.
Yajuwe makundi ya kigaidi Mashariki ya Kati na Afrika
Wakati dunia zamani ikililia zaidi kwa maradhi, njaa na umasikini, kilio kikubwa zaidi sasa kimekuwa ni wimbi la makundi ya siasa kali ambayo hujihusisha na uhalifu na ugaidi kwa jina la dini.
Mchakato wa kuunda serikali mpya Iraq kuanzishwa hivi karibuni
Serikali ya Iraq imetangaza kuwa kikao cha bunge kitafanyika Julai mosi, ili kuanzisha mpango wa kuunda serikali mpya huku nchi hiyo ikikabiliwa na uasi unaotishia umoja wa taifa hilo.
Maoni ya wahariri juu ya Iraq na Ukraine
Wahariri, leo wanazungumzia juu ya vita vya nchini Iraq na mgogoro wa Ukraine. Pia wanatoa maoni juu ya kauli ya Rais wa Ujerumani Joachim Gauck kuhusu Ujerumani kushiriki kijeshi katika kuitatua migogoro duniani
Iraq yadai kuwashinda ISIL Baiji
Iraq inadai vikosi vyake sasa vinaudhibiti mtambo wa mafuta wa Baiji huku jumuiya ya kimataifa ikizidi kuishinikiza kuwajumuisha Wairaqi wote kuiunganisha dhidi ya misingi ya kimadhehebu na itikadi.
Kerry azuru jimbo la Wakurdi wa Iraq
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amezuru jimbo lenye mamlaka yake ya ndani la Wakurdi nchini Iraq katika harakati za kidiplomasia kushinikiza kusikilizana kwa makundi ya nchi hiyo ili kuizuwiya isigawanyike.
Kerry aahidi kuisaidia Iraq
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameahidi msaada mkubwa kwa Iraq kukabiliana na tishio dhidi ya kuwepo kwa taifa hilo wakati wanamgambo wakifanya mashambulizi na kuteka maeneo ya kaskazini na magharibi.
Maoni: Ushirikiano wa kimkakati ndiyo jawabu kwa ISIL
Mafanikio ya kundi la wapiganaji la ISIL nchini Iraq yameitikisa mashariki ya kati. Mataifa ya magharibi yanapaswa kujitahidi kudhibiti machafuko yanayotokea kwa uyakinifu, anasema mwandishi wa DW Loay Mudhoon.
Kerry ziarani Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amekuwa na mazungumzo na Rais Abdel Fatah al- Sisi mjini Cairo na kuyahimiza mataifa ya Kiarabu kutowagharamia wapiganaji wa Kisunni walioko mpakani mwa Syria na Iraq.
Iraq yaomba msaada kwa Marekani
Iraq imeiomba Marekani kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya wanamgambo wanaoshikilia miji kadhaa Kaskazini mwa nchi hiyo, hatua ambayo Marekani mpaka sasa bado inaifikiria wakati wanamgambo wakizidisha mashambulizi
Maoni ya wahariri
Wahariri wa magazeti wanatoa maoni juu ya Iraq na kutekwa nyara vijana watatu wa Kiisraeli.Wahariri hao pia wanaizungumzia ziara ya Waziri wa ulinzi wa Ujerumani nchini Marekani
Rouhani yuko tayari kulinda maeneo matakatifu
Rais Hassan Rouhani wa Iran, amesema kuwa nchi yake itafanya kila iwezalo kulinda maeneo matakatifu ya waumini wa madhehebu ya Washia nchini Iraq dhidi ya wapiganaji wa kisunni wanaopigana na serikali ya Iraq.
Maoni ya wahariri juu ya hali ya Iraq
Wahariri wa magazeti leo wanatoa maoni juu ya mgogoro wa gesi barani Ulaya, hali ya Iraq na sera ya nje ya Ujerumani kufuatia kauli iliyotolewa na Rais wa Ujerumani Joachim Gauck
Marekani kuzungumza na Iran kuhusu Iraq
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani John Kerry amesema kuwa utawala wa rais Barack Obama uko tayari kuzungumza na Iran juu ya hali ya usalama inayozidi kudorora nchini Iraq.
Wapiganaji wateka mji mwingine Iraq
Wapiganaji wa kisunni nchini Iraq wameuteka mji wa Tal Afar, katika pigo jingine kwa serikali ya waziri mkuu Nouri al-Maliki, wiki moja baada kuyapoteza maeneo makubwa katika upande wa kaskazini.
Ujerumani yaonya juu ya "vita vya mawakala" Iraq
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank- Walter Steinmeier Jumapili (15.06.2014) ameonya kwamba mzozo wa umwagaji damu nchini Iraq unaweza kubadilika kwa haraka na kuwa vita vya mawakala wa nchi nyengine zenye nguvu.
Wanamgambo waiteka miji mingine miwili Iraq
Wanamgambo wa Kisunni wamefaulu usiku wa kuamkia leo (13.06.2014) kuingia katika miji miwili ya mkoa wa mashariki wa Diyala, huku rais wa Marekani, Barack Obama, akitishia kutumia mashambulizi ya angani dhidi yao.
Maoni ya wahariri juu ya vita vya nchini Iraq
Wahariri wa magazeti wanatoa maoni juu ya vita vya nchini Iraq, silaha zinazouzwa nje na Ujerumani na pia wanatoa maoni juu ya mpango wa Ujerumani wa kuwapokea wakimbizi zaidi wa Syria
Wanamgambo nchini Iraq wauteka mji wa Tikrit
Wanamgambo wa kundi lenye mafungamano na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda nchini Iraq wameuteka mji wa Tikrit, mji wa pili kuudhibiti katika kipindi cha wiki moja na wanaripotiwa kuusogelea mji mkuu Baghdad
Uchaguzi wa rais wafanyika Syria
Raia wa Syria wanapiga kura katika uchaguzi unaotarajiwa kumpa ushindi mkubwa Rais Bashar al Assad, wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vikiendelea. Wapinzani wa Assad wameuelezea uchaguzi kama mchezo usiokuwa na maana.
Rais Barrack Obama aangazia sera zake za kigeni
Rais wa Marekani Barack Obama ametoa hotuba inayoshughulikia sera zake za kigeni kwa kuangazia juhudi za kukabiliana na makundi ya misimamo mikali, ugaidi na uwezekano wa Marekani kujihusisha zaidi Syria
Urusi na China zapinga Azimio la Ufaransa dhidi ya Syria
Jeshi la Syria limewatimua waasi waliokuwa wakiizingira jela ya mji wa Aleppo tangu mwaka mmoja uliopita.Wakati huo huo Urusi na China zimetumia kura za turufu kuzuwia azimio la baraza la usalama dhidi ya Syria
Jeshi la Syria Laikomboa Jela ya Aleppo kutoka kwa Waasi
Vikosi vya jeshi la Syria vimewatimua waasi waliokuwa wakiizingira jela kuu ya Aleppo tangu mwaka mmoja uliopita.Ushindi huu umejiri wiki mbili tu kabla ya uchaguzi utakaomthibitisha rais Bashar al Assad madarakani.
Marafiki wa Syria wajadili njia mpya za kuusaidia upinzani
Mawaziri 11 wa mambo ya kigeni kutoka kundi la marafiki wa Syria wamekutana mjini London hii leo, katika juhudi za kuhuisha mchakato wa amani ya nchi hiyo na kujadili njia mpya za kuusaidia upinzani.
Maoni:Mengi yamefanywa,tija hakuna
Kimantiki,kujiuzulu mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa na jumuia ya nchi za kiarabu kwa Syria Lakhdar Brahim ni matokeo ya kushindwa juhudi zake nchini humo
Maoni ya wahariri juu ya Syria na Ukraine
Wahariri wanatoa maoni juu ya uchaguzi wa Rais nchini Syria, hali ya nchini Ukraine na kurudi kwa timu ya FC Cologne kule ambako inastahili kuwapo, katika Ligi Kuu ya Ujerumani
Syria yakabidhi asilimia 65 ya silaha za kemikali
Umoja wa Mataifa na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Silaha za Atomiki, OPCW, wamesema wanatiwa wasiwasi na kasi ya Syria katika kukabidhi silaha zake za atomiki.
Uturuki yapiga marufuku tovuti ya YouTube
Uturuki imepiga marufuku tovuti ya jamii ya kuchangia picha za video, YouTube baada ya kutumika kusambaza kanda za sauti zilizovujishwa ambazo zinaathari kubwa kwa taifa hilo baada ya mkutano wa usalama wa taifa
Syria yagubika mkutano wa Jumuiya ya Kiarabu
Mfalme Sabah al-Ahmed al- Sabah wa Kuwait ametoa wito kwa mataifa ya Kiarabu kuondoa tofauti zao kwa lengo la kuondosha hali ya mkwamo katika utekelezaji wa mipango ya pamoja ya matiafa hayo.
Miaka mitatu vita vya Syria
Vita vya wenyewe kwa wenyewe Syria Jumamosi(15.03.2014) vimeingia mwaka wa tatu na kuuwa takriban watu 146,000,kuwapotezea makaazi mamilioni wengine,kuangamiza miji na hazina za kihistoria na kuvuruga uchumi wa nchi.
Zaidi ya raia milioni 9 wa Syria hawana makaazi
Shirika la kushughulikia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mzozo wa Syria umesababisha mzozo mkubwa zaidi duniani wa wakimbizi kwani umesababisha zaidi ya raia milioni 9 wa Syria kuachwa bila makaazi
UNICEF yasema Syria ni hatari sana kwa watoto
Katika ripoti yake ya jana shirika la UNICEF limesema maelfu ya watoto wamenasa katika maeneo yaliyozingirwa nchini Syria, huku mzozo wa nchi hiyo ukikamilisha miaka mitatu leo. (11.03.2014)
Watawa 13 waachiwa huru Syria
Watawa waliotekwa nyara katika kijiji kimoja nchini Syria wameachiwa huru leo asubuhi kutokana na mpango usio wa kawaida, wa ubadilishanaji wafungwa katika takriban miaka mitatu ya mapigano nchini humo.
Kerry amshtumu Assad kukwamisha mazungumzo
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani John Kerry ameushtumu utawala wa rais wa Syria Bashar al-Assad, kwa kuzorotesha mazungumzo ya amani yanayolenga kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mazungumzo ya Syria mashakani
Msuluhishi wa kimataifa Lakhdar Brahimi ameyafunga mazungumzo ya ana kwa ana kati ya serikali ya Syria na upinzani Jumamosi(15.02.2014) bila ya kupata ufumbuzi wa kuyakwamua mazungumzo hayo ya amani.
Mazungumzo ya amani ya Syria yakaribia kuvunjika
Hatua za amani nchini Syria ambazo zinalegalega zimefikia hatua za mkwamo kamili jna Ijumaa(14.02.2014) huku kukiwa na wasi wasi wa kuvunjika kabisa licha ya mbinyo wa kimataifa.
Muda wa kusitisha mapigano Homs waongezwa kwa siku tatu
Muda wa makubaliano ya kusitishwa kwa mapigano katika mji wa Homs,Syria umeongezwa kwa siku nyingine tatu ili kuruhusu kuondolewa kwa raia waliosalia katika mji huo huku mazungumzo ya kutafuta amani yakitetereka
Upinzani Syria kususia mazungumzo ?
Ujumbe wa upinzani wa Syria ulioko Geneva kwa duru ya pili ya mazungumzo ya amani umeonya kwamba haitoshiriki duru ya tatu ya mazungumzo hayo iwapo hakuna hatua yoyote ya maendeleo itakayofikiwa.
Raia waanza kuhamishwa Homs
Awamu ya kwanza ya raia wa Syria waliokuwa wamenasa kwenye maeneo yanayoshikiliwa na waasi mjini Homs imehamishwa huku serikali na waasi wakikubaliana kusitisha mapigano kwa muda kupisha huduma za kibinaadamu.
Makubaliano yafikiwa kuingiza misaada ya kiutu Homs
Syria na Umoja wa mataifa zimefikia makubaliano kwa maeneo yaliyozingirwa ya mji wa Homs,na mashirika ya kijamii yamesema watu 250 wameuwawa katika mashambulio ya jeshi likitumia mabomu ya mapipa huko Aleppo.
Libya yaharibu silaha zake za kemikali
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Libya Mohamed Abdelaziz amesema nchi hiyo imeharibu kabisa silaha zake za kemikali zilizopatikana chini ya uongozi wa rais wa zamani Moamer Qadhafi.
Mazungumzo ya Syria yamalizika bila mafanikio
Pande zinazopigana nchini Syria zimeshambuliana kuhusiana na kushindwa kupata mafanikio halisi katika mazungumzo ya amani mjini Geneva, huku kukiwa na shaka juu ya ushiriki wa serikali katika duru mpya ya majadiliano
Mkutano wa amani ya Syria kukamilika leo (31.01.2014)
Awamu ya kwanza ya mazungumzo ya kusaka amani ya Syria inamalizika leo (31.01.2014) mjini Geneva, huku pande zinazohasimiana katika mzozo wa nchi hiyo zikiwa hazijakubaliana kuhusu mkakati sahihi wa kumaliza mzozo huo.
Utawala wa Syria ulivunja makazi kuadhibu wapinzani
Serikali ya Syria imeyaharibu kabisa maelfu ya makazi kama adhabu jumla dhidi ya jamii ambazo ziliuunga mkono upinzani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus na katika mkoa wa Hama.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 46 wa 77
Ukurasa unaofuatia