You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Azimio la kuwazuia wapiganaji wa kigeni laidhinishwa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio linalozitaka nchi kuchukua hatua ya kuzuia usajili na usafirishaji wa wapiganaji wa kigeni nchini Iraq na Syria.
Australia kuimarisha sheria dhidi ya ugaidi
Bunge la Australia leo limewasilisha muswada wa sheria kali za kupambana na ugaidi, ambapo itakuwa ni uhalifu kwa mtu kusafiri kwenda maeneo yanayozingatiwa kuwa ya kigaidi.
Umoja wa Mataifa wawekea wafadhili wa ugaidi vikwazo
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo watu kadhaa wanaohusishwa na itikadi kali, wakiwemo wapiganaji wa kigeni, wafadhili na wanaowasajili wapiganaji hao kujiunga na makundi ya wanamgambo wa kijihadi
Maoni: Mabadiliko katika mapambano dhidi ya kundi la IS
Kuna hali ya mabadiliko katika mashariki ya kati. Marekani inashambulia kwa mashambulio ambayo ni makali dhidi ya wapiganaji wa kundi la Dola la Kiislamu.
Obama awasifu washirika wa Kiarabu dhidi ya IS
Rais Barack Obama amesema mashambulizi ya kwanza kufanywa na majeshi wa washirika dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu (IS) ndani ya Syria, yanaonesha kwamba Marekani haiko pekee kwenye vita hivyo.
Marekani yaishambulia IS Syria
Marekani imepanua operesheni yake dhidi ya kundi la Dola la Kiislamu nchini Syria, ikisaidiwa na mataifamatano ya Kiarabu - Bahrain, Qatar, Saudi Arabia, Jordan na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Kitisho cha IS chaongeza wakimbizi
Wanamgambo wa dola la Kiislamu wamesema wako tayari kuakabiliana na muungano wa kijeshi unoongozwa na Marekani huku wakitoa mwito kwa waislamu wote ulimwenguni kuwaua raia wa mataifa yaliyojiunga katika mapambano hayo.
Marekani yataka Iran ishiriki vita dhidi ya Dola la Kiislamu
Marekani inakiri kuwa hata adui mkubwa, Iran, ana wajibu mkubwa kwenye kulishinda kundi linalojiita "Dola la Kiislamu" ambalo limeshachukuwa eneo kubwa la mataifa ya Syria na Iraq.
Maoni ya wahariri
Wahariri wa magazeti wanatoa maoni juu ya vifo vya mamia ya wakimbizi na pia wanazungumzia juu ya mfungamano wa kimataifa dhidi ya magaidi wa dola la Kiislamu.
Marekani yapanua mashambulizi dhidi ya IS
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la IS karibu na mji mkuu wa Irak Baghdad ikiwa mara ya kwanza kulenga eneo hilo katika kupanua uwanja wa mapambano dhidi ya kundi hilo.
Dunia yaahidi kuisaidia Iraq
Wanadiplomasia wa ngazi za juu duniani wameahidi kuisaidia Iraq katika kupambana na kundi linalojiita "Dola ya Kiislamui" kwa njia yoyote itakayowezekana, ukiwemo msaada wa kijeshi.
Ufaransa yaitisha kongamano dhidi ya Dola la Kiislamu
Rais Francoise Hollande na Fouad Massoum wanaongoza mkutano wa zaidi ya mataifa na mashirika 30 ya Magharibi na Arabuni unaojadili hatua za kukabiliana na wanamgambo wanaojiita Dola la Kiislamu.
Uingereza yajipanga kulipiza mauaji ya Haines
Baada ya kundi linalojiita 'Dola la Kiislamu' kusambaza vidio ya kukatwa kichwa kwa raia wa Uingereza, Waziri Mkuu David Cameron ameitisha mkutano wa dharura kujadiliana hatua za kuchukuwa.
Wanamgambo wa Dola la Kiislamu wamuua mateka mwingine
Wanamgambo wa Dola la Kiislamu wenye itikadi kali wametoa mkanda wa video ukionesha mfanyakazi wa shirika la kutoa misaada raia wa Uingereza David Haines akikatwa shingo.
Marekani vitani dhidi ya IS
Ikulu ya Marekani imetangaza rasmi Ijumaa(12.09.2014) Marekani iko vitani dhidi ya kundi la Kiislamu lenye imani kali la Dola la Kiislamu, ikitaka kuondoa hali ya mkanganyiko mwingine kuhusiana na sera zake kuhusu Syria.
Mashambulizi dhidi ya 'Dola la Kiislamu' yaiva
Juhudi za Marekani kukusanya uungwaji mkono wa kimataifa kwa kampeni yake ya kijeshi dhidi ya kundi linalojiita "Dola la Kiislamu" zinaonekana kuendelea kuzaa matunda kwa washirika kadhaa kujiunga nazo.
John Kerry mbioni kujenga mfungamano dhidi ya Dola la Kiislamu
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameanza mazungumzo nchini Saudi Arabia juu ya kuunda mfungamano wa kuiunga mkono Marekani katika harakati za kupambana na dola la Kiislamu .nchini Syria na Iraq.
Obama kuwafuata 'Dola la Kiislamu' hadi Syria
Huku Marekani ikikumbuka mwaka wa 13 tangu mashambulizi ya Septemba 11, Rais Barack Obama ameidhinisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya "Dola la Kiislamu" nchini Iraq kuvuka mpaka kuingia Syria.
Ripoti ya MH17 haina majibu ya kutosha
Mada kuu zinazojadiliwa na kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi wanaotafuta hifadhi Ujerumani pamoja na ripoti kuhusu ajali ya ndege ya Malaysia Airlines MH17.
Marekani yaapa kuwateketeza Wanamgambo wa IS
Waziri wa nje wa Marekani John Kerry yuko ziarani mjini Baghdad kuhimiza juhudi za kuunda muungano dhidi ya wafuasi wa itikadi kali wa dola ya kiislam-IS ,huku rais Obama akitarajiwa kutangaza mkakati maalum Leo usiku
Maoni ya wahariri
Wahariri wa magazeti leo wanavizungumzia vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi na juu ya hatari ya kufanyika mashambulio ya kigaidi nchini Ujerumani
Serikali mpya Iraq yapongezwa
Jamii ya kimataifa imekaribisha hatua ya bunge la Iraq kuiidhinisha serikali ya waziri mkuu Haider al-Abadi na kuelezea matumaini kuwa itasaidia juhudi za kupambana na kundi la Dola ya Kiislamu.
Maoni: Kuwashinda Dola la Kiislamu kwataka umoja
Huku mataifa ya Magharibi yakikabiliana na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", mhariri mkuu wa Deutsche Welle, Alexander Kudascheff, anasema kinachohitajika ni mkakati wa kijeshi na kisiasa.
Obama kutangaza mpango wa kupambana na IS
Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kuwa atazindua mkakati wa kupambana na kulishinda kundi lenye itikadi kali za Kiislamu linalojiita Dola la Kiislamu.
Licha ya kuuawa Sotloff, Obama harudi nyuma
Rais Barack Obama wa Marekani amesema serikali yake haitarudi nyuma kwenye operesheni yake dhidi ya magaidi wanaojiita Dola la Kiislamu, licha ya wanamgambo hao kumuua mateka mwengine wa Kimarekani.
IS Watuhumiwa kuangamiza jamii za wachache Iraq
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewatuhumu wapiganaji wa kundi la dola la Kiislamu kufanya mauaji ya kikabila kaskazini mwa nchi hiyo ya Iraq.
Merkel atetea uamuzi wa kupeleka silaha Iraq
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametetea uamuzi wa serikali yake kuvunja mwiko wa muda mrefu kwa kutuma silaha kaskazini mwa Iraq, akisema kundi la Dola la Kiilsamu ni tishio pia kwa Ujerumani na Ulaya.
Marekani yatafuta washirika dhidi ya ISIS
Marekani imeongeza kasi yake ya kujenga kampeni ya kimataifa dhidi ya wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislamu nchini Syria na Iraq, ikiwemo kupata washirika wa uwezekano wa operesheni ya pamoja ya kijeshi.
Iraq kama alama ya kushindwa siasa za kilimwengu
Mkakati wa Rais Barack Obama nchini Iraq unakosolewa na kila upande, wengine wakisema umejikita sana mahala pamoja tu na wengine wakisema ni ya wazi sana, lakini je makosa ni yake peke yake?
IS yaiteka kambi ya jeshi la anga Syria
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu-IS limeikamata kambi muhimu ya jeshi la Syria ambayo ilikuwa ngome ya mwisho ya jeshi hilo katika jimbo la al-Raqqa. Naye mwandishi wa habari wa Marekani aliyetekwa Syria ameachiwa
Hali ya wasi wasi yaongezeka Iraq
Mashambulio ya mabomu mjini Baghdad na mji wa kaskazini wa Kirkuk yamesababisha vifo vya takriban watu 42 nchini Iraq Jumamosi(24.08.2014) wakati serikali inachunguza shambulio baya kabisa dhidi ya msikiti wa Wasunni.
Marekani kuendelea na mashambulizi Iraq
Marekani imeonya kuwa vita dhidi ya waasi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu huenda vikachukua muda mrefu sana. Wizara ya ulinzi ya Marekani imeliita kundi hilo tishio kubwa ambalo halijawahi kutokea.
IS yadai kumchinja mwanahabari wa Marekani
Wapiganaji wa Jihadi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu – IS, wametoa video inayoonyesha mwandishi wa habari wa Marekani aliyetekwa nyara nchini Syria, akichinjwa
Marekani yaendelea na mashambulizi Iraq
Rais Barack Obama ameahidi kuisaidia serikali ya Iraq kupambana na waasi wa Dola ya Kiislamu ama IS. Wakati huo huo maelfu ya watu wanayakimbia makaazi yao kwa kuogopa kuuliwa na wapiganaji hao.
Iraq yalikomboa Bwawa la mosul
Wapiganaji wa Kikurdi nchini Iraq wamefanikiwa kulikomboa tena bwawa kubwa la Mosul kutoka kwa wanamgambo wa kundi la dola la kiislamu la Iraq.
Ujerumani yajadili kutuma silaha Iraq
Mada kubwa katika magazeti ni uwezekano wa Ujerumani kuwapa silaha wapiganaji wa Kikurdi huko Iraq ili kupambana na waasi wa kundi la dola la Kiislamu IS.
Steinmeier ziarani Iraq
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amekutana na uongozi wa Iraq siku moja baada ya Umoja wa Ulaya kukubali kuvipatia silaha vikosi vya Wakurdi vinavyopambana na kundi la waasi la Dola la Kiislamu.
Baraza la Usalama laiwekea vikwazo Dola la Kiislamu
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja limeidhinisha azimio jana Ijumaa(15.08.2014) lenye lengo la kulidhoofisha kundi la Taifa la Kiislamu nchini Iraq.
EU yaelekea kuisadia Iraq
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekuwa na mwelekeo wa kuunga mkono jeshi la Kikurd katika kukabiliana na wapiganaji wenye kupigana vita vya Jihad- Dola la Kiislamu nchini Iraq.
Nia ya kusaidia Wakurdi yaoneshwa
Siku 6 baada ya Marekani kurudi tena Iraq na kuanza mashambulizi ya angani dhidi ya kundi la kisunni linalojiita dola la kiislamu Ufaransa nayo imeanza kupeleka silaha wakati nchi nyingine za Ulaya zikionesha nia hiyo
Waziri Mkuu wa Iraq ajiuzulu
Hatimae Waziri Mkuu aliyekuwa aking'ang'ania madarakini nchini Iraq, Nuri al-Maliki jana amejiuzulu wadhfa wake kufuatia shinikizo la ndani ya taifa hilo na nje. Hatua hiyo inafungua njia ya uundwaji wa serikali ya mseto
Gabriel warnt vor Völkermord an Jesiden
Naibu Kansela wa Ujerumani Sigmar Gabriel amekutana leo mjini Berlin na wawakilishi wa jamii ya Yazidi waishio nchini Ujerumani, kuzungumzia kitisho cha kuangamizwa ambacho kinawakabili wenzao waishio nchini Irak
Marekani yabaini idadi ndogo ya Wayazidi Iraq
Marekani imesema hakuna umuhimu wa kufanya jithada kubwa ya kuwaokoa raia wa Iraq waliozingirwa na wapiganaji wa Dola la Kiislamu, katika eneo la mlima Sinjar baada ya kubaini kuwepo kwa idadi ndogo ya jamii hiyo.
Marekani yatafuta kuwanusuru maelfu Iraq
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Jonh Kerry amesema kwa hivi sasa wanaangalia uwezekano wa haraka wa kuwanusuru raia waliokwama katika maeneo ya milima huko kaskazini mwa Iraq.
Maoni:Mageuzi ya kifikra yahitajika Mashariki ya Kati
Mageuzi yanayohitajika kuleta Mashariki ya Kati mpya yenye demokrasia lazima yatoke ndani ya eneo hilo anasema Mkuu wa Idhaa ya Kiarabu ya DW Naser Schruf.
Waziri Mkuu Irak ahimizwa kuunda serikali
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameunga mkono uteuzi wa waziri mkuu mpya wa Irak, na kuonya kwamba mvutano wa kisiasa unaondelea nchini humo unaweza kuiingiza nchi hiyo katika mzozo mpana zaidi.
Wakimbizi wa Iraq wanakabiliwa na mashaka
Wakimbizi wanakabiliwa na hali ngumu ya kibinadamu kutokana na machafuko yanayoendelea Iraq. Wakristo na Wayazidi wanakimbia ukatili unaofanywa na kundi la Dola la Kiislamu la Iraq na eneo la Shamu kaskazini mwa Iraq.
Hali ya kisiasa inazidi kutokota Iraq
Marekani imesema inatafuta mbinu mpya ya kuwahamisha maelfu ya wairaqi kutoka jamii ya Yazidi waliokwama katika maeneo ya milima, Kaskazini mwa Iraq kufuatia mashambulizi ya waasi wa dola la Kiislamu (IS)
Marekani yafanya mashambulizi mapya Iraq
Rais Barack Obama wa Marekani Jumamosi (09.08.2014) amesema mashambulizi ya anga ya Marekanni yameteketeza silaha na zana ambazo waasi wa Dola la Kiislamu wangeliweza kuzitumia kushambulia Arbil.
Obama aidhinisha mashambulizi ya angani Iraq
Rais wa Marekani Barack Obama ameziagiza ndege za kivita kurudi tena Iraq kudondosha chakula kwa wakimbizi na ikihitajika zifanye mashambulizi kuzuwia kile alichokiita uwezekano wa mauaji ya halaiki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 45 wa 77
Ukurasa unaofuatia