You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mkakati wa Marekani
Mkakati wa Marekani
Iraq yatangaza operesheni dhidi ya IS Anbar
Televisheni ya taifa ya Iraq imetangaza kuanza kwa operesheni hiyo bila kutoa taarifa zaidi
"Dola la Kiislamu" ladhibiti nusu ya Syria
Wapiganaji wa Kundi la Dola ya Kiislamu wameimarisha udhibiti wao wa mji wa kihistoria wa Palmyra nchini Syria, siku chache baada ya kuuteka mji mkuu wa mkoa mmoja wa nchi jirani ya Iraq, Ramadi
Mashambulio ya "Dola la Kiislamu"
Mashambulio ya "Dola la Kiislamu"
Mji wa Palmyra watekwa na magaidi
Mji wa Palmyra watekwa
Mji wa Ramadi wadhibitiwa na Dola la Kiislamu
Kundi la Dola la Kiislamu limetangaza limeudhibiti kikamilifu mji wa Ramadi wakati wanajeshi wa Iraq wakiripotiwa kuukimbia mji huo mkuu wa mkoa wa Anbar. Marekani inasita kuthibitisha kutekwa kwa mji huo.
Kerry kukutana na Putin mjini Sochi
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry atakutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin leo (12.05.2015) mjini Sochi. Uhusiano kati ya Urusi na nchi za magharibi umeanza kuimarika baada ya mvutano kuhusu Ukraine.
Wakimbizi wapewa hifadhi Ujerumani
Wakimbizi wapewa hifadhi Ujerumani
Assad azilaumu Uturuki,Saudia,na Qatar
Rais wa Syria Bashar al Assad amezilaumu Uturuki,Saudi Arabia na nchi nyingine za Mashariki ya kati kwa kuchangia kuyasaidia makundi ya itikadi kali nchini Syria na kusababisha makundi hayo kupata nguvu.
Al Abadi kufanya mazungumzo na Obama nchini Marekani
Al Abadi kufanya mazungumzo na Obama nchini Marekani
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Wapalestina kutojiingiza kijeshi Syria
Wapalestina kutojiingiza kijeshi Syria
Wafadhili wachangisha fedha kuwasaidia Wasyria
Wafadhili wachangisha fedha kuwasaidia Wasyria
UNHCR: Watu wanaoomba hifadhi waongezeka
UNHCR: Watu wanaoomba hifadhi waongezeka
Umoja wa Mataifa kumuunga mkono Hadi
Umoja wa Mataifa kumuunga mkono Hadi
Syria yashutumiwa kutumia gesi ya sumu
Huenda Syria imefanya uhalifu wa kivita-Amnesty International
Eritrea yakosolewa kwa Ukiukaji wa haki za binadamu
Jopo la Umoja wa Mataifa la uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu limebainisha kuwepo Eritrea kwa mifumo ya wazi ya ukiukaji wa haki za binadamu pamoja na ukosefu wa utawala wa sheria.
Mazungumzo ya mradi wa nuklea wa Iran
Biashara ya silaha ya Ujerumani yapungua
Marekani itafanya mazungumzo na Assad kuvimaliza vita
Marekani itafanya mazungumzo na Assad kuvimaliza vita vya Syria
Wakurdi wapata mafanikio dhidi ya "Dola la Kiislamu"
Marekani yatakiwa iongeze mashambulio ya ndege
Boko Haram waendeleza mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
Boko Haram waendeleza mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
IS yakubaliana na kiapo cha utiifu cha Boko Haram
IS yakubaliana na kiapo cha utiifu cha Boko Haram
Assad bado yuko madarakani miaka mitano vitani
Assad bado yuko madarakani miaka mitano vitani
"Baraza la Usalama limewatelekeza Wasyria"
Zaidi ya mashirika 20 ya misaada yamelikosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kuwalinda Wasyria katika wakati ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vinatimiza mwaka wa nne.
Îraq yaomba msaada zaidi wa Iran
Waziri wa ulinzi wa Iraq Khalid al-Obeidi amesema nchi yake iko tayari kuomba na kupokea msaada wa Iran kwasababu Iraq ni taifa lililo vitani.
Umoja wa Mataifa walaani kubomolewa turathi za Iraq
Umoja wa Mataifa umelaani vikali kampeni inayoendeshwa na kundi lijiitalo Dola la Kiislamu ya kuvunja na kuharibu turathi za kihistoria katika miji kadhaa wanayoidhibiti nchini Iraq.
Mchinjaji mateka wa IS 'Jihadi John' ni raia wa Uingereza
Mchinjaji mateka wa IS 'Jihadi John' ni raia wa Uingereza
Amnesty yazikosoa serikali kushindwa kuwalinda raia duniani
Amnesty yazikosoa serikali kushindwa kuwalinda raia duniani
Jeshi la Iraq kuukomboa mji wa Mosul
Marekani na Uturuki zakubaliana kuwapatia mafunzo waasi wa Syria
Obama asema Marekani haiko vitani na Uislamu
Obama asema Marekani haiko vitani na Uislamu
Mapigano yanaendelea Aleppo licha ya pendekezo juu ya kuyasimamisha
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anaeushughulikia mgogoro wa Syria amesema amepewa uhakika kwamba majeshi ya serikali yatasimamisha mashambulio katika mji wa Aleppo
Al-Sissi anasema lazima IS ikabiliwe kwa pamoja
Al-Sissi ataka azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Libya
Dola la Kiislamu laua Wakristo 21 Libya
Jeshi la Misri limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vituo vya Dola la Kiislamu nchini Libya, baada ya kundi hilo kusambaza video mtandaoni inayoonyesha Wakristo 21 kutoka Misri wakichinjwa.
Assad ni sehemu ya suluhisho asema Mistura
Assad ni sehemu ya suluhisho asema Mistura
Jordan yawashambulia wanamgambo wa IS
Jordan yawashambulia wanamgambo wa IS
Jordan yaapa kupambana vikali na IS
Jordan yaapa kupambana vikali na IS
IS yamchoma moto rubani wa Jordan
Jordan yanyonga wawili baada ya rubani wake kuuawa
Dunia yalaani mauaji kwa kukatwa kichwa mwandishi Kenji Goto
Dunia yalaani mauaji kwa kukatwa kichwa mwandishi Kenji Goto
Kundi lenye mafungamano na IS lafanya mashambulizi Misri
Idadi ya waliouawa katika mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na polisi katika rasi ya Sinai, Misri imeongezeka hadi 40 huku Rais wa Misri Abdel Fattah al Sisi akikatisha ziara nchini Ethiopia na kurejea nyumbani
Juhudi za kupambana na IS
Vifaa vya kijeshi na mafunzo kwa wanamgabo wa kikurd Peschmerga
Yemen yakabiliwa na kitisho cha kugawika tena
Yemen inakabiliwa na kitisho kipya cha kugawika tena pande mbili. Wachambuzi wanaamini kuna hofu kubwa ya Yemen kutumbukia katika machafuko makubwa kama inavyoshuhudiwa Afghanistan, Iraq, Libya na Syria.
Obama, Mfalme Salman waijadili Iran, IS
Obama, Mfalme Salman waijadili Iran, IS
...
...
IS wafurushwa Kobane na wapiganaji wa kikurdi
Wapiganaji wa kikurdi nchini Syria wamewafurusha wanamgambo wenye itikadi kali wa kundi la Dola la kiislamu, IS kutoka mji wa Kobane baada ya mapigano makali yaliyodumu kwa miezi kadhaa kuukomboa mji hu
IS watekeleza mauaji kadhaa Iraq
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu limewauwa wanaume wanane katika mkoa wa Salahuddin, kaskazini mwa Iraq, kwa kwa madai ya kushirikiana na serikali katika kulidhibiti kundi hilo.
Ugaidi uliutikisa mwaka 2014
Umoja wa Ulaya uliuita mwaka 2014 kuwa "mwaka wa uchokozi" kwa sababu ya kujiingiza Urusi nchini Ukraine na wachambuzi wanasema mwaka huo ulikuwa "mwaka wa ugaidi" duniani.
2014 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa mauaji ya raia
Umoja wa Mataifa umesema kuwa ghasia zilizotokea nchini Iraq mwaka uliopita wa 2014, zimesababisha vifo vya raia 12,282, na hivyo kuwa mwaka mbaya zaidi wa mauwaji tangu yalipotokea mauwaji mengine mwaka 2006 na 2007.
Vita vyayaharibu maeneo ya turathi ya Syria
Umoja wa Mataifa umesema maeneo karibu 300 yenye thamani kubwa kwa Syria na historia ya binadamu yameharibiwa au kuporwa katika vita vilivyodumu takriban miaka minne nchini humo ukitumia ushahidi wa picha za satelaiti.
Mapigano yazuka upya Libya
Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya amesema makundi ya itikadi kali za kiislamu yameanza harakati mpya za kuviteka tena vyanzo vya mafuta, baada ya shambulio katika matangi ya kuhifadhia mafuta mashariki mwa taifa hilo.
Ulimwengu watoa wito wa amani
Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani ametumia Sikukuu ya Krismasi kutoa wito wa kuwepo kwa huruma baada ya mwaka 2014 kuelemewa na matukio ya ghasia na mauaji, akitaka ulimwengu kuwa kitu kimoja.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 43 wa 77
Ukurasa unaofuatia