You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Shambulio mjini Istanbul ni ujumbe kutoka IS
Wajerumani wapatao wanane wameuwawa katika shambulio la kigaidi mjini Istanbul
IS wataandamwa
Hakuna aliyedai kuhusika na Mashambulio hayo
Obama atoa hotuba ya mwisho kuhusu hali ya Taifa la Marekani
Obama awataka Wamarekani kuungana na kukubali mababadiliko
Wajerumani wauawa katika shambulizi Uturuki
Uturuki: Wajerumani tisa ni miongoni mwa watu waliouawa katika shambulizi Uturuki
Mamia ya watu wanahitaji kuhamishwa kutoka Madaya
Mamia wanakumbwa na njaa katika mji uliozingirwa wa Madaya na wako katika hatari ya kufa
Msafara wa misaada wawasili Syria
Msafara wa msaada wa chakula na dawa umewasili katika vituo vya ukaguzi nje ya mji wa Madaya
Hali ya tahadhari ingalipo Munich
Hali ya tahadhari bado ni kubwa katika mji wa kusini wa Munich nchini Ujerumani kufuatia kitisho cha ugaidi
Makundi ya kigaidi yaorodheshwa, IS na Nusra Front hayapo
Mpango wa Umoja wa mataifa wa kumaliza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria kwa wito wa kuyaorodhesha makundi ya kigaidi yanayostahili kukabiliwa ni suala linaloendelea kuwaumisha vichwa wanadiplomasia
Wanachama wawili wa upinzani waachiwa huru Syria
Serikali ya Syria imewaachilia huru wanachama wawili mashuhuri wa upinzani waliokuwa wamekamatwa
Mgogoro wa Wakurdi unahitaji mazungumzo
Mgogoro wa Wakurdi unahitaji mazungumzo
Marekani yaikosoa Urusi kwa kuwaua raia Syria
Urusi yalaumiwa pia kutumia mabomu ya mtawanyiko katika mashambulizi yake ya anga nchini Syra
Vikosi vya serikali nchini Iraq vyaukomboa mji Ramadi
Wanamgambo wa dola la kiislamu waupoteza mji wa Ramadi
Jeshi la Iraq lapata mafanikio Ramadi
Jeshi la Iraq limetangza kuyadhibiti majengo ya kimkakati ya serikali mjini Ramadi kutoka wka IS
Uhamishajii wa wapiganaji na raia waanza Syria
Wapiganaji 450 na raia wakiwemo majeruhi wameanza kuhamishwa kutoka miji mitatu ya Syria
Spika wa bunge la Iraqi avipongeza vikosi vya serikali
Spika wa bunge la Iraqi avipongeza vikosi vya serikali
Steinmeir airejeshea Hadhi yake Wizara ya Nje
Jeshi la Shirikisho liko Taabani
Mazungumzo ya amani Syria kuanza Januari 25
Tarehe ya mazungumzo ya Syria yatangazwa
Kiongozi mashuhuri wa waasi Syria auawa
Kiongozi wa kundi la waasi Syria Zahran Alloush ameuawa katika shambulizi la anga
Papa Francis awaombea baraka wanaowasaidia wakimbizi
Papa Francis amewafariji wahamiaji na wakimbizi na walioko katika nchi zenye mizozo duniani
Jeshi la Iraq lakaribia kukomboa Ramadi
Jeshi la Iraq likisaidiwa na wanamgambo wa Kisuni linakaribia kuutwaa tena mji wa Ramadi
Wakimbizi waandaliwa sherehe za Krismasi Ujerumani
Makundi ya kujitolea yaandaa sherehe za Krismasi kwa wakimbizi wanoishi Ujerumani
Syria iko tayari kushiriki mazungumzo ya amani
Serikali ya Syria iko tayari kushiriki katika mazungumzo ya amani mjini Geneva Uswisi
Amnesty yailaumu Urusi kwa mashambulizi Syria
Amnesty yailaumu Urusi kwa mashambulizi Syria
UNHCR: Wanaowakataa wakimbizi wa Syria ni washirika wa IS
Umoja wa Mataifa umewaonya wanasiasa wanaokataa wakimbizi waislamu kuingia nchini mwao
Mawaziri wa ulinzi wa Ufaransa na Urusi kukutana
Mawaziri wa ulinzi wa Ufaransa na Urusi kujadili namna ya kuongeza mapambano dhidi ya IS
Mpango wa amani ya Syria waidhinishwa
Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la muongozo wa kimataifa wa hatua za amani nchini Syria
Dalili za kupatikana suluhu zaanza kuonekana
Dalili za kupatikana suluhu zaanza kuonekana
vita dhidi ya magaidi
vita dhidi ya magaidi
Marekani, Urusi zakubaliana kuhusu Syria
Marekani na Urusi zimekubaliana kuendeleza juhudi za kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria
Merkel: Hakuna utamaduni mchanganyiko
Merkel awataka wakimbizi kutii sheria na kuheshimu maadili na utamaduni wa Ujerumani.
Mji wa Ghouta wakombolewa na vikosi vya serikali Syria
Waasi waondolewa mjini Ghouta Syria
Mawaziri wa Ulaya wazijadili Urusi na Burundi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya watajadiliana kuhusu kuweka vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na mzozo wa Ukraine
Makundi ya upinzani Syria yakubali kushiriki mazungumzo
Upinzani Syria wakubaliana kushiriki mazungumzo ingawa wanasisitiza Assad aachie madaraka
Wapinzani Syria wakutana Riyadh
Wapinzani Syria watafuta umoja kabla ya mazungumzo
Uturuki yatishia kuiwekea vikwazo Urusi
Waziri Mkuu wa Uturuki asema ikiwezakana wataweka vikwazo kwa Urusi
Mkutano wa Makundi ya Upinzani Riyadh
Serikali yawaachia huru Wafungwa wa Upinzani
Wanajeshi zaidi wahitajika Ujerumani
Ujerumani yahitaji wanajeshi wapya 10,000
Kitisho cha wapiganaji wa IS kukimbilia Libya
Waziri wa ulinzi wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian ameonya kuhusiana na kitisho cha wapiganaji wa IS kuingia Libya
Wanajeshi wa Bundeswehr hawatotupa mabomu
Bunge la Ujerumani laruhusu wanajeshi wa Ujerumani wapelekwe Syria kupambana na IS
Bunge la Ujerumani kuliidhinisha Jeshi kupambana dhidi ya IS
Wabunge wa Ujerumani leo wanatarajiwa kuidhinisha Jeshi kujiunga na kampeini dhidi ya IS Syria
Putin: Uturuki itajutia kitendo chake
Putin aahidi kulipiza kisasi kwa Uturuki
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yaanza mashambulizi Syria
Uingereza yaanza mashambulizi Syria
Uingereza kuamua kushiriki mapambano dhidi ya IS
Bunge la Uingereza kupiga kura kuamua juu ya hatua dhidi ya kundi la dola la kiisilamu
Mashambulio ya kigaidi Ulaya
Haya ni baadhi ya mashambulio tangu kushambuliwa World Trade Centre Marekani, Septemba 11, 2001.
Kwanini Ujerumani imelengwa na magaidi?
Lakini sababu siyo tu kuhusika kwa Ujerumani nchini Irak na Afghanistan.
Dola la Kiislamu ni nani?
Tangu mwaka wa 2013 wametokea magaidi wanaoendesha harakati kwa lengo la kuunda nchi ya kiislamu.
Jeshi la Ujerumani kuingia Syria
Hamburg haitaki kuandaa Michezo ya Olympik
Uturuki kupewa euro bilioni 3 kuwasaidia wakimbizi
Makubaliano hayo kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya ni ya kihistoria na fedha itasaidia kuzuia wahamiaji kuingia Ulaya.
Ujerumani haitasimama kando
Nguvu za kijeshi zinahitajika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 40 wa 77
Ukurasa unaofuatia