You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mpango wa kusitisha mapigano Syria waonyesha matumaini
Wanadiplomasia wa Marekani na Ujerumani wamesema mpango wa kusitisha makubaliano Syria unaheshimiwa
Wairaq waliobakwa na IS watibiwa Ujerumani
Tangu kuanzishwa kwa mradi huwo zaidi ya watu 1,100 wamekwishaletwa Ujerumani na kupatiwa matibabu.
Upinzani Syria wasema serikali imekiuka usitishaji mapigano
Upande wa upinzani Syria unadai serikali inakiuka mpango wa kuweka chini silaha
Mapigano yaendelea Syria licha ya makubaliano ya amani
Mapigano yemeendelea kuripotiwa Syria na Saudi Arabia inatupa lawama kwa serikali ya Syria kutokuheshimu makubaliano.
Usitishwaji mapigano waanza kutekelezwa Syria
Mizinga imesita kurindima nchini Syria halikadhalika mashambulizi ya anga ya Urusi
Waasi Syria kuheshimu usitishwaji vita
Mapigano yatarajiwa kusimamishwa kuanzia usiku wa manane nchini Syria
Hatua ya kusimamishwa mapigano nchini Syria yasubiliwa
Hatua ya kusimamishwa mapigano nchini Syria yasubiliwa
Jee yatatekelezwa?
Jee yatatekelezwa?
Marekani na Urusi kusitisha mapigano Syria
Makubaliano hayo yamekosolewa na waasi wa Syria kwa kutoyajumulisha makundi yote yanayohusika na mzozo huo
Mapambano na juhudi za kidplomasia Syria
Upinzani wa Syria wakutana Saudi Arabia wakati mapambano yakiendelea Syria
140 wauwawa katika mashambulizi ya Syria
Marekani na Urusi zinashinikiza kusitishwa uhasama baina ya pande zinazozozana Syria
Misaada ya kiutu yawasili Syria
Malori 35 yawasili katika maeneo yaliyozingirwa Syria yakiwa na vyakula na vifaa vya hospitali
Davutoglu: Raia wa Syria anahusika na shambulizi Ankara
Waziri Mkuu wa Uturuki, amesema atapambana na waliohusika na shambulizi la kigaidi Ankara
Uturuki yafikiria kuingia vitani Syria
Uturuki yafikiria kuingia vitani Syria
Serikali ya Syria yaruhusu kuingizwa msaada wa kiutu
Misafara ya Umoja wa Mataifa imeanza kupeleka misaada katika maeneo yaliyozingirwa
Mkutano muhimu kwa Kansela Merkel
Mkutano muhimu kwa Kansela Merkel
Staffan de Mistura ajaribu kuyafufua mazungumzo ya Syria
Makubaliano ya kimataifa juu ya Syria huenda yakafikiwa mwishoni mwa wiki hii
Matumaini ya kusitishwa mapigano Syria yafifia
Mvutano kati ya Uturuki na Urusi waendelea kutokota kuhusiana mashambulizi nchini Syria
Mdahalo wa kuingilia kijeshi Syria
Wajumbe wa mkutano wa usalama mjini Munich wamejadili suala la kibinaadamu katika migogoro
Mataifa yakubaliana kusitisha uhasama Syria
Urusi imesema haitasistisha mashambulizi nchini Syria
Mkutano kuhusu Syria mjini Munich
Wajumbe wa mataifa wafadhili wajadili mashambulizi ya Urusi nchini Syria
Kerry, Lavrov wenyeji wa mkutano wa Syria Munich
Urusi inaendelea kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya waasi mjini Aleppo.
Umoja wa Mataifa waituhumu Syria kwa mauaji
Umoja wa Mataifa waituhumu Syria kwa mauaji
Uturuki na Ujerumani zakubaliana juu ya Wakimbizi wa Syria
Uturuki na Ujerumani zakubaliana juu ya Wakimbizi wa Syria
Uturuki kuingiza wakimbizi "ikibidi"
Maelfu ya Wasyria wako mpakani Uturuki
Uturuki yatarajia wakimbizi 60,000 kutoka Syria
Wakimbizi 60,000 kutoka Syria kwenda Uturuki
Wakimbizi kutoka Syria wamiminika kuelekea Uturuki
Viongozi wa dunia waahidi kutoa zaidi ya dola bilioni kumi kuwasaidia Wasyria
Wafadhili waahidi mabilioni ya dola kwa Syria
Mataifa fadhili yameahidi kutowa msaada wa mabilioni ya dola kwa Wasyria
Matumaini makubwa kwa mkutano wa London
Waandaji wanatarajia kukusanya dola bilioni 9
Mazungumzo ya amani Syria yangali mashakani
Kiongozi wa kundi kuu la upinzani la Syria ametua Uswisi kujaribu kuvunja mkwamo wa mazungumzo
Mazungumzo ya Geneva yaendelea
Mkutano wa wafadhili kuitishwa London wiki hii
Kundi kuu la upinzani Syria kuhudhuria mazungumzo ya Geneva
Kundi kuu la Upinzani nchini Syria HNC hatimaye liameamua kuwa litashiriki mazungumzo ya amani mjini Geneva
Mazungumzo ya Syria mashakani
Umoja wa Mataifa umesema mazungumzo hayo yanayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa yataendelea kama ilivyopangwa.
Serikali ya Ujerumani yaridhia mpango wa pili wa wakimbizi
Hatua mojawapo ni kwamba Wasyria waliopewa hifadhi watalazimika kungoja hadi miaka miwili kuleta familia zao nchini.
Upinzani Syria na masharti ya kushiriki mazungumzo ya amani
Upinzani utahudhuria mazungumzo iwapo vizingiti vitaondolewa
Upinzani wa Syria kuamua kuhusu mazungumzo ya Geneva
Wakurd wa Syria-PYD hawakualikwa na Umoja wa Mataifa
Watu 22 wauwawa Syria
Watu 22 wameuwawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika milipuko ya Homs
Mazungumzo ya Syria yatumbukia mashakani
Mazungumzo ya amani ya Syria yaliyotarajiwa kuanza Geneva yamekwamishwa kuhusu washirika
Marekani yanuwia kulimaliza kundi la IS kijeshi
Marekani inampango wa kulimaliza Dola la Kiislamu kijeshi kwa mujibu wa makamu wa rais wa Marekani Joe Biden
Marekani tayari kwa suluhisho la kijeshi dhidi ya IS
Marekani na Uturuki ziko tayari kwa suluhisho la kijeshi dhidi ya Dola la Kiislamu
Huenda tarehe ya mkutano wa amani Syria ikasogezwa nyuma
Mashirika yataka umma wa dunia uweke shinikizo kuhusu mgogoro wa Syria
Wakuu wa ulinzi wakutana Paris kujadili IS
Mawaziri wa ulinzi wa nchi zinazoshiriki vita dhidi ya IS wakutana kuutathmini mkakati wao
Steinmeier azitaka Iran, Saudi kuzungumza
Waziri Steinmeier asema uhasama wa Saudi na Iran ni wa muda mrefu.
Orodha ya wapinzani yakwaza mialiko kwa mazungumzo ya Syria
Ban azitaka nchi kuafikiana juu ya orodha ya wapinzani Syria
Watatu wakamatwa baada ya shambulizi Jakarta
Polisi nchini Indonesia imesema shambulizi lilofanywa na washambuliaji wa kujitoa muhanga, katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo Jakarta, lilifadhiliwa na kundi linalojiita dola la kiisalmu IS.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili - Madaya
UNICEF yathibitisha mtoto mmoja amefariki kutokana na utapia mlo mjini Madaya
Jakarta yatengemaa baada ya mashambulizi ya IS
Watano kati ya waliouwa katika mashambulizi hayo walikuwa wapiganaji wenyewe
Urusi yausaidia utawala Syria kupumua
Mafanikio yamekuwa madogo, lakini yamebadili mwelekeo wa vita hivyo kwa upande wa utawala.
Jakarta yatikiswa na mashambulizi ya kigaidi
Rais Joko Widodo asema indonesia haitatishiwa na magaidi.
Msafara wa malori ya misaada waelekea Madaya
Msafara wa malori 44 umeondoka mjini Damascus kuelekea katika mji uliozingirwa wa Madaya nchini Syria
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 39 wa 77
Ukurasa unaofuatia