You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Silaha zanyamaza Aleppo kwa saa 48
Jeshi la Syria limekubali kuheshimu usitishaji mapigano wa siku mbili katika mji uliyoharibiwa vibaya wa Aleppo.
Mkutano wa washirika Stuttgart kupambana na IS
Mawaziri 11 wa mataifa washirika wanaopambana na wanamgambo wa Dola la Kiislamu wanakutana mjini Stuttgart
Mapigano makali yaitikisa Aleppo
Mazungumzo ya kuleta amani Syria yamehamia Berlin ambapo Waziri wa mambo ya nje Steinmeier anakutana na mjumbe wa UN.
Usitishwaji mapigano kujumuisha Aleppo
Mapigano kusitishwa Aleppo
Juhudi za kuokoa mapatano Syria zahamia Urusi
Juhudi za kuyaokoa mapatano Syria zahamia Urusi
Hali ya matumaini kwa mazungumzo ya Syria
Mazungumzo yanayofanyika mjini Geneva kuhusu Syria yanakaribia kurefusha usitishaji mapigano mjini Aleppo
Kerry ajaribu kuokoa usitishaji mapigano Syria
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani John Kerry yuko mjini Geneva kujaribu kuokoa sitishaji mapigano nchini Syria
Marekani yamtaka Assad kusitisha kushambulia Aleppo
Marekani imeutaka utawala wa rais Assad kusitisha kuushambulia mji wa Aleppo
Syria kusitisha mapigano baadhi ya maeneo
Syria imetangaza usitishaji wa mapigano wa muda mfupi karibu na Damascus na katika jimbo moja
Watu 30 wauawa baada ya hospitali kushambuliwa Syria
Hospitali hiyo mjini Aleppo ilkuwa ikiendeshwa na shirika la Madaktari Wasio na Mipaka.
Marekani, Urusi zatakiwa kuhakikisha vita vinasitishwa Syria
Staffan di Mistura amesema usitwishaji wa mapigano Syria ni muhimu.
Obama na washirika wa ghuba waahidi kuiangamiza IS
Marekani na washirika wake wa mataifa ya ghuba wameahidi kuendelea kufanyakazi kwa pamoja kupambana na IS
Obama Kuzuru Saudi Arabia
Ziara ya Obama nchini Saudi Arabia inalenga kumaliza mahusiano ya kimsuguano yaliyodumu kwa muda mrefu
Mapigano yanatishia juhudi za amani Syria
Mapigano yanayoendelea kuzunguka mji wa pili nchini Syria wa Aleppo yanatishia makubaliano ya kusitisha mapigano
Mashambulizi yaelekezwa jimbo la Aleppo
Utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Syria ulikuwa hatihati kuvunjika
Mazungumzo ya amani ya Syria yaanza tena
Duru mpya ya mazungumzo ya amani yenye lengo la kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe Syria yaanza Geneva
Mfalme wa Saudi Arabia azungumza na Erdogan
Mfalme Salman wa Saudi Arabia yuko nchini Uturuki kuhudhuria mkutano wa shirika la ushirikiano la nchi za kiislamu OIC.
Saudia na Misri katika vita dhidi ya IS
Mfalme wa Saudi Arabia, Salman Bin Abdulaziz al-Saud, amehitimisha ziara yake Misri
NATO kukutana na Urusi
Mabalozi wa Jumuiya ya kujihami ya NATO na Urusi watakutana kwa mara ya kwanza kwa karibu miaka miwili iliyopita.
SIPRI: Biashara ya silaha iliongezeka 2015
Marekani, China na Saudi Arabia zinaongoza katika matumizi na manunuzi ya silaha
Wahaniaji wa Syria waingia Ujerumani kisheria
Utekelezaji wa makubaliano ya Uturuki na Umoja wa Ulaya
Marekani: Ina taarifa juu ya mauaji ya Abu Firas al-Suri
Urusi yasema hatima ya Assad itaamuliwa na pande husika katika mgogoro wa Syria
Jeshi la Iraq lawakomboa wafungwa 1,500 wa IS
Dola la Kiislamu pia waliwazika watu 42 kwenye kaburi la pamoja mjini Palmyra.
Amnesty: Uturuki yarejesha maelfu ya wahamiaji Syria
Shirika la Amnesty International linaituhumu Uturuki kurejesha mamia ya wahamiaji nchini Syria kila siku kinyume na sheria, huku wasiwasi ukizidi juu ya makubaliano ya kupokea wahamiaji kutoka Ugiriki
Ban Ki-moon ahimiza wakimbizi kupewa hifadhi
Idadi ya wahamiaji waliookolewa katika pwani ya Italia imeongezeka kwa kasi ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Magaidi wa "Daesh" wakaribia kusambaratika?
Magaidi wa "Daesh" wakaribia kusambaratika?
Vikosi vya Syria vyazidi kusonga mbele Palmyra
Vikosi vya Syria vinaendelea na mapambano dhidi ya IS, baada ya kuukomboa Palmyra
Watalaamu wautathmini uharibifu wa Palmyra
Wataalamu wa mambo ya kale watathmini uharibifu uliofanywa katika mji wa kale Palmyra
Serikali ya Syria yaukombowa tena mji wa Palmyra
Mji wa Palmyra wakombolewa kutoka mikononi mwa wanamgmbo wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu
Mazungumzo ya Syria yaahirishwa mjini Geneva
Wachambuzi wasema lazima Assad aondoke madarakani ili muafaka upatikane
Gauck amaliza ziara ya China
Gauck amaliza ziara ya China
Msako mkali waendelea mjini Brussels
Msako mkali waendelea Brussels baada ya mashambulizi ya IS
John Kerry ataka ufafanuzi zaidi juu ya hatima ya rais Assad
Masaada wa kiutu waanza kufikishwa katika maeneo yaliyozingirwa Syria
Dunia yashtushwa na mashambulio hayo
Dunia yashtushwa na mashambulio hayo
Upinzani wasema lazima Rais Assad aondoke madarakani
Mjumbe wa Syria Bashar al Jaffari asema hatima ya Assad haihusiki na mazungmzo yanayoendelea Geneva
Upinzani Syria wataka duru ya pili ya mazungumzo iharakishwe
Urusi yaombwa kumuhimiza mshirika wake kuingia katika mazungumzo ya kweli ya kutafuta suluhu la kisiasa Syria
Upinzani wataka mazungumzo ya Geneva yaharakishwe
Mazungumzo kuhusu mzozo wa Syria yameingia siku ya tano mjini Geneva, Uswisi
Mazungumzo ya amani ya Syria yaendelea Geneva
Kundi moja la upinzani nchini Syria linaloungwa mkono na Urusi limejiunga na mazungumzo ya Geneva
Mbinu za Putin
Wakimbizi hawana njia nyengine
Putin aamrisha jeshi lake liondoke Syria
Urusi imesema jeshi lake liliopo Syria linajitayarisha kuondoka na kurudi nyumbani
Mazungumzo ya Syria yaanza Geneva
Assad awasilisha mapendekezo ya mageuzi ya kisiasa
Matumaini madogo yaonekana katika mazungumzo ya amani Syria
Serikali ya Syria yashutumiwa kutoa vitisho kabla ya mazungumzo ya amani kuanza
Serikali ya Syria, upinzani zatofautiana kabla ya mazungumzo
Mazungumzo ya amani ya Syria yanatarajiwa kuanza Jumatatu Geneva
Kujitanua kwa IS Libya kwaongeza mahitaji ya silaha
Pande zinazozozana Libya zinatafuta silaha zaidi kutokana na kitisho cha kundi la IS
Mashirika: Mwaka wa tano wa vita vya Syria ndio mbaya zaidi
Mashirika ya misaada yanasema mwaka wa tano wa vita vya Syria ndio mbaya zaidi tangu vilipoanza
Ujerumani yapata taarifa binafsi za IS
Polisi ya Ujerumani imepata faili yenye taarifa za wapiganaji wa "Dola la Kiislamu"
Watoto Syria wanaishi katika mazingira magumu
Save the children linasema huenda watoto wakakumbwa na madhara ya muda mrefu kutokana na vita vinavyoendelea
Umoja wa Ulaya, Uturuki zakubaliana kuhusu wakimbizi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemaliza mkutano wa kilele na Uturuki kwa kukubaliana kuhusu suala la wakimbizi
Ufanisi mdogo katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
Hakuna ufanisi mkubwa unaoonekana katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
De Mistura: Usitishaji mapigano Syria waheshimiwa
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anasema ufanisi unaonekana katika usitishaji wa mapigano Syria
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 38 wa 77
Ukurasa unaofuatia