You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Syria: Mapambano makali kuwania mji wa Aleppo
Serikali ya Syria, Waasi wajizatiti kuuhami Aleppo
Mshikamano si madhubuti Uturuki
Uchumi wa Marekani unatia moyo
Rais Obama asema Urusi inasua sua katika mgogoro wa Syria
Rais Obama asema Urusi inasua sua katika mgogoro wa Syria
Obama ahimiza demokrasia Afrika
Rais Obama azungumza na vijana wa Afrika katika programu yake-YALI, Mwanamke wauwawa kwa kisu London na Majeshi ya Libya yasonga mbele katika ngome ya IS ya Sirte.(Papo kwa Papo 04.08.2016)
Boko Haram ina kiongozi mpya
Boko Haram imemtangaza Abu Musab al Barnawi kuwa kiongozi wake
Hali mbaya Sudan Kusini
Umoja wa Mataifa watupia jicho Sudan Kusini, Afrika Kusini yashiriki chaguzi za mitaa, Watu zaidi ya 30 wauwawa Syria na Kocha wa riadha Mtaliani apanda kizimbani Kenya
Papo kwa Papo 02.08.2016
Mamlaka ya Anga nchini Marekani imetoa kibali kwa kampuni ya Virgin Galactic kupeleka watalii angani kuanzia mwakani, Urusi yashambulia vikali ngome za waasi Aleppo nchini Syria baada ya helikopta yake kuagushwa, na wapinzani nchini Venezuela wapata sahihi za kutosha kuendeleza mchakato wa kumvua madaraka Rais Nicolas Maduro.
Watu 33 wauwawa baada ya sumu ya gesi kudondoshwa Saraqeb
Kerry asema ni muhimu pande zinazohasimiana kuingia katika meza ya mazungumzo badala ya kuendelea na mapigano
Marekani yazishambulia ngome za IS Libya
Marekani imefanya mashambulizi ya angani katika mji wa Sirte nchini Libya siku ya Jumatatu
Waasi watwaa ngome za serikali Syria
Marekani yatangaza kuchukuwa sehemu kubwa ya mji wa Manbij.
Obama: Hillary Clinton anafaa kuwa Rais
Barack Obama amesema Hillary Clinton ana vigezo vingi kuwa Rais, hata zaidi yake au Bill Clinton, Papa Francis ataka Poland ipokee wakimbizi zaidi, watu wapatao 44 wauliwa kwa bomu Syria, kiongozi wa upinzani DRC, Etienne Tshisekedi, arejea Kinshasa. Papo kwa Papo 28.07.2016
Shinikizo dhidi ya Merkel kuhusu uhamiaji
Wabunge wa Ujerumani wataka wahamiaji waliokataliwa hifadhi nchini wafukuzwe haraka
UN: Watoto wengi wameuwawa Afghanistan 2016
Idadi ya watoto waliouwawa katika machafuko ya Afghanistan katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, imeongezeka
Mhamiaji wa Syria ahusika na shambulio la Ansbach
Mripuaji wa Syria auwawa na kujeruhi12 Ujerumani
Mkimbizi kutoka Syria ajiripua na kujeruhi watu 11 Ujerumani
Mkimbizi kutoka Syria ajiripua na kujeruhi watu 11 Ujerumani
Mawaziri waahidi kuimarisha mapambano
Iraq na wakimbizi wa Syria kusaidiwa
Papo kwa Papo 19.07.2016
Watu watano wajeruhiwa katika shambulizi lililotokea katika kituo cha treni Ujerumani, safisha safisha yaendelea Uturuki baada ya jaribio la mapinduzi lililofeli na mkutano mkuu wa chama cha Republican wafanyika Marekani, kumuidhinisha rasmi Donald Trump kuwa mgombea wa chama hicho.
Ufaransa yaimarisha usalama kufuatia mauaji ya Nice
Usalama umeimarishwa nchini Ufaransa baada ya mauaji ya lori ya mjini Nice, ambayo rais wa Ufaransa ameyataja ni ya kigaidi huku waendesha mashitaka wakisema, mshambuliaji hatambuliwi na vyombo vya usalama wa taifa.
Syria yarefusha muda wa kusitisha mapigano
Jeshi la Syria limerefusha muda wa "utulivu" nchini humo kwa masaa 72 hadi Jumanne
Vita vya Iraq: Tony Blair aomba radhi
Ripoti ya Sir John Chilcot imebainisha kwamba vita vya Irak vilikuwa vya makosa
Waislamu waadhimisha Idd-al-Fitr
Waislamu bilioni 1.6 waadhimisha kumalizika kwa mfungo wa Ramadhani.
Amnesty: Waasi wametenda uhalifu Aleppo, Idlib
Amnesty: Waasi wametenda uhalifu Aleppo, Idlib
Wahamiaji wanyanyaswa nchini Libya
Amnesty International, imeelezea visa vya vya wahamiaji kutumiwa na kudhulumiwa kingono Libya
Maoni: Wito kwa Waislamu
Wakati Waislamu wanaadhimisha Eid Ul Fitr, nchi nyingi za ulimwengu huo zinakabiliwa na Matatizo
Iraq yaanza siku 3 za maombolezo
Waziri Mkuu wa Iraq aapa kuadhibu walioshambulia Baghdad
Watu 70 wauwawa Syria
Watu 70 wauwawa Syria
Uturuki yalishupalia kundi la IS
IS yashukiwa kwa mashambulizi ya Istanbul
Tishio la Dola la Kiislamu lainyemelea Kenya
Dola la Kiislamu lajipenyeza Kenya
Ujerumani kuongeza ulinzi Mediterania
Baraza la mawaziri la Ujerumani limekubaliana kuliongezea majukumu jeshi lake la majini katika Bahari ya Mediterrania
Jordan yafunga mipaka baada ya shambulizi
Jordan imefunga mipaka yake inayoingiliana na Iraq pamoja na na Syria kufuatia shambulizi
UN: Watu milioni 65 walipoteza makaazi 2015
Umoja wa Mataifa umesema watu waliopoteza makaazi yao kote duniani imefikia rekodi mpya
Fallujah yakombolewa kutoka kwa IS
Mji wa Fallujah uko chini ya serikali
Ufaransa yaimarisha ulinzi na usalama
Ufaransa imesema mtu mwenye itikadi kali aliyemuua afisa wa polisi alikuwa akitekeleza wito wa Dola la Kiislamu, IS.
Hollande: Ugaidi bado ni tishio kwa Ufaransa
Hollande: Ugaidi bado ni tishio kwa Ufaransa
Mawaziri wa Ulinzi wa Syria, Iran na Urusi wakutana Tehran
Mazungumzo yanakuja ambapo vikosi vya Syria vikiongeza mashambulizi dhidi ya kundi la Dola la Kiislamu.
Wapiganaji wa IS wafurushwa Aleppo
Vikosi vya upinzani vinaungwa mkono na Marekani
Bomu laua watu kadhaa Istanbul
Bomu limewaua 11 na kujeruhi 36. Liliwalenga polisi na lililipuka wakati watu wengi walikuwa wakielekea kazini.
Jeshi maalum la Iraq linakaribia Fallujah
Vikosi maalum vya jeshi la Iraq vinakaribia kuigia Fallujah kuukomboa mji huo unaoshikiliwa na kundi la IS
Maalfu ya raia wanaswa katika mapigano
Makamanda wasema mji wa Fallujah utakombolewa
Mapigano yaendelea Syria
Wapiganaji wa kiarabu na Kikurdi wakisaidiwa na wanajeshi wa Marekani wamekabiliana na kundi la Dola la Kiislamu Raqa
Papo kwa Papo 23.05.2016
Mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu msaada wa kiutu wafanyika Istanbul, Uturuki. Katibu mkuu Ban ayataka mataifa kuheshimu sheria za kimtaifa za vita, Rais Barack Obama aanza ziara ya siku tano barani Asia, aiondolea vikwazo Vietnam, Papa Francis akutana na Imam mkuu wa msikiti wa Azhar.
Mazungumzo ya Amani Yemen
Madhehebu yenye itikadi kali ya Sunni na Shia yakabiliana na vikosi vya serikali vinavyosaidiwa na Saudi Arabia
IS yauwa wanajeshi 32 wa Libya
Libya yasonga mbele dhidi ya IS, yapoteza wanajeshi 32
Ataka demokrasia kuheshimiwa katika mataifa mengine
Ataka siasa za wazawa ziheshimiwe
Libya kuondolewa sehemu ya vikwazo vya silaha
Nchi za Magharibi kuipa silaha serikali ya Libya
Mataifa yakutana kuijadili IS nchini Libya
Marekani, Ulaya zinakutana Vienna, Austria kujadili mzozo wa Libya na kitisho cha kundi la IS
Idadi ya wakimbizi yafikia milioni 40 duniani
Migogoro inayoendelea Yemen na Syria imechangia kwa kiasi kubwa idadi ya wakimbizi
John Kerry yupo mjini Paris
Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Syria yahamia Paris
Usitishaji mapigano Aleppo warefushwa kwa masaa 72
Usitishaji wa muda wa mapigano katika mji wa Aleppo umerefushwa kwa masaa 72
Waasi wakamata kijiji muhimu kutoka jeshi la serikali Aleppo
Makundi ya wapiganaji nchini Syria yamekamata kijiji muhimu kutoka jeshi la serikali katika mapigano kusini mwa Aleppo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 37 wa 77
Ukurasa unaofuatia