You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Chuki dhidi ya wageni ni ujinga
Ripoti ya serikali kuhusu chuki dhini ya wageni na Umoja wa Wajerumani, na mvutano kati ya Urusi na marekani Syria
Jitihada mpya za kusitisha mapigano Syria
Tofauti zafikia kiwango kipya kati ya Marekani na Urusi.
Waandishi wa habari waandamana mjini Mombasa
Waandishi wa habari waandamana mjini Mombasa wakipinga vitendo vya ukandamizaji, vitisho na mashambulizi dhidi yao. Mataifa 52 yaahidi kuwachukua wakimbizi zaidi kutoka nchi zenye vita na watu 20 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Indonesia. Papo kwa Papo 21.09.2016
Vita vyaibuka upya Syria
Wasyria wataendelea kuteseka,Angela Merkel awashangaza wajerumani kwa kubadili msimamo juu ya wakimbizi
Obama, Ban Ki-moon waitaka dunia iwajibike
Viongozi wawili wakubwa duniani wameelezea masikitiko yao kwa ulimwengu kushindwa kuutatua mzozo wa Syria hadi sasa.
Maandamano ya upinzani yaendelea Congo
Papo kwa Papo 20.09.2016: Ofisi za vyama vitatu vya upinzani Congo zimechomwa moto, Umoja wa Mataifa umesitisha misafara yote ya misaada ya kiutu Syria, Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya New York na New Jersey afunguliwa mashitaka
Msafara wa misaada washambuliwa Syria
Msafara wa magari uliokuwa ukipeleka misaada katika jimbo la Aleppo nchini Syria, umevamiwa kwa mashambulizi ya anga, muda mfupi baada ya jeshi kutangaza kumalizika kwa kipindi cha wiki nzima cha kusitisha mapigano.
Ghasia zaongezeka Syria
Makubaliano ya kusitisha vita Syria yamesambaratika. Ni baada ya ndege za jeshi za Marekani kuua wanajeshi wa serikali.
Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa waanza New York
Mkutano wa kilele wa nchi wanachama Umoja wa Mataifa unaanza rasmi.
Makubaliano ya kusitisha mapigano Syria hatarini
Marekani inasema Urusi inafanya unafiki kuitisha kikao kujadili mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Syria.
Mashaka yatawala makubaliano ya usitishaji mapigano Syria
Mashaka yatawala makubaliano ya usitishaji mapigano Syria
Umoja wa Mtaifa watoa ripoti
Nusu ya watoto milioni 6 wakimbizi duniani hawako shuleni
Hali ya afya ya Clinton yatia mashaka
hali ya afya ya mgombea kiti cha urais katika uchaguzi nchini Marekani Hillary Clinton inatia shaka
Usitishwaji mapigano waheshimiwa Syria
Ahueni katika maeneo yote ya Syria leo
Assad ajigamba kupambana Syria
Assad ajigamba kupambana Syria
Majeshi ya Syria yalipua ngome za waasi
Majeshi ya Syria yalipua ngome za waasi
Mapigano yapamba moto Syria kuelekea usitishaji
Mapigano yapamba moto Syria kuelekea usitishaji
Marekani na Urusi zakubaliana kusitisha mapigano Syria
Marekani na Urusi zimekubaliana zitashirikiana kusitisha vita vya Syria na kupambana na ugaidi.
Watoto milioni 28 hawana makazi duniani sababu ya vita
UNICEF yatoa ripoti inayosema watoto milioni 28 hawana makazi duniani kutoka na mizozo ya vita. Ndege za kivita za Syria zashutumiwa kuangusha mabomu yaliyo na gesi ya Chlorine. Na mamlaka za Uturuki zimeuchukua kwa nguvu mkanda wa mahojiano ya DW na waziri wa michezo na vijana wa Uturuki.
Watoto milioni 28 wang'olewa makwao na vita
UNICEF yasema watoto takriban milioni 50 duniani ni wakimbizi na wahamiaji kutokana na mizozo
Operesheni Euphrates yaendelea syria
Operesheni Euphrates yaendelea Syria
Merkel akiri kuwepo kuwepo makosa katika sera ya wakimbizi
Kiongozi mwandamizi wa IS auwawa Syria, Rais Ali Bongo aongoza matokeo ya awali Gabon na Nahodha wa Ujerumani Bastian Schweinsteiger anaweza kucheza soka Marekani.
Msemaji mkuu wa IS al-Adnani auawa
Kundi la wanamgambo wenye itikadi kali linalojiita Dola la Kiisilamu - IS, limethibitisha kifo cha msemaji wake mkuu, Abu Mohamed al-Adnani, aliyekuwa akisimamia operesheni za kijeshi nchini Syria.
Rais Erdogan asema mapigano hayatakoma
Uturuki inawasiwasi juu ya wakurdi wa Syria kuwa na mfungamano na waasi wa kikurdi wanaopigana katika ardhi yake
Maalfu ya wakimbizi wametoweka
Uturuki inaendelea kuwashambulia Wakurdi
Uturuki yaonya kuendeleza mashambulizi Syria
Uturuki kuendelza mashambulizi Syria
Uturuki yazidisha mashambulizi ndani ya Syria
Uturuki yasema inataka kuwazuia Wakurdi na IS kwa pamoja
Marekani, Urusi zapiga hatua kuhusu amani ya Syria
Kerry, Lavrov waelezea matumaini ya kusitisha uhasama Syria
Je, mkimbizi atabaki tu kuwa mkimbizi?
Wakimbizi waliokatishwa tamaa Ujerumani
Kerry na Lavrov wajadili mgogoro wa Syria
Kerry na Lavrov wajadili mgogoro wa Syria
Mripuko wauwa polisi 11 Uturuki
Mripuko wauwa polisi 11 Uturuki
Uturuki yazidi kutuma vifaru Syria
Uturuki yapeleka vifaru Syria
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Marekani yasisitiza mshikamano na Uturuki
Biden asema Marekani inapinga mapinduzi Uturuki
Utafiti: Sera ya wakimbizi ilivyoibadili Ujerumani
Utafiti: Wakimbizi walivyoibadili Ujerumani
Jeshi la Uturuki laingia Syria dhidi ya IS
Biden awasili nchini Uturuki kupunguza mvutano
Majeshi ya Uturuki yaimarisha mashambulizi ngome ya IS Syria
Kwa siku ya pili mfulululizo majeshi ya Uturuki yaimarisha mashambulizi maeneo ya mpakani yanayodhibitiwa na IS Syria
Mapigano makali bado yaripotiwa mjini Hassakeh
Wapiganaji wa kikurdi washikilia maeneo ya mji wa Hassakeh
Usalama wa Ujerumani chini ya sera ya milango wazi
Usalama wa Ujerumani chini ya sera ya milango wazi
Amnesty yalaani utesaji wa mahabusu Syria
Ripoti mpya ya shirika la, Amnesty International, inasema takriban wafungwa 18,000 wamefariki wakiwa vizuizini nchini Syria ndani ya kipindi cha miaka mitano iliyopita, kutokana na mateso pamoja na maradhi.
Mazishi ya waliouawa Beni, DRC yafanyika Papo kwa Papo 17.08.2016
Mazishi ya waliouawa na waasi mashariki ya Congo yafanyika Beni, Uturuki kuwaachia huru wafungwa 38,000 na Urusi yashambulia waasi Syria kutokea kambi ya kijeshi ya Iran.
China yataka ushirikiano wa kijeshi na Syria
China kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Syria
Jee ni sahihi kupiga marufuku mavazi?
Magharibi izungumze na Urusi juu ya Syria
Steinmeier: Mkataba wa Minsk unapaswa kuendelea
Steinmeier ataka mkataba wa Minsk uwe lengo kuu la mchakato wa amani ya Ukraine
Mamia waachiwa huru na IS Syria
Mamia ya wakaazi wa mji wa Manbij waliachiwa huru na wapiganaji wa Is wakati wakikibia ngome yao
UN: Muda wa kusitisha mapigano Aleppo hautoshi
Umoja wa mataifa umesema leo kwamba unajaribu kufanya mipango pamoja na Urusi kupata usitishaji mapigano kwa masaa 48
Afueni ya saa tatu kwa siku Aleppo kuingizwa misaada
Afueni ya saa tatu kwa siku Aleppo kuingizwa misaada ya kiutu
Bidhaa muhimu huenda zikakosekana Aleppo
UN yatoa wito wa kupewa nafasi zaidi ya kufikia mji wa Aleppo unaokumbwa na mashambulizi
Tija ya Uhusiano wa Urusi na Uturuki
Ujerumani yakaribisha kujongeleana Uturuki na Urusi
Papo kwa Papo 08.08.2016
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan aapa kuidhinisha sheria ya hukumu ya kifo baada ya mapinduzi yaliyofeli, waasi Syria wafanikiwa kuvunja mzingiro wa wiki tatu mjini Aleppo na chama cha KADU Asili nchini Kenya chawataka Wapwani kuungana kabla ya uchaguzi mkuu mwakani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 36 wa 77
Ukurasa unaofuatia