You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Berlin: Merkel, Hollande, Putin kuzijadili Ukraine na Syria
Merkel, Hollande na Putin wanakutana kutathimini hatua za utekezaji wa makubaliano ya Minski.
IS huenda ikatumia silaha za sumu Mosul
Majeshi ya Iraq na washirika wake wanafanya operesheni kubwa ya kijeshi kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa IS
Operesheni Mosul yaendelea vizuri
Operesheni Mosul yaendelea vizuri. Yemen yasitisha mapigano. Na, DRC yaahirisha uchaguzi.
Umoja wa Mataifa wataka uhakika wa usalama Aleppo
Syria na Urusi zasitisha mashambulizi Aleppo
Ndege za kivita za Urusi na Syria zimesitisha mashambulizi yake dhidi ya mji wa Aleppo
Kamepni ya kuukomboa mji wa Aleppo na Dresden Magazetini
Mada tatu kuu magazetini;Mossul,Dresden na kuongezeka idadi ya watoto Ujerumani
EU yalihofia Dola la Kiislamu Barani Ulaya
Hiyo ni ngome pekee ya IS iliosalia nchini Iraqi.
Syria: Vikwazo ndiyo njia pekee ya Ulaya dhidi ya Urusi
Njia pekee uliyonayo Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi ni kukaza vikwazo zaidi kwa taifa.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 18.10.2016
Amnesty yaonya juu ya hatari inayowakabili waumini wa Kisunni wanaotoroka maeneo ya IS Mosul, Umoja wa Ulaya walaani mashambulizi ya Urusi na Syria katika maeneo ya raia Aleppo na Austria inapanga kuvunja nyumba alikozaliwa Adolft Hitler.
Ulaya yasitasita kuiongezea vikwazo Urusi
Hakuna muafaka Ulaya kuhusu vikwazo zaidi dhidi ya Urusi
Iraq yatangaza vita kuifurusha IS Mosul
Waziri mkuu Al-Abadi amesema ataisambaratisha IS kufikia mwishoni mwa mwaka huu
Mawaziri wa EU kujadili uwezekano wa vikwazo zaidi kwa Syria
Hakuna nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya imependekeza Urusi kuwekewa vikwazo
Taarifa ya Habari za Asubuhi:17.10.2016
Waziri mkuu wa Iraq atangaza operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa IS, rais wa Urusi akanusha nchi yake kuhusika katika mashambulizi ya mitandao nchini Marekani, na wanadiplomasia wataka usitishaji mapigano usio na masharti Yemen.
16.10.2016 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa utakayoyasikia ni pamoja na uchaguzi wa DRC 2018, Waasi Syria waudhibiti mji wa Dabiq na Mfalme wa Kuwait avinja bunge.
16.10.2016 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na Urusi yaitaka Syria kujitenga na udini, Papa kutangaza watakatifu wapya saba na Montenegro inashiriki uchaguzi.
Hakuna makubaliano kuhusu mazungumzo ya Syria
Marekani na Urusi zashindwa kukubaliana kuhusu Syria
Matangazo ya Jioni 15.10.2016
Tuliyo nayo: Mazungumzo mapya ya kutafuta njia za kumaliza mgogoro wa Syria yameanza nchini Uswisi. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema nchi yake inahitaji kufanya "jitihada za kitaifa" kuwarudisha katika nchi zao wahamiaji waliokosa hifadhi. Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umekiri kwamba mojawapo ya ndege zake " uliulenga kimakosa" mkusanyiko uliokuwa katika mazishi.
Matangazo ya Mchana 15.10.2016
Tuliyo nayo : Mazungumzo mapya ya kidiplomasia ya kumaliza mgogoro wa Syria yanaanza tena nchini Uswisi Jumamosi ya leo baina ya Marekani na Urusi.Zaidi ya mataifa 150 yanayokutana nchini Rwanda yamekubali mpango wa kimataifa wa kupunguza gesi chafu inayochafuwa mazingira na Mshukiwa aliyepanga kufanya shambulio la bomu katika uwanja wa ndege wa Berlin alionyesha dalili za itikadi kali
Al-Bakr alionesha dalili za itikadi kali
Mashambulizi mapya zaidi Syria
Ndege za kivita za Syria na Urusi zimeendelea kufanya mashambulizi katika ngome za waasi mjini Aleppo na kuua watu 150
Urusi na Marekani zaitisha mazungumzo ya amani kuhusu Syria
Mazungumzo hayo yanaitishwa huku Urusi ikishutumiwa kwa kuendeleza mashambulizi ya anga nchini Syria
13.10.2016 Taarifa ya Habari ya asubuhi
Mshukiwa wa ugaidi raia wa Syria ajinyonga mahabusu nchini Ujerumani// Marekani na Urusi zakubaliana kuanzisha tena mazungumzo ya amani// Bunge la Burundi lapiga kura kujitoa mahakama ya ICC.
Ujerumani kuwabana waomba hifadhi
Walianza kutafuta namna ya kurahisisha mchakato huo tangu majira ya joto yanayomalizika
Papa Francis asihi usitishwaji vita Syria mara moja
Mashambulizi yanajiri baada ya kuvunjika kwa mkataba wa usitishwaji vita ulioafikiwa kati ya Urusi na Marekani.
Raia wa Syria wafanikisha kutiwa mbaroni mtuhumiwa wa ugaidi
Ahusishwa na kundi la Dola la Kiisilamu
09.10.2016 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
09.10.2016 Taarifa ya habari ya asubuhi
08.10.2016 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Marekani na Urusi zafarakana kuhusiana na Syria
Vikosi vya Syria vyasonga mbele vikisaidiwa na ndege za kivita za Urusi
05.10.2016 Taarifa ya Habari saa 12.00 Asubuhi
Marekani yasimamisha mashirikiano na Urusi kuhusu Syria
Mjumbe wa UN kwa Syria, Steffan de Mistura, anasema bado hajavunjika moyo na kupatikana makubaliano ya amani.
02.10.2016Matangazo ya Asubuhi
02.10.2016Matangazo ya Asubuhi
02.10.2016 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
02.10.2016 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Urusi yapeleka ndege zaidi nchini Syria
Baada ya mwaka mmoja wa operesheni nchini Syria, Urusi yapeleka ndege zaidi
Matangazo ya Asubuhi 30.09.2016
Tuliyo nayo; Urusi yashinikizwa na Marekani kukomesha mashambulizi ya anga mjini Aleppo ili kuruhusu usambazaji wa misaada ya kiutu. Rais wa Ujerumani Joachim Gauck ameitembelea Ukraine na kutoa heshima kwa waathirika wa mauaji ya kinazi katika kumbukumbu ya miaka 75 tangu kutokea kwake. Zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea katika jimbo la New Jersey nchini Marekani.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 30.09.2016
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 30.09.2016
Urusi kuendelea na mashambulizi Aleppo
Urusi kuendelea na mashambulizi Aleppo
Waasi wa Syria waendelea kushambuliwa Aleppo
Waasi wa Syria waendelea kushambuliwa Aleppo
28.09.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
28.09.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
Hali Syria na kudhalilishwa wanawake
Vita vya Syria na kudhalilishwa wanawake ni miongoni mwa mada zilizohanikiza magazetini nchini Ujerumani.
Usitishaji mapigano ungalipo - Moallem
Marekani na washirika wake waishutumu Urusi kwa kufadhili ugaidi na ukatili Syria
Aleppo yatendewa ukatili - UN
Marekani yasema Urusi inasaidia "ushenzi" Aleppo
26.09.2016 Taarifa ya Habari za Asubuhi
26.09.2016 Taarifa ya Habari za Asubuhi
25.09.2016 Matangazo ya Mchana
25.09.2016 Matangazo ya Mchana
25.09.2016 Matangazo ya Jioni
Yaliomo ni pamoja na: Upinzani Syria wakatishwa tamaa na mazungumzo ya Umoja wa Mataifa na mpinzani Gabon ailalamikia mahakama ya katiba.
Mapigano yapamba moto Syria
Wanawake watano na watoto wawili wameuwawa katika mji wa Aleppo kufuatia mashambulizi mapya ya mabomu.
Maoni:Umoja wa Mataifa umeshindwa
Mvutano kati ya Marekani na Urusi kufuatia mashambulizi dhdi ya msafara wa msaada nchini Syria unaoashiriaUN imeshindwa
Urusi na Marekani zashindwa kukubaliana kuhusu Syria
Nchi hizo zimeshindwa kufikia muafaka juu ya namna ya kufufua makubaliano ya kusitisha mapigano Syria.
Tuzo ya haki ya kuishi yapata washindi
Washindi watagawana dola 350,000
Mji wa Aleppo bado washambuliwa
Mapigano makali yameutikisa mji wa Aleppo na moto mkubwa ulizuka ndege za kivita za Syria kushambulia mji huo.
Watoto waliokimbilia Ujerumani bila wazazi
Maelfu ya watoto na vijana wanakimbilia Ujerumani bila kuandamana na familia zao, wengi wanatokea Syria, Afghanistan au Somalia. Kuna takriban watoto 9,000 wasiojulikana walipo Ujerumani na kuna hofu kubwa kwamba wanaweza kutumiwa vibaya kwa urahisi na wahalifu wa biashara ya madawa wa kulevya, makuwadi na hata wale wenye misimamo mikali ya dini ya Kiislamu wenye kuhubiri chuki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 35 wa 77
Ukurasa unaofuatia