You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mwito watolewa kusimamishwa mapigano Aleppo
Aleppo iliyozingirwa inakabiliwa na mashambulizi ya mabomu wakati majeshi yakiendelea kuukaribia
Majeshi ya Syria yadhibiti kaskazini mwa Aleppo
Waasi wanapoteza maeneo muhimu katika mji wa Aleppo, maelfu ya raia walazimika kukimbilia usalama wao
27.11.2016 Matangazo ya jioni
.......
Mjumbe maalum wa UN aitaka Marekani kumaliza vita Syria
Rais wa Marekani aweza kuendelea kufanyakazi kumaliza vita vya Syria kabla hajatoka madarakani
Ufaransa yaitisha mkutano kuhusu Syria
Staffan de Mistura amehofia huenda Bashar al-Assad akafanya mashambulio mapya kabla Trump hajaapishwa
Jeshi la Libya lakaribia kuitwaa Sirte
IS yawataka wanawake na watoto kuondoka Sirte, huku ikijipanga kukabiliana na majeshi ya serikali.
23.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
23.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi
Japan yakumbwa na tetemeko la ardhi
Japan yakumbwa na tetemeko la ardhi, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump aahidi kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa TPP, na kiasi ya raia Milioni moja wanaishi kwenye mzingiro nchini Syria
Watu milioni moja hatarini Syria
Idadi hiyo imeongezeka mara mbili katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.
Mashambulizi mapya ya anga yafanyika Aleppo
Jeshi la Syria limefanya mashambulizi ya anga katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi Syria
Nchi wanachama wa UM walaani mashambulio ya Aleppo
Ndege za kivita zashambulia maeneo ya wapinzani katika mji wa Aleppo
Polisi wafanya msako dhidi ya 'IS' Ujerumani
Serikali ya Ujerumani imepiga marufuku mtandao wa kundil la Masalafisti la DWR ambalo lina mahusiano na 'IS'
Iraqi yaurejesha mji wa kale wa Nimrud
Majeshi hayo yamechukua Nimrud wakati ambapo wakiendeleza mashambulizi dhidi ya kundi hilo la Jihadi Kusini mwa Mosul.
Matangazo ya mchana : 13.11.2016
Tuliyo nayo mchana huu:Mpinzani wqa ulaya akutana na Trump:Kiongozi wa M23 atoroka kambini:Watu 52 wauwawa Pakistan
Kundi la IS lajilimbikizia silaha za sumu
Wapiganaji wa kundi lilalojiita Dola la Kislamu wamezidi kuuwa watu wengine zaidi karibu na mji wa kaskazini wa Mosul
Bunge la Ujerumani laongeza muda wa jeshi lake dhidi ya IS
Jeshi la " Bundeswehr" kuendelea na misheni maalum ya kupambana na IS kutokea kambi ya Incirlik nchini Uturuki.
Mashambulizi ya kuwaondoa IS yaendelea Iraq na Syria
Mashambulizi ya kuwaondoa IS yaendelea Iraq na Syria
Operesheni ya kuikomboa miji ya Mosul na Raqqa
Kundi la waasi wa IS latimuliwa karibu na mji wa Mosul
Mashambulizi dhidi ya IS yashika kasi
Kundi la kwanza la wapiganaji 2000 liliingia Bashiqa likiwa na magari yenye silaha na wengine kwa mguu.
Aleppo Mashariki wajiandaa kwa mashambulizi mapya
Mpango wa serikali na Urusi kusitisha mashambulizi ulimalizika muda wake siku ya Ijumaa.
Vikosi vya Iraq vyapenyeza zaidi mji wa Mosul
Vikosi vya Iraq vyapenyeza zaidi mji wa Mosul
Kiongozi wa IS ataka wafuasi kuipigania Mosul
al-Baghdadi ataka IS waidhibiti Mosul na kutosalimu amri kutokana na mashambulizi ya vikosi vya Iraq
Polisi Berlin yamkamata mshukiwa wa ugaidi
Raia mmoja wa Syria amekamatwa na polisi mjini Berlin, akishukiwa kuwa mwanachama wa taasisi ya kigeni ya kigaidi.
Mwanahabari mmoja huuawa kila baada ya siku tano
Mauaji hayo yanatokea kuhusiana na kazi yake
Raia hatarini zaidi katika mji wa Mosul
Wakati majeshi ya Iraq yakipiga hatua zaidi kuukaribia mji wa Mosul mapigano yanatazamiwa kuwa makali zaidi.
IS wawauwa askari 40 wa zamani wa Iraqi
Wapiganaji hao wamekuwa wakiwauwa mateka waliowahi kuwa askrai wa Iraqi
Wanahusishwa na jaribio la mapinduzi
Waandishi wa Habari washikiliwa na Polisi Uturuki
Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya waasi Syria
Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya waasi mjini Aleppo
Matangazo ya Asubuhi 31.10.2016
Tuliyo nayo; Umoja wa Mataifa umeonya kwamba mashambulizi ya mabomu yanayofanywa na waasi nchini Syria yanaweza kuhesabiwa kuwa uhalifu wa kivita. Mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela baina ya serikali na viongozi wa upinzani yameanza na uchaguzi wa rais nchini Moldovia utapaswa kufanyika kwa raundi ya pili hapo novemba 13.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 31.10.2016
Tuliyo nayo; Umoja wa Mataifa umeonya kwamba mashambulizi ya mabomu yanayofanywa na waasi nchini Syria yanaweza kuhesabiwa kuwa uhalifu wa kivita. Mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela baina ya serikali na viongozi wa upinzani yameanza na uchaguzi wa rais nchini Moldovia utapaswa kufanyika kwa raundi ya pili hapo novemba 13.
Tuliyonayo mchana huu, Majeshi ya serikali nchini Syria pamoja na waasi waendelea kupambana leo katika eneo la magharibi la mji wa Aleppo//Waziri wa mambo ya kigeni wa ujerumani Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini Vietnam kuanza ziara yake ya siku tatu //Utiaji saini makubaliano ya kibiashara yajulikanayo kama CETA kati ya Umoja wa Ulaya na Canada wacheleweshwa.
Waasi washambulia Aleppo, Putin asita kushambulia upya
Waasi wanasema wamedhamiria kuvunja mzingiro dhidi ya Aleppo mashariki na kuikomboa Magharibi.
Mashambulizi mapya Syria.
Mzingiro huo ulidumu kwa miezi kadhaa kwenye maeneo yanayoshikiliwa na waasi, Mashariki mwa Aleppo.
Urusi yapinga ripoti ya UN
Kauli ya Urusi inafuatia mjadala kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya ripoti ya mwisho ya uchunguzi huo
Syria yazusha malumbano Umoja wa Mataifa
Stephen O'Brien aikosoa Urusi kwa kusababisha matatizo zaidi Aleppo, huku Vitaly Churkin akiitetea nchi yake
Ulimwengu uko wapi kuwalinda raia wa Syria?
Ulimwengu uko wapi kuwalinda raia wa Syria?
Mawaziri wa ulinzi watathimini mapambano dhidi ya IS
Mawaziri wa ulinzi walikutana kutathmini mjini Paris kutathmini mapambano dhidi ya IS
Mawaziri wa Ulinzi wajadili hatma ya mapambano dhdi ya IS
Wapiganaji wa IS waukimbia mji wa Mosul na kuingia Syria
Al-Shabaab waua 12 Mandera, Kenya
Watu 12 wameuliwa kwenye nyumba ya kulala wageni katika shambulio la al-Shabaab huko Mandera, Kenya, Dola la Kiislamu limewaua watu wasiopungua 60 katika chuo cha polisi Pakistan, wakimbizi wachoma ofisi ya kuombea hifadhi Ugiriki kupinga hali duni kwenye kambi zao na wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wapinga uwepo wa kikosi cha kulinda usalama cha Umoja wa Mataifa.
Vikosi vya muungano vyateka miji miwili karibu na Mosul
Vikosi vya muungano vyateka miji miwili karibu na Mosul
Wakurdi na wanajeshi wa Iraq wasonga mbele Mosul
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.10.2016
Umoja wa Ulaya umeipa Ubelgiji siku ya mwisho ya kutoa msimamo wake juu ya makubaliano ya mkataba wa biashara huria na Canada CETA. Mapambanao yazidi kupambamoto Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul. Na, mkuu wa wabunge kwa chama cha tawala cha Afrika Kusini ANC Jackson Mthembu, amtaka Zuma ajiuzulu.
Matanagazo ya Asubuhi 23.10.2016
Mapigano yaendelea Aleppo, Syria baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyotangazwa na Urusi kukamilika//Chama cha Christian Social Union chasema kitamuunga mkono Kansela wa Ujerumani Angela Merkel iwapo atawania muhula wa nne madarakani//
Mapigano yarejea upya Aleppo
Mapigano yalizuka siku ya Jumamosi, muda mchache baada ya saa 1:00 magharibi kwa majira ya Mashariki ya Kati.
22.10.2016 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa utakayoyasikia ni pamoja ni vita vya kuikomboa Mosul, Makubaliano ya biashara ya CETA na hukumu ya rais wa zamani wa Misri Mohammed Morsi
22.10.2016 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa utakayoasikia ni pamoja na Waziri wa Ulinzi wa Marekani awasili nchini Iraq, Misaada ya kiutu bado hajiweza kutolewa Aleppo na Rais wa Mauritania asema hatoongeza muhula wa tatu madarakani.
Harakati za kuukomboa mji wa Mosul,Iraq zaingia siku ya 5
Harakati za kuukomboa mji wa Mosul,Iraq zaingia siku ya 5
EU aondoa mpango wa vikwazo kwa Urusi
Mpango wa mashambulizi unaofanywa na Urusi ulipingwa vikali na Umoja wa Ulaya
Merkel, Hollande wamkalia kooni Putin
Urusi iko tayari kurefusha usitishaji mashambulizi kadiri iwezekanavyo.
Burundi yasaini kujiondoa ICC
Burundi yasaini kujiondoa ICC. Operesheni Mosul yaingia siku ya tatu. Gari ya polisi yakanyaga wanafunzi Ufilipino.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 34 wa 77
Ukurasa unaofuatia