You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Miaka 10 baada ya Saddam Hussein
Miaka 10 baada ya kuuwawa kwa saddam Hussein Iraq bado inakabiliwa na matatizo ya vita
Majeshi ya Iraq yaanza tena mashambulizi dhidi ya IS
Majeshi ya Iraq yameanza awamu yake ya pili ya mashambulizi dhidi ya IS
Wahamiaji kurejeshwa makwao kutoka Ujerumani
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani
Makubaliano ya kuweka chini silaha Syria yaandaliwa
Makubaliano ya kuweka chini silaha Syria yaandaliwa
Syria yafanya mazungumzo ya amani na makundi ya upinzani
Serikali ya Syria yaanza mazungumzo ya amani na wapinzani nchinin humo
Jeshi la Syria lapambana kukomboa vyanzo vya maji Damascus
Waasi hukatiza huduma ya maji mara kwa mara kama njia ya kujihami wasivamiwe na majeshi ya serikali
Taarifa ya Habari Asubuhi 27.12.2016
Katika taarifa ya habari asubuhi leo: Makaburi ya watu wengi yagundulika katika mji wa Aleppo// Raia 30 wauwawa na magaidi wa IS nchini Syria//Sehemu za ndege ya Urusi iliyoanguka zapatikana baharini na serikali yathibitisha kuwa ajali hiyo haikutokana na kitendo cha ugaidi
26.12.2016 : Matangazo ya Jioni
Urusi inafanya maombolezi ya kitaifa leo, baada ya ajali ya ndege yake ya kijeshi kuuwa watu 92.// Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemuita balozi wa Marekani nchini humo Daniel Shapiro, baada ya Marekani kujizuwia kupiga kura kuhusu azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya makaazi ya walowezi wa Kiyahudi.//Kundi la meli za kivita za China liliingia katika eneo la bahari ya kusini mwa China.
Matangazo ya Jioni 24.12.2016
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck awataka Wajerumani kutoipa nafasi hofu kutanda nchini. Tunisia yakamata washukiwa watatu wanaohusishwa na mshambuliaji wa Berlin. Na jeshi la Nigeria latangaza kuliondoa Boko Haram msitu wa Sambisa
Mtuhumiwa wa shambulizi la Berlin auwawa
Mtuhumiwa wa shambulizi kwenye soko la Krismas la Berlin auwawa Italia, Trump na Putin wataka kuimarishwa kwa uwezo wa nchi zao kinyuklia na wapinzani DRC wakubaliana kumruhusu Kabila kuongoza hadi mwishoni mwa mwaka ujao, kwa sharti la kutobadili katiba
Mshukiwa wa mashambulizi ya Berlin auawa Milan
Mtunisia huyo alikuwa akisakwa tangu alipouwa watu 12 na kujeruhi wengine zaidi ya 30 katika soko la Krismasi
Jeshi la Syria laukomboa mji wa Aleppo
Jeshi la Syria laudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo
23.12.2016: Taarifa ya habari asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Alama za vidole za mtuhumiwa wa shambulizi la Berlin zagunduliwa//Jeshi la Syria lathibitisha kuukomboa mji wa Aleppo//Shirika la Afya ulimwenguni lagundua chanjo dhidi ya Ebola.
Ujerumani inamsaka mtuhumiwa wa shambulizi Berlin
Polisi Ujerumani inamsaka mtuhumiwa wa shambulizi la Berlin, Urusi yafanya ibada ya kumbukumbu ya balozi wake aliyeuawa Uturuki na Umoja wa Mataifa waunda tume ya kuchunguza uhalifu wa kivita Syria
Uhalifu wa kivita Syria sasa kuchunguzwa
Uhalifu wa kivita Syria sasa kuchunguzwa
Jeshi la Syria lajiandaa kuisafisha Aleppo
Jeshi la Syria lajiandaa kuisafisha Aleppo
Balozi wa Urusi nchini Uturuki auliwa Ankara
Andrey Karlov, amepigwa risasi na kuuawa mjini Ankara na mtu aliyetambuliwa kuwa polisi
Matangazo ya Mchana 18.12.2016
Katika matangazo ya Mchana tumekuletea: Ufaransa yawasilisha mswaada katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kupelekwa waangalizi katika mji wa Aleppo nchini Syria// Zaidi ya wanajeshi 40 wauwawa nchini Yemeni kutokana na shambulio la bomu//Viongozi wa ECOWAS waahidi kuchukua hatua katika mgogoro wa uchaguzi wa Gambia
Matangazo ya jioni 18.12.2016
Kwenye matangazo yetu leo jioni tumekuandalia: Makubaliano ya kuwaondoa watu kutoka Aleppo na vijiji vya Al-Foua na Kefraya yafikiwa nchini Syria//Shirika la kujihami la NATO latetea uamuzi wake wa kutoingilia vita vya Syria//Watu watano wauwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nchini Jordan
Uhamishaji raia Aleppo waendelea
Zoezi la kuwahamisha raia kutoka mjini Aleppo limeendelea tena mapema asubuhi ya leo baada ya kukwama tangu Ijumaa.
17.12.2016 Matangazo ya Jioni
Watu saba wanashikiliwa kufuatia mauwaji ya nchini Uturuki, Mugabe atanganzwa mgombea wa ZANU PF na waandishi wa habari wa Ubelgiji wafukuzwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo
Hatua za kuwaondoa raia Aleppo zakwama
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakaa kikao cha dharura kujadili hali katika mji wa Aleppo nchini Syria
Zoezi la kuhamisha raia Aleppo kuanza tena
Kusimamishwa kwa zoezi hilo kunafuatia madai ya wapiganaji kutaka majeruhi kuondolewa kwenye vijiji vya Washia
Amina Mohammed ateuliwa kuwa naibu Katibu Mkuu wa UN
Serikali ya Syria yaahirisha zoezi la kuwahamisha raia na waasi kutoka mjini Aleppo. Viongozi wa Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Urusi kwa miezi sita na Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amteua waziri wa wa mazingira wa Nigeria Amina Mohammed kuwa naibu Katibu Mkuu wake. Papo kwa Papo 16.12.2016
Operesheni ya kuwahamisha watu Aleppo yasitishwa
Jeshi la Syria imeushutumu upinzani kwa kukiuka makubaliano hayo ambayo yalianza kutekelezwa Alhamisi
Historia ya vita vya Syria na ukuaji wa kundi la IS.
Vita vya wenyewe kwa wenyewe Syria na kuzaliwa kwa kundi la IS
Maoni: Somo kutoka Aleppo
Mauaji yatazidi kuendelea kwani kila upande unajikita kwenye kumshinda tu adui na sio madhara ya vita vyao.
Mpango wa kuhamisha raia Aleppo wakwama
Mpango wa kuwahamisha waasi na raia kutoka mji wa Aleppo wakwamishwa na mashambulizi mapya, Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS ladai kuhusika na shambulizi la kanisa nchini Misri na kusababisha vifo vya watu 25 na mtoto wa kiafghanistan Murtaza Ahmadi akutana na Lionel Messi.
Aleppo yaangukia mikononi mwa Assad
Umoja wa Mataifa wasema uko tayari kusaidia kuwahamisha raia, wagonjwa na majeruhi kutoka mashariki mwa Aleppo.
Matatizo yanayowakumba watoto wa Aleppo
Watoto wengi waliozaliwa wakati wa vita vya Syria wanakabiliwa na hali ya mateso
Vita vya Aleppo vyafikia ukingoni
Jeshi limekamata asilimia 98 ya eneo la Mashariki mwa Syria
Palmyra yarudi tena mikononi mwa IS
Urusi inasema zaidi ya waasi 700 wamejisalimisha na kuhamishishwa magharibi mwa Aleppo.
Matangazo ya Mchana 11.12.2016
..........
Umoja wa Mataifa kuipigia kura Syria
Ujerumani na Urusi zaijadili Syria
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani na Urusi wajadili hali ya Syria, Zoezi la kuhesabu kura laendelea nchi Ghana, huku upinzani ukidai kuongoza kwa kura nyingi na Idadi ya mnyama aina ya Twiga yapungua duniani.
Watu 120 wauwawa kwenye mashambulio ya angani nchini Irak
Spika wa bunge ahimiza uchunguzi ufanyike kubainisha chanzo cha mauaji hayo ya raia
Vikosi vya serikali ya Syria vyakaribia kudhibiti Aleppo
Vikosi vya serikali ya Syria vyaripotiwa kupata ushindi katika ngome za mwisho mashariki mwa Aleppo
Syria na Ukraine kutawala mkutano wa OSCE
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, ameitaka Urusi kushirikiana kikamilifu.
Majejshi ya Syria yakomboa maeneo yote ya Aleppo
Asilimia 75 ya mji wa Aleppo Mashariki inashikiliwa na jeshi la Syria kwa sasa, waasi waliushikilia tangu mwaka 2012
Obama atoa hotuba ya mwisho kuhusu usalama
Obama amehutubia kwa mara ya mwisho kuhusu usalama na amesema vita dhidi ya ugaidi haipaswi kukanyaga haki za kiraia.
Urusi na China zapinga azimio la UN kuhusu Syria
Urusi na China zimelipinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kusitisha mapigano Aleppo.
04.12.2016 Matangazo ya jioni
Mazishi ya Fidel Castrol yawa ya kawaida
Matangazo ya jioni 03.12.2016
Waasi Syria wakabiliana vikali na serikali
Mji huo wa Aleppo bado unakabiliwa na mashambulizi makali dhidi ya jeshi na wapiganaji
Taasisi za kiraia zaukosoa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria
Mzozo hu umesababisha majanga makubwa ikiwa ni pamoja na vifo na uhalifu wa hali ya kibinaadamu.
Afrika Kusini yazindua chanjo ya majaribio ya UKIMWI.
Ripoti yaeleza kuwa huenda ndege iliyoanguka Colombia iliishiwa mafuta, Seneti nchini Colombia limepitisha kwa kauli moja mkataba wa amani nchini humo na Afrika Kusini yazindua chanjo ya majaribio ya UKIMWI.
Vita vya Alleppo vyawatia mashaka wahariri Ujerumani
Nchi za Magharibi kwa mara nyingine zimekaa kimya huku vita vikiendelea Aleppo
UN - mji wa Aleppo huenda ukawa" kaburi kubwa la pamoja"
UN yaonya mji wa Aleppo huenda ukawa" kaburi kubwa la pamoja"
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 33 wa 77
Ukurasa unaofuatia