You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
19.02.2017 Matangazo ya Mchana
Iraiq yasonga mbele Mosul, Trump azidi kukosolewa katika majukwaa mbalimbali na watu 25 wauwawa kwa mapanga huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo
Mzozo wa Syria wahoddhi mjadala wa G20
Mawaziri wa mambo nya nje wa Ujerumani na Ufaransa hawana matumaini makubwa ya ufumbuzi wa mzozo wa Syria
Mazungumzo ya amani ya Syria yaisha bila maelewano Astana
Marekani imetakiwa kueleza msimamo wake kuhusu mzozo wa Syria
Serikali ya Syria na upinzani wakutana Astana
Mazungumzo ya amani yanuia kusitisha vita na kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mzozo wa Syria uliodumu kwa miaka sita.
Wapinzani kushikiri mazungumzoya amani ya Syria
Makundi ya waasi nchini Syria yateua ujumbe utakaoshiriki mazungumzo ya amani mjini Geneva
Taarifa ya Habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Steinmeier achaguliwa Rais mpya wa Ujerumani, Wanajeshi wa Uturuki waingia km 30 ndani ya Syria, na watu 90 wauawa katika mapigano kati ya jeshi la DRC na kundi la wanamgambo
IS inajihami kijeshi katika maeneo ya mizozo
Guterres anasema IS sasa inawasajili wapiganaji na kutanua maeneo ya mashambulizi yao mbali na maeneo ya migogoro
Ugumu wa maisha wapelekea Wanigeria kuandamana
Rais Donald Trump atetea sera zake za uhamiaji akisema magaidi wamepania kuishambulia Marekani, Mgombea urais Ufaransa Francois Fillon aomba radhi kuhusu sakata la mkewe kulipwa mshahara bila kufanya kazi, Wanigeria waandamana kupinga ugumu wa maisha huku Rais Buhari akiendelea kuugua.
Amnesty: Serikali ya Syria imewanyonga watu 13,000
Wahanga walinyongwa katika gereza moja la kaskazini mwa Damascus linalofahamika kwa wafungwa kama "kichinjio”
Agizo la Trump lawaathiri mamia ya wasafiri
Mamia ya wasafirii wakwama katika viwanja kadhaa vya ndege, Jaji aagiza walio na visa waruhusiwe kuingia Marekani
Trump asitisha mpango wa wakimbizi Marekani
Trump anahoji hatua za kuzuia wakimbizi na wageni kutoka nchi za Kiislamu zitazuia mashambulizi ya kigaidi Marekani
Msichana wa miaka 16 kuhukumiwa Ujerumani
Safia anakabiliwa na mashtaka ya kukusudia kuua,kujeruhi na kuunga mkono makundi ya kigaidi
Al-Nusra Front washambulia makundi ya waasi Syria
Wanamgambo ambao walikuwa na mafungamano na Al-Qaeda wamefanya mashambulizi dhidi ya makundi mengine ya wanamgambo.
Trump aagiza ukuta ujengwe kati ya Marekani na Mexico
Ukuta kati ya Marekani na Mexico utagharimu mabilioni ya fedha na utakuwa wa umbali wa zaidi ya kilomita 3,000
Eneo la mashariki la Mosul lakombolewa
Iraq yatangaza kukombolewa eneo la mashariki la Mosul
Mazungumzo Syria yaendelea baada ya siku ngumu
Mazungumzo ya Astana yanalenga kufanikisha utiaji saini makubaliano ya amani.
Mazungumzo ya Syria yaanza kwa mashaka
Ujumbe wa waasi waweka sharti la kuheshimiwa kwanza kwa usitishaji mapigano
Mazungumzo ya amani ya Syria yaanza Astana
Waasi hata hivyo wamesema hawatakutana ana kwa kwa ana na serikali
Matangazo ya Asubuhi 21.01.2017
Donald Trump, ameapishwa rasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani katika sherehe zilizofanyika jijini Washington. Mazungumzo yenye lengo la kuutatua mzozo wa Syria yanatarajiwa kuanza Jumatatu ijayo nchini Kazakhstan. Na, nchini Kenya Zoezi la kusajili wapiga kura liliyoanza mapema wiki hii limezua mhemko wa kisiasa.
Taarifa ya Habari Asubuhi 19.01.2017
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imetangaza kuwa inajiandaa kupeleka majeshi yake nchini Gambia kama Rais Yahya Jammeh atakataa kuondoka madarakani//Rais wa Marekani, Barack Obama amekutana kwa mara ya mwisho na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House//Urusi na Uturuki zimeunganisha majeshi yake na kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo nchini Syria
Polisi inamuhoji mshukiwa wa shambulizi la Istanbul
Polisi nchini Uturuki wameanza kumuhoji mshukiwa wa shambulizi katika klabu ya usiku ya Istanbul wakati wa mwaka mpya.
Matangazo ya asubuhi 14.01.2017
Katika matangazo ya asubuhi leo: Syria yailaumu Israel kwa kuushambulia uwanja wake wa kijeshi wa ndege. Balozi wa Marekani wa Umoja wa Mataifa amtaka Trump asisitishe mchango wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank-Walter Steimeier asema Colombia imefungua ukurasa mpya wa historia kutokana na juhudi za amani baina ya serikali na waasi wa FARC
Syria yaishutumu Israel kwa mashambulizi
Syria yaionya Israel kwa shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah
Syria tayari kwa mazungumzo
Hatua hii inafuatia mpango wa kusitisha mapigano uliosimamiwa na Urusi na Uturuki
Iran yatangaza maombolezo ya kitaifa
Serikali ya Iran imetangaza siku tatu za maombelezo ya kitaifa.
Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kusogea hadi mto Tigris
Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kusogea hadi mto Tigris
08.01.2016 Matangazo ya Mchana saa 7:00 (Afrika Mashariki)
07.01.2017 Matangazo ya Jioni
Urusi yaanza kupunguza idadi ya wanajeshi Syria
Wakati hayo yakiarifiwa ndege za kivita za serikali ya Syria zimeyashambulia kwa mabomu wilaya ya waasi
06.01.2017: Taarifa ya habari asubuhi
06.01.2017: Taarifa ya habari asubuhi
Iraq yaimarisha mashambulio Mosul
Kamanda wa kijeshi wa Marekani anayeongoza ushirkiano wa vikosi hivyo amesema wanashuhudia ufanisi katika nyanja zote
Uturuki yasema mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria yatahatarisha mazungumzo ya amani ya mwishoni mwa mwezi. Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Gambia akimbilia Senegal kwa kuhofia maisha yake. Na, mwanamuziki maarufu, Janet Jackson, ajifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.
Mazungumzo ya amani ya Syria yako hatarini
Kitisho cha kuvunjika makubaliano ya kuwekam chini silaha nchini Syria
Upinzani na serikali DRC wakutana leo kujadili njia za kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa. Polisi wa Uturuki wachapisha picha ya mtuhumiwa wa shambulio la Mwaka Mpya mjini Istanbul Na, watu 60 wauawa katika gereza moja nchini Brazil kufuatia ghasia kubwa baina ya makundi hasimu.
Uturuki yaitaka Marekani kuvunja uhusiano na YPG
Uturuki imesema kuwa Marekani haipaswi kuruhusu uhusiano kati ya mataifa hayo mawili kusitishwa kutokana na ugaidi
Mshambuliaji wa Istanbul atajwa kuwa sugu
shambulizi lilitekelezwa kwa ustadi wa kuonyesha kuwa mshambuliaji huyo ni mwenye uzoefu wa mashambulizi.
Syria: Makundi ya waasi yajitenga na mazungumzo ya amani
Guterres akusudia kuiboresha UN
Guterres akusudia kurejesha hadhi ya umoja wa mataifa
Telegram yamkamatisha mtuhumiwa ugaidi Ujerumani
Maafisa wa usalama walinasa mawasiliano yake na mtu aliye ndani ya Syria ambaye alitaka amuunganishe na IS.
Wanane wakamatwa Uturuki, mashambulizi ya mwaka mpya
Mshambulizi aliyetoroka hakuwa miongoni mwa wale wanaouzuliwa
Mashambulizi yatishia mpango wa kusitisha mapigano Syria
Jeshi la serikali ya Bashar al-Assad yanazidi kuyachukuwa maeneo yanayoshikiliwa na waasi karibu na mji, Damascus.
Uturuki yaapa kupambana na Magaidi
Uturuki yasema haitawavumilia Magaidi
Tarehe: 01.01.2017: Matangazo ya asubuhi
Kansela Merkel asema Wajerumani wako imara zaidi ya ugaidi.
Tarehe 01.01.2017:Taarifa ya habari asubuhi
Watu 35 wauawa kwenye kilabu ya usiku mjini Istanbul
Matangazo ya Jioni 31.12.2016
Waasi Syria watishia kubatilisha makubaliano ya kusitisha mapigano. China yapiga marufuku biashara ya pembe za ndovu nchini humo. Na, Vikwazo vipya vyachelewesha kuwekwa saini makubaliano ya amani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Matangazo ya Mchana 31.12.2016
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kukomesha mapigano Syria. Ban Ki-moon auaga Umoja wa Mataifa kama Katibu Mkuu. Na, Waandishi habari 93 waripotiwa kuuawa wakiwa kazini duniani kote ndani ya mwaka mzima wa 2016.
Putin asema hatalipiza kisasi Marekani
Rais wa Urusi Vladimir Putin asema hatalipiza kisasi kwa Marekani baada ya kuiwekea vikwazo, Makubaliano ya kusitisha mapigano Syria yaanza kutekelezwa na Saddam Hussein anatimiza miaka kumi tangu alipouawa kwa kunyongwa.
Kerry azungumzia Israel na Palestina
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ahutubia kwa mara ya mwisho kuhusu mzozo wa Israel na Palestina, Urusi na Uturuki zanuia kusitisha mapigano nchini Syria kabla ya mwaka mpya na Rai wa Msumbiji wakimbia makazi yao kufuatia mzozo wa serikali, upinzania na waasi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 32 wa 77
Ukurasa unaofuatia