You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Theresa May asaini waraka wa kujiondoa EU
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May asaini waraka wa kujiondoa Umoja wa Ulaya; Simone Gbagbo afutiwa mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita; na Viongozi wa nchi za Kiarabu wanakutana Jordan katika mkutano wa kilele unaozungumzia vita vya Syria, Iraq, Libya na Yemen mapambano dhidi ya ugaidi.
Wakazi katika miji inayozingirwa nchini Syria kuhamishwa
Wakazi katika miji inayozingirwa nchini Syria kuhamishwa
Amnesty International : Mamia wauwawa Iraq
Amnesty International : Mamia wauwawa Iraq
Rais wa Iran Hassan Rouhani aizuru Urusi
Mada kuu kati ya Rouhani na Putin inatarajiwa kuwa mzozo wa Syria, ushirikiano wa kibiashara na kukabiliana na ugaidi.
Chuma cha Baghdadi kimotoni, Rex Tillerson
Muungano wa mataifa dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS, unaoongozwa na Marekani, umeapa kuwaangamiza
Raia 33 wauawa Syria katika mashambulizi
Yanajiri wakati maafisa wakuu kutoka nchi 68 ambazo zinapambana na IS wakitarajiwa kukutana jijini Washington Jumatano
Mapambano dhidi ya IS chini ya Trump
Mkakati wa Tump dhidi ya IS hautofautiani sana na mpango wa Obama na hilo huenda lisibadilike.
Majeshi ya Syria yajibu mashambulizi
Mashambulizi ya ghafla dhidi ya vikosi vya serikali yazusha taharuki katika mji wa Damascus
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 20.03.2017
19.03.2017- Matangazo ya Jioni. Saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Waasi wa mwisho waendelea kuondoka mji wa Homs
mji wa Homs uliokuwa ngome yao kuu katika mapambano dhidi ya utawala wa rais Bashar Al Assad nchini Syria.
Majeshi ya Marekani yawaua wanajihadi wa Al-Qaeda Syria
Syria nayo yasema imezidungua ndege za Israel
Taarifa ya Habari za Asubuhi 17.03.2017
Katika Taarifa ya Habari leo Asubuhi: Watu zaidi ya 40 wameuwawa msikitini nchini Syria. Kansela wa Ujeruamni Angela Merkel anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington. Waziri wa maendeleo wa Ujerumani Gerd Müller atoa mwito wa kupatikana misaada ya haraka ili kuepusha njaa
Mapinduzi yaliokwapuliwa Syria
Syria: mapinduzi yaliokwapuliwa
Taarifa ya habari za Asubuhi 15.03.2017
Miongoni mwa taarifa: wananchi wa Uholanzi waelekea katika uchaguzi wa bunge leo hii. Umoja wa Ulaya wazindua mpango wa kuijenga tena Syria baada ya kumalizika vita. Na Moussa Faki Mahamat amechukua rasmi wadhifa wa Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Afrika.
UNICEF yasema mamia ya watoto wameuawa Syria
UNICEF yasema mamia ya watoto wameuawa nchini Syria
Wanaume wawili watiwa mbaroni kwa tishio la ugaidi Essen
Wanaume wawili wamekamatwa kwa tishio la ugaidi katika mji wa magharibi wa Essen ,Ujerumani dhidi ya kituo cha maduka.
Matangazo ya Mchana 12.03.2017
Mchana huu tumeandaa: Mvutano kati Uturuki na Uholanzi. CCM yawatimua vigogo kadhaa wa chama. Makaburi ya jumla jamala Mosul
Matangazo ya jioni 11.03.2017
Katika matangazo yetu leo jioni: Ndege ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu yanyimwa ruhusa ya kutua nchini Uholanzi. Watu wapatao 40 wameuwawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Syria, Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu duniani utakaosabishwa na baa kla njaa
Erdogan, Putin wazidisha ushirikiano kwa Syria
Umoja wa Mataifa yaishutumu Uturuki kwa mauaji ya Wakurdi.
UN yatangaza mazungumzo mapya ya Syria
Umoja wa Mataifa watangaza raundi nyingine ya mazungumzo ya amani ya Syria, Kiasi ya wasichana 21 wafa kwenye tukio la moto Guatemala na Barcelona yaiondosha PSG kwa jumla ya mabao 6-2 kwenye ligi ya mabingwa Ulaya. Papo kwa Papo: 09.03.2017
Mazungumzo mapya ya Syria kuanza Machi 23
De Mistura atangaza tarehe mpya ya mazungumzo ya Syria
Mapambano mapya dhidi ya marufuku ya Trump
Amri mpya ya Trump imejaribu kuondoa masuala yaliosababisha hasira mara ya kwanza.
Iraq: Majeshi yadhibiti majengo ya serikali
Majeshi ya serikali yadhibiti eneo la majengo ya serikali Magharibi mwa Mosul
Matangazo ya Jioni 05.03.2017 saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Iraq yaridhishwa,Trump kuiondoa kwenye marufuku ya usafiri
Iraq imeonesha kuridhishwa kwake na hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kuiondoa nchi hiyo kutoka kwenye orodha.
Matangazo ya Mchana 05.03.2017 saa 7:00 (Afrika Mashariki)
Maelfu wakimbia mapigano makali Syria
Maelfu ya raia wa Syria wayakimbia mapigano makali kati ya vikosi vya serikali na na wapiganaji wa kundi la IS.
Mazungumzo ya Geneva yahitimishwa
Mazungumzo ya amani ya Syria yakamilika bila kufikiwa makubaliano
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 03.03.2017
Urusi yatuhumu upinzani Syria kuhujumu mazungumzo
Urusi imeushutumu ujumbe unaowakilisha upinzani Syria kuhujumu mazungumzo ya amani mjini Geneva
Urusi na China zapinga kuiwekea vikwazo Syria
Taarifa ya habari za asubuhi 01.03.2017
Urusi na China zimepinga kuiwekea Syria vikwazo vya Umoja wa Mataifa kupitia kura ya turufu. Ujerumani waaandamana kudai uhuru wa mwanahabari Deniz Yucel. Na, Somalia yatangaza janga la kitaifa la ukame.
Trump kutangaza bajeti kubwa zaidi ya kijeshi
Rais wa Marekani kutangaza bungeni bajeti yake ya kwanza ikiwa na ongezeko kubwa katika matumizi ya kijeshi,Nchini Chile mafuriko yazua balaa kubwa na huko Libya wakimbizi wanawake na watoto wakiafrika wateswa kwa kubakwa na kupigwa
Umoja wa Mataifa kupiga kura kuiwekea vikwazo Syria
Umoja wa Mataifa kupiga kura kuiwekea vikwazo Syria
Upinzani Syria kukutana na ujumbe wa Urusi
Hayo yanajiri katika mazungumzo ya kutafuta amani ya Syria yanayoendelea Geneva, Uswisi
Raia 32,000 wa Sudan Kusini wakimbia ukame nchini mwao
Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR lasema raia wapatao 32,000 wa Sudan Kusini wakimbia ukame nchini mwao; Filamu ya Moonlight yashinda Filamu Bora katika tuzo za Oscar; na Vikosi vya Iraq vyazidi kusonga mbele Mosul katika mapambano na IS. Papo kwa Papo 27.02.2017
Putin asifu mazungumzo ya Khazakhstan
Putin asema mazungumzo ya Astana yafungua njia ya mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva
26.02.2017 Matangazo ya Mchana
26.02.2017 Matangazo ya Mchana
Mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaendelea Geneva
Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Syria yaendelea mjini Geneva lakini mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa asema hatarajii suluhu ya haraka. Afrika Kusini kumezuka fujo dhidi ya kuwepo wahamiaji nchini humo. Na kongamano la kimataifa la ahadi za ufadhili wa msaada kwa nchi za ziwa Chad wafanyika Oslo, Norway.
UN kupiga kura dhidi ya zana za kemikali Syria
Mapigano hayo yamedumu kwa kipindi cha miaka sita sasa
Mazungumzo ya amani ya Syria yafunguliwa Geneva
Mazungumzo hayo yanakuja wakati wanajeshi wa Uturuki na wa upinzani Syria wakiukamata mji wa al-Bab kutoka kwa IS
Mwenye uraia wa Norway atangazwa waziri mkuu wa Somalia
Mohamed aliyeapishwa siku ya Jumatano, mwenyewe ana uraia pia wa Marekani.
Mazungumzo ya amani ya Syria, je yapo matumaini?
Upinzani unataka mazungumzo ya ana kwa ana
Taarifa ya Habari Asubuhi 23.02.2017
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema umoja huo, unahitaji Dola bilioni 4.4 za dharura kwa ajili ya kuyasaidia mataifa yenye njaa//Ikulu ya Marekani imechelewesha kutangaza amri mpya za rais za kuwazuia raia wa mataifa saba ya Kiislamu kuingia nchini humo//Urusi imeitaka Syria kuacha mashambulizi wakati wa duru mpya ya mazungumzo ya amani yanayoanza leo mjini Geneva, Uswisi
Mazungumzo ya amani ya Syria kuanza tena Geneva
Mazungumzo hayo yanaanza huku kukiwa na hali ya kutoaminiana kati ya pande mbili kuu husika.
Amri mpya ya rais Trump yalenga mataifa yale yale
Amri ya rais Donald Trump kuwapiga marufuku wasafiri ambayo amesema ataifanyia marekebisho bado inalenga nchi zile zile.
Watuhumiwa wa IS wafikishwa mahakamani Mombasa
Watu wanne Kenya wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS, wamefikishwa katika mahakama ya Mjini Mombasa na kushtakiwa kwa kosa la kupanga njama za kufanya mashambulio nchini humo.
Vikosi vya Iraq vyazidi kusonga mbele Mosul
Taarifa ya Habari Asubuhi 20.02.2017
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria, Staffan de Mistura amehoji kuhusu ushiriki wa Rais wa Marekani, Donald Trump katika kuutatua mzozo wa Syria // Vikosi vya Iraq vinavyoungwa mkono na Marekani, vimeanzisha mashambulizi makubwa ya anga na ardhini kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa IS // Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, hana mipango ya kuachia madaraka.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 31 wa 77
Ukurasa unaofuatia