You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Syria yakataa waangalizi wa UN kwenye maeneo salama
Tamko hilo ni baada ya makubaliano kufikiwa na Urusi,Iran na Uturuki yalioanza kufanya kazi Jumamosi
Matangazo ya Jioni 06.05.2017
Katika matangazo yetu leo jioni:Himaya za nje za Ufaransa zimeanza zoezi la kupiga kura. Waziri mkuu wa zamani wa kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza Ismael Haneyah achaguliwa kuiongoza Hamas. Tume ya uchaguzi nchini Ufaransa yatoa amri kuwa barua pepe za mgombea wa urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron zilizodukuliwa zisienezwe
Taarifa ya habari za asubuhi 05.05.2017
Wadhamini wakubaliana kubuniwa maeneo salama Syria
Wadhamini watatu wakuu wa mpango wa usitishwaji mapigano nchini kote Syria, Alhamis walitia saini mkataba wa kubuni.
Usitishaji wa mapigano Syria
Usitishaji wa mapigano Syria
Marekani, Urusi zashutumiana UN kuhusu Syria
Nikki amehimiza shinikizo dhidi ya Urusi ili kukomesha madhila yanayowakumba Wasyria.
Marekani yawawekea vikwazo wanasayansi 271 wa Syria
Watu zaidi ya 80 waliuwawa katika jimbo hilo linaloshikiliwa na waasi.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 25.04.2017
Katika taarifa yetu ya habari leo asubuhi: Rais wa Marekani Donald Trump na kansela wa Ujerumani Angela Merkel waijadili Korea Kaskazini. Watu wawili zaidi wauwawa kwenye maandamano nchini Venezuela. Marekani yawawekea vikwazo vipya maafisa wa Syria. Umoja wa Mataifa walaani video ya mauaji ya maafisa wake katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
22.04.2017 Matangazo ya Asubuhi
Shambulio lililofanywa na mtuhumiwa wa itikadi kali mjini Paris limelifanya suala la usalama wa taifa kuwa kuwa ajenda ya kitaifa. Na chama chenye siasa kali za mrengo wa kushoto, AfD, leo kinafanya mkutano wake mkuu mjini Cologne.
Kenya yaanza zoezi la kura za mchujo
Kundi la magaidi la Dola la Kiislamu ladai kuhusika na shambulio la mjini Paris Ufaransa. Hali bado ni tete huko Venezuela, maandamano yakipamba moto. Na Kenya yaanza zoezi la kura za mchujo ndani ya vyama. Papo kwa Papo 21.04.2017.
Mshambuliaji aua polisi Paris
Polisi mmoja ameuliwa na wengine wawili kujeruhiwa na mtu mmoja aliyewashambulia kwa risasi katika mji mkuu wa Ufaransa.
Matangazo ya Jioni 20.04.2017
Taarifa ya habari za asubuhi 17.04.2017
Upinzani nchini Uturuki wapinga ushindi wa kura ya maoni wa Rais Erdogan. Kituo cha umeme Gaza chaishiwa mafuta. Papa Francis alaani mashambulizi ya Syria.
Tarehe 16,04,2017- Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na : Upigaji kura ya maoni waanza Uturuki// Papa Francis alaani ufisadi na mateso yanayosulubisha utu// Idadi ya waliouawa katika shambulizi la bomu nchini Syria yafikia 112.
Maelfu ya Wasyria wakwama
Mkwamo wawatia khofu maelfu ya Wasyria wanaosubiri kuondoka maeneo ya vita yalozingirwa
Marekani yashambulia Afghanistan
Jeshi la Marekani lilishambulia mifumo wa njia za chini ya ardhi za kundi la Dola la Kiislamu nchini Afghanistan
Shambulizi la kemikali Syria"uongo" mtupu-Assad
Jeshi la Syria limesema vikosi vya Marekani vimewaua mamia ya watu baada ya kushambulia ghala moja la silaha la IS
Mahusiano ya Marekani, Urusi yafikia kiwango cha chini
Nchi hizo zinatofautiana vikali kuhusu suala la mustakabali wa kisiasa nchini Syria
Urusi yaishutumu Marekani kwa shambulio la Syria
Urusi yaishutumu Marekani kwa shambulio la Syria
Urusi na Marekani katika mazungumzo tete ya Syria
Urusi yashikilia msimamo wa kumkingia kifua rais wa Syria Assad anayebebeshwa lawama na Marekani juu ya silaha za sumu
Bashar al-Assad hastahili katika mustakabali wa Syria
Rais Bashar al-Assad hastahili kuwa katika mustakabali wa nchi ya Syria, ndiyo kauli iliyotolewa
Marekani itayari kufanya mashambulizi zaidi Syria
Mkutano wa mataifa saba yaliyoendelea zaidi kiviwanda duniani-G7 unaendelea leo huko Lucca, Italia.
Wanaofanya uhalifu dhidi ya binadamu kuadhibiwa
Marekani imesema itamuadhibu yeyote anaefanya uhalifu dhidi ya binadamu mahali popote duniani.
Sheria ya hali ya hatari yatangazwa Misri
Hali ya hatari yatangazwa Misri baada ya shambulio la IS dhidi ya kanisa la Koptik kuelekea Pasaka,Wasweden waomboleza baada ya shambulio la kigaidi,Mji wa Kinshasa wazizima baada ya maandamano ya upinzani kuzimwa na Sudan Kusini mapigano ya kikabila yazuka upya
G7, Marekani yatakiwa kueleza msimamo dhidi ya Syria
Kitisho cha kijeshi kutoka Korea Kaskazini na jukumu la Urusi nchini Syria vinatarajiwa kuwa juu kwenye ajenda
Matangazo ya jioni 09.04.2017
Matangazo ya mchana 09.04.2017
08.04.2017 Matangazo ya Jioni
Polisi Sweden wanaongeza imani kwa umma kwamba wamemkamata yule mtu aliyehusika na shambulizi kwa kutumia lori. Marekani imeahidi kulisambaratisha kundi lijiitalo Dola la Kiislamu na watu 60 wameuwawa katika mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Marekani yatishia mashambulizi zaidi Syria
Marekani ilifyatua makombora 50 aina ya Tomahawk tokea meli za kivita dhidi ya uwanja wa ndege wa Shayrat karibu na Homs
Matangazo ya asubuhi 08.04.2017
Hali imeendelea kuwa tete kuhusu eneo la Mashariki ya Kati, kufuatia hatua ya Marekani kukishambulia kituo cha wanaanga cha jeshi la Syria jana alfajiri. Chama tawala cha Afrika Kusini ANC huena kikaanguka katika uchaguzi mkuu ujao. Kiongozi wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh amekuwa akiishi maisha ya ukimya tangua aondolewe madarakani mwezi Januari huko Banjul.
Taarifa ya asubuhi 08.04.2017
Polisi nchini Sweden wamemkamata mwanaume wa pili anayeshukiwa kuhusika katika shambulio la lori siku ya Ijumaa, Marekani imeonya kwamba inaweza kuchukua hatua zaidi kuishambulia Syria. Na Rais Joseph Kabila amemtangaza Bruno Tshibala kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
Trump akutana na Xi Jinping, Florida
Marekani yaishambulia Syria kwa makombora
Urusi yasema ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa
Syria, Urusi zakanusha kufanya shambulizi la sumu
Marekani imeliita shambulizi hilo kuwa ukiukaji wa ubinaadamu
UN yataka Waarabu waisaidie Syria
Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, linayataka mataifa ya Ghuba kujitolea zaidi kuwasaidia raia wa Syria.
Wahariri Ujerumani wazungumzia sheria ya chuki na uzushi
Wasemavyo wahariri wa magazeti ya Ujerumani Alhamisi 06.04.2017
Trump asema mtazamo wake kwa Syria umebadilika
Kabila kumteua Waziri Mkuu ndani ya saa 48
Viongozi wa dunia wakutana kujadili shambulizi la sumu Syria, Rais wa Congo Kabila aahidi kumteua Waziri Mkuu ndani ya saa 48 na shinikizo lamsakama Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
Matumizi ya silaha za sumu Syria kuchunguzwa
Matumizi ya silaha za sumu Syria kuchunguzwa
Mashambulizi ya kigaidi na hotuba ya Steinemeier Magazetini
Mashambulizi ya kigaidi na hotuba ya Steinemeier Magazetini
Taarifa ya habari za asubuhi 05.04.2017
Mashambulizi ya kemikali yaua watu 100 Syria. Wagombea urais nchini Ufaransa wakutana katika mdahalo wa televisheni wiki chache kabla ya uchaguzi. Marekani yataka kuona ushahidi kutoka serikali ya Sudan kuwa yaweza kulinda raia wake.
Makaburi zaidi ya pamoja yagunduliwa Congo
Urusi imeanza maombolezo ya siku tatu baada ya shambulio la bomu lililouwa watu 14, watu 58 wameuwawa kwa gesi ya sumu nchini Syria na Umoja wa Mataifa umegundua makaburi ya pamoja zaidi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Papo kwa Papo 04.04.2017
Mashambulizi ya sumu yauwa watu 58 Syria
Shambulio hilo limejiri wakati mjini Brussels, ukianza mkutano wa wafadhili wa kimataifa kuchangia Syria.
Matangazo ya Jioni: 01.04.2017
Hungary yazindua kampeni ya kuupinga umoja wa Ulaya ambayo kupitia uchunguzi inawataka watu kutoa maoni yao kuhusu namna ya kukabiliana na sera za Umoja wa Ulaya ambazo inasema zinatishia uhuru wa nchi hiyo, Iran leo hii imepinga madai yaliyotolewa na waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis kwamba ilikuwa ni msambazaji wa kwanza wa ugaidi, na Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi azuru Marekani
01.04.2017 Matangazo ya Asubuhi
Kundi la wapiganaji linalojiita Dola la Kiislamu, IS l na wapiganaji wenye mafungamano na kundi la kigaidi la al-Qaida wanaendeleza ghadhabu kuhusiana na ongezeko la kasi la vifo vya raia na utasikia kuhusu Ujerumani kuwa na tajiriba na masuala ya ujenzi wa ukuta lakini kumbukumbu zake sio za furaha.
Upinzani Syria wasema Assad hana nafasi tena
Hayo yanajiri wakati mazungumzo ya Syria yanayofanyika Geneva yakitumbukia kwenye mzozano wa urasimu_
Tillerson: Hatma ya Assad itaamuliwa na Wasyria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson asema majadiliano zaidi yanahitajika kufanyika kuhusu Syria.
UNHCR: Idadi ya wakimbizi wa Kisyria yapindukia milioni tano
UNHCR imesema idadi ya wakimbizi wa Kisyria imepindukia milioni tano, Kansela Merkel wa Ujerumani apinga sharti la Uingereza kuhusu mazungumzo ya Brexit na sanamu ya Ronaldo yazusha gumzo
Tillerson anazuru Uturuki
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson amewasili Ankara na anakutana na viongozi wa Ututuruki.
Israel yahujumu amani Mashariki ya Kati, Mfalme Abdullah
Mfalme wa Jordan Abdullah wa pili ameuambia mkutano wa mataifa ya Kiarabu kwamba amani haiwezi kupatikana katika kanda
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 30 wa 77
Ukurasa unaofuatia