You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yasifu makubaliano kati ya Syria na Wakurdi
Siku ya Jumatatu, ofisi ya rais wa Syria ilitangaza makubaliano na mkuu wa SDF ya kuunganisha taasisi zake serikalini.
Syria yaahidi kuzuia makabiliano ya kulipa kisasi
Syria imesema leo kuwa nchi hiyo imeazimia kuzuia kulipiza kisasi kinyume cha sheria.
Israel yaishambulia mifumo ya ulinzi ya Syria
Jeshi la Israel limesema leo kwamba ndege zake za kivita zililishambulia eneo la kusini mwa Syria usiku kucha.
Sharaa asaini makubaliano na kikosi cha Wakurdi
Syria chini ya rais wa mpito Ahmed al-Sharaa imeyavunja makundi yenye silaha na kuwezesha udhibiti wa serikali.
Kamanda wa SDF ayasifu makubaliano na serikali
Syria imekumbwa na ghasia mbaya kabisa tangu kupinduliwa kwa Bashar al-Assad na kukosolewa vikali.
Rais wa Syria aapa kushughilikia mauaji ya jamii ya Alawite
Umoja wa Mataifa umesema unaendela kupokea ripoti za kushtusha za familia zinazouwawa Kaskazini magharibi mwa Syria.
Umoja wa Mataifa wataka mauaji ya raia yakomeshwe Syria
Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya raia Kaskazini magharibi mwa Syria yanapaswa kukomeshwa mara moja.
Ahmed al-Sharaa atoa wito wa kudumisha amani Syria
Mapigano hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 wengi wao wakiwa raia kutoka jamii ya Alawite.
Kiongozi wa Syria awataka Waalawi kuweka chini silaha
Kiongozi wa Syria, Ahmed al-Sharaa amewataka wapiganaji wa kikabila kuweka chini silaha au wataandamwa na mkono wa dola.
Syria yaanzisha operesheni ya usalama dhidi ya wapiganaji
Syria imeanzisha operesheni ya usalama baada ya watu 70 kuuawa katika amshambulizi nchini humo.
Asasi: Mapigano Syria yasababisha vifo vya watu 70
Mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Syria na makundi yanayomtii Bashar al-Assad yamesababisha vifo vya watu 70.
Vikosi vya Syria vyaanzisha operesheni ya kiusalama Latakia
Wizara ya ulinzi ilikusanya vikosi vyake kuwasaka wanamgambo hao waliowashambuliwa maafisa wa usalama.
Wito wa Ocalan wa kukivunja chama chake cha PKK wapongezwa
Pande mbalimbali zimepongeza na kuisifu hatua hiyo ambayo wameiita kuwa ni muhimu kwa usalama wa kikanda
Hamas: Hakuna mazungumzo na Israel hadi wafungwa waachiwe
Hamas yasema Israel kuchelewesha kuwaachia wafungwa wa Kipalestina, ni ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
EU yaanza kusitisha vikwazo vya kiuchumi ilivyoiwekea Syria
Uamuzi huo unaanza kutekelezwa Jumanne baada ya kuchapishwa kwenye Jarida Rasmi la Umoja wa Ulaya.
Rais mpya wa Syria aalikwa kwenye mkutano wa dharura Misri
Mwaliko huo unachukuliwa kuwa hatua kubwa katika kurejesha uhusiano wa Syria na mataifa ya Kiarabu.
Marekani yamuuwa mkuu mmoja wa kundi la kigaidi Syria
Marekani yafanya shambulizi dhidi ya kundi la Hayat Tahrir al-Sham nchini Syria.
EU kuondoa vikwazo katika sekta ya benki na nishati Syria
Hatua hiyo inayotarajiwa kuidhinishwa katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya.
EU na Marekani zashinikiza Syria kuondolewa vikwazo
Vikwazo vilivyowekwa dhidi ya serikali ya zamani ya al-Assad, vinaendelea kuwepo licha ya kuondolewa kwake madarakani.
Jumuiya ya kimataifa yaunga mkono mpito mpya wa Syria
Serikali mpya ya Syria inashawishi mataifa ya Magharibi kulegeza vikwazo ili kusaidia ujenzi wa uchumi wa nchi hiyo
Jumuiya ya kimataifa yaapa kuiunga mkono Syria
Jumuiya ya kimataifa imetoa ahadi ya kuliunga mkono taifa la Syria katika mchakato wa mabadiliko ya uongozi.
Jumuiya ya Kimataifa yaahidi kuiunga mkono Syria
Mataifa ya magharibi na yale ya ulimwengu wa kiarabu yameahidi kuiunga mkono Syria katika kipindi muhimu cha mpito.
Shambulio linaloshukiwa kuwa la kigaidi laua watu 32 Mali
Shambulio hilo lilitokea jana Ijumaa kwenye eneo linalopatikana kati ya miji ya kaskazini ya Gao na Ansongo.
Macron azungumza na Erdogan kuhusu hali inayoendelea Syria
Macron amesisitiza juu ya umuhimu wa kuheshimu kipindi cha utawala wa mpito.
Erdogan amsifu rais mpya wa Syria kwa kupambana na ugaidi
Sharaa alisafiri kuelekea Ankara kutoka Saudi Arabia ambako alitaka uungwaji mkono wa Saudia katika kuijenga upya Syria.
Takribani watu 15 wameua mlipuko wa bomu Syria
Takribani watu 15 wameua mlipuko wa bomu Syria
Rais wa Syria awasili Saudia Arabia kwa ziara ya kwanza
Sharaa, ambaye kundi lake la liliongoza mapinduzi mwezi Disemba, aliteuliwa kuwa rais wa mpito siku ya Jumatano.
Mashambulizi ya Marekani huko Somalia yawaua viongozi wa IS
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza shambulizi hilo la anga jioni ya jana Jumamosi.
Trump aagiza shambulio dhidi ya mratibu wa IS Somalia
Waziri wa Ulinzi Pete Hegseth amesema mashambulizi hayo ya Jumamosi yaliidhinishwa na Rais Trump.
Wachunguzi wa uhalifu UN wasema Syria ina ushahidi mwingi
Kamisheni ya uchunguzi inasema licha ya utawala wa Assad kujaribu kuharibu ushahidi, matumaini bado makubwa.
Rais mpya wa Syria aahidi mkutano wa majadiliano ya kitaifa
Sharaa ameahidi kulinda umoja wa Syria na kuwasaka wote waliohusika katika uhalifu wakati wa utawala wa Assad.
Kiongozi wa Qatar azuru Syria tangu kuangushwa kwa Assad
Serikali ya Bashar al-Assad iliondolewa mwezi Disemba, 2024 na kundi la Hayat Tahrir al-Sham, HTS likashika hatamu.
Interpol yawatia nguvuni watu 45 magharibi mwa Afrika
Kwenye operesheni hiyo dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya dola milioni 50 zilikamatwa.
Ahmed Al-Sharaa ateuliwa rais wa mpito Syria
Al-Sharaa anakabiliwa na jukumu zito la kuijenga upya Syria na kuleta demokrasia.
Ahmed Al-Sharaa ateuliwa kuwa Rais wa mpito Syria
Kuteuliwa kwa Sharaa kunaonesha mabadiliko makubwa baada ya miaka 14 ya vita.
Uturuki yaomba ushirikiano kupambana na wapiganaji wa PKK
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa PKK.
25.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi kutoka DW Bonn
UN:Pawepo mpango endelevu wa kurejea kwa wakimbizi wa Syria
UNHCR inasema zaidi ya wakimbizi 200,000 wa Syria wamerejea makwao tangu kuondolewa kwa Assad mapema mwezi Desemba.
Donald Trump kuhutubia Mkutano wa Davos
Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria anataka nchi yake iondolewe vikwazo vilivyoweka wakati wa utawala wa Bashar al Asaad.
Ufaransa yatoa waranti mpya wa kukamatwa kwa Bashar al-Assad
Bashari Al-Assad alikimbilia Urusi na kupewa hifadhi ya kisiasa baada ya utawala wake kuangushwa na waasi Desemba 2024.
Volker Turk wa UN atoa mwito wa haki kuzingatiwa Syria
Turk ametowa mwito huo katika mkutano na waandishi habari mjini Damascus.
Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Schulze, aitembelea Syria
Waziri huyo wa maendeleo wa Ujerumani amesema Syria hivi sasa inayo fursa ya kuwa na amani na maendeleo baada ya Assad.
Mazungumzo kati ya Uingereza na Iraq kuashiria 'enzi mpya'
Mazungumzo hayo yametajwa na Iraq kuwa hatua ya kuashiria enzi mpya ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Ulaya, Arabuni wakutana kuijadili Syria
Mkutano huu unafungua mlango wa ujenzi mpya kwa taifa hilo muhimu kimkakati katika eneo la Mashariki ya Kati.
Mawaziri wa EU wajadili kulegeza vikwazo dhidi ya Syria
Kulegezwa kwa vikwazo kutategemea viongozi wapya wa Syria kutekeleza mchakato wa mpito wa kisiasa.
Israel yashambulia njia za kusafirisha silaha kwa Hezbollah
Jeshi la Israel limeeleza kwamba limezilenga ngome za kundi la wanamgambo la Hezbollah.
Mkutano wa kuisaidia Syria wafanyika Saudi Arabia
Mazungumzo hayo yanalenga kuiondolea vikwazo serikali ya sasa ya Syria baada ya kuanguka utawala wa Assad.
Wanadiplomasia wa Kiarabu na Ulaya wakutana kuisaidia Syria
Mataifa yenye nguvu duniani yanashinikiza kuwepo kwa utulivu baada ya kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad.
Ujerumani kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya Syria
Watu watatu wameuawa katika mkanyagano nje ya msikiti mmoja mjini Damascus
Uturuki yasema haina nia ya kuchukua eneo lolote la Syria
Uturuki imesema haina nia ya kulichukua eneo lolote la Syria kufuatia kuondolewa madarakani Bashar al-Assad.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 77
Ukurasa unaofuatia