You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mashambulizi ya kigaidi mjini Barcelona ni unyama
Wahariri wameandika zaidi kuhusu shambuliziya kigaidi Barcelona na Steve bannon kuondoka Ikulu ya Marekani
ICC yatoa agizo la kukamatwa kamanda mmoja wa Libya
Kamanda huyo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kinyama ya watu 33 waliowateka nyara mapema mwaka huu.
Umoja wa Mataifa yasema kundi la IS lingali kitisho
IS imejifunza namna ya kuunda na kuboresha ndege zinazoendeshwa bila rubani kufanya ukachero na mashambulizi.
Carla Del Ponte avunjika moyo kutokana na hali ya Syria
Mwendesha mashitaka mkuu wa zamani wa korti ya kimataifa ya uhalifu wa vita, ajitoa katika tume ya kuchunguza vita Syria
Taarifa ya habari ya asubuhi 31.07.2017
Katika taarifa ya habari za ulimwengu leo asubuhi: Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen aomboleza vifo vya wanajeshi wawili waliokufa baada ya helikopta yao kuanguka nchini Mali. Venezuela yapiga kura yenye utata ili kubadilisha katiba ya nchi hiyo. Wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia wadai kuwauwa askari 39 wa kikosi cha Umoja wa Afrika.
Taarifa ya habari za asubuhi 28.07.2017
Wapalestina 50 wajeruhiwa katika machafuko mapya na polisi wa Israel karibu na msikiti wa al-Aqsa. Baraza la Seneti la Marekani lapitisha mswada wa kumzuia Rais Donald Trump kuiondolea vikwazo Urusi. Idadi ya vifo kutokana na shambulio la Boko Haram yafika watu 50 nchini Nigeria.
Vikwazo dhidi ya Syria vyavuruga matibabu ya Saratani
Madaktari wa Damascus wakabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa maalumu za kutibu saratani kwa watoto.
23.07.2017-Matangazo ya Jioni saa 12:00 (Afrika Mashariki)
23.07.2017 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Vurugu zinaendelea mjini Jerusalem baada ya Wapalestina wawili kuuwawa, Rais Donald Trump wa Marekani adai ana mamlaka kamili ya kusamehe na kujisamehe na Serikali ya Syria hapo jana imetangaza kusitisha mapigano katika moja kati ya ngome ya mwisho ya waasi karibu na Damascus
22.07.2017 Matangazo ya Asubuhi
Kuna mamia ya vijana na watoto wa Kiiraqi waliokimbia vita bila ya kuandamana na wazazi wao.Ripoti zinasema wengi wa watoto hao sasa wamebaki wapweke wakiwasubiri wazazi wao.
Trump asitisha mpango wa CIA wa kuwasaidia waasi wa Syria
UAE yashutumiwa kuidukua Qatar
Ripoti yadai kudai kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulidukua tovuti ya Qatar na kuweka ripoti ya uwongo
UN kufikia maeneo zaidi Raqqa
Umoja wa Mataifa umesema unatumia njia zilizofunguliwa upya kupeleka chakula kwenye maeneo yaliyoko katika mji wa Raqqa
Mkutano wa G-20 na wafanyafujo magazetini
Mkutano wa G-20 na wafanyafujo magazetini
Amnesty yadai kufanyika uhalifu wa kivita Mosul
Mapigano ya hapa na pale yanaendelea mjini Mosul, hata baada ya Iraq kutangaza ushindi kamili kutoka kwa kundi la IS
Mazungumzo mapya juu ya Syria yaanza tena
De Mistura akabiliwa na kibarua kigumu kwa mara nyingine katika meza ya mazungumzo juu ya Syria
Jeshi la Iraq lasherehekea ushindi Mosul
Waziri Mkuu alifika mjini Mosul mwishoni mwa wiki kuwapongeza wanajeshi wake kwa kuukomboa mji huo kutoka kwa IS
Tarehe 08,07,2017: Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Marekani na Urusi zakubaliana kusitisha mapigano nchini Syria// Polisi wapambana na waandamanaji mjini Hamburg// Umoja wa Mataifa waidhinisha mkataba unaopiga marufuku silaha za nyukilia.
Marekani na Urusi zakubaliana kusitisha mapigano Syria
Ghasia zaongezeka mkutano wa kilele wa G20 mjini Hamburg
Gesi ya Sarin ilitumika kama silaha ya kemikali Syria
Matumizi ya silaha za kemikali
Marekani: Syria yaandaa shambulio la silaha za sumu
Ikulu ya Marekani imemwonya Rais Assad kwamba iwapo utawala wake utafanya shambulio la sumu utalipa gharama kubwa
Majeshi ya Iraq yaelekea kuukomboa mji wa Mosul
Wanajeshi wa jeshi la Iraq wanapambana kuukomboa mji wa Mosul wakati raia kadhaa wakiwa wamekwama bado
IS yauharibu msikiti wa kihistoria Mosul
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS, limeuharibu msikiti wa kihistoria wa karne ya 12 wa al-Nuri ulioko Mosul.
Leo ni Siku ya Wakimbizi duniani
Umoja wa Mataifa wasema Inakadiriwa kila baada ya sekunde tatu kuna mtu ambaye anayahama makazi yake.
Idadi ya wakimbizi duniani yaongezeka - UNHCR
Idadi ya watu walioyatoroka makaazi yao duniani ilifikia milioni 65.6 mwaka jana.
Urusi: Shambulio la ndege ya Syria ni ‘uchokozi’
Urusi imeitaka Marekani kuheshimu uhuru na mipaka ya Syria baada ya kuangusha ndege ya jeshi la Syria ,Raqqa.
17.06.2017 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Viongozi waomboleza kifo cha Kansela Kohl, Kansela Angela Merkel aonya athari za vikwazo vya Marekani na Urusi inachunguza taarifa ya kifo cha kiongozi wa IS.
Urusi yadai kumuua kiongozi mkuu wa IS
Mapambano makali yanaendelea kwenye mji wa Raqqa yaliko makao makuu ya kundi la kigaidi la Dola la Kiislamu.
11.06.2017 Matangazo ya Jioni
Raia wa Ufaransa leo hii wanapiga kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge, Waziri wa mambo ya nje wa Kuwait amesema Qatar ipo tayari kusikiliza wasiwasi wa mataifa mengine ya Ghuba na eshi la Marekani leo hii limefanya shambilizi la anga katika maeneo ya al Shabaab nchini Somalia
11.06.2017 Matangazo ya Mchana
Vituo vya kupiga kura vimefunguliwa katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa bunge nchini Ufaransa,Kansela Merkel wa ahimiza mataifa kudhibiti vyanzo vya ukimbizi na Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muamar Gaddafi, ameachiliwa huru.
UNICEF: Zaidi ya watoto 40,000 wako hatarini Raqqa
UNICEF yaonya mapigano ya kuukomboa mji wa Raqqa yanatishia kugharimu maisha ya zaidi ya watoto 40,000
Matangazo ya Jioni 04.06.2017
Kwenye matangazo yetu leo jioni: Watuhumiwa 12 wakamatwa na polisi mjini London kufuatia shambulio la kigaidi la jana usiku. Wanajeshi wa serikali ya Syria waukomboa mji wa mashariki ya Aleppo uliokuwa muhimu kwa wapiganaji wanaojiita Dola la kiislamu IS. Idadi ya mashabiki waliojeruhiwa kwenye uwanja wa mpira nchini Italia katika fainali kati ya Juventus na Real Madrid yaongezeka.
03,06.2017 Matangazo ya Jioni
Takribani watu 20 wameuwawa baada ya kutokea miripuko mitatu mfululizo katika mazishi ya mwanandamanaji mmoja nchini Afghanistan.
03.06.2017 Matangazo ya Mchana
China imekataa kusaini makubaliano ya pamoja na Umoja wa Ulaya kuhusu mabadiliko ya tabianchi na maswala mengine kutokana na mgogoro kuhusu biashara na Mashambulizi yanayoongozwa na Marekani yauwa raia 484 Iraq.
Marekani yatumia dola billioni 1 kuwapa silaha zaidi Wakurdi
Marekani yawaongeza silaha Wakurdi nchini Syria, lakini wanajeshi hao wanahutumiwa kutesa watu.
Idadi ya wanaojiunga na IS kutoka Balkan yarudi chini
taarifa rasmi kutoka kwa wawakilishi wa Bosnia na Albania zilionekana kuthibitisha kwamba mtindo wa magaidi.
28 wauawa shambulizi la Misri
Watu 28 wa dhehebu la Koptiki wauawa katika shambulizi la risasi nchini Misri
Mwanamgambo wetu ndiye aliyelipua Manchester: IS
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu linasema mmoja wa wanachama wake ndiye aliyejilipua katikati ya kundi la watu.
Habari za Asubuhi: 19.05.2017
Rais wa Marekani Donald Trump akanusha kumuomba mkurugenzi wa zamani wa FBI kusitisha uchunguzi dhidi ya mshauri wake wa zamani wa usalama wa taifa. Umoja wa Mataifa umesema pande zinazohasimiana Syria zimekubaliana kuhusu mchakato wa kikatiba. Na wapigakura nchini Iran leo wanamchaguwa rais mpya wa taifa hilo.
Wajue wagombea urais katika uchaguzi wa Iran
Uturuki yataka mwanadiplomasia Brett McGurk aondolewe
Uturuki yadai YPG ni mshirika wa chama cha wafanyakazi wa Kikurdi nchini Uturuki PKK
Trump na Erdogan waahidi ushirikiano zaidi
Uturuki inaituhumu Marekani kwa kuliunga mkono kundi la YPG
Taarifa ya Habari za Asubuhi 17.05.2017
Rais wa Marekani Donald Trump alilitaka shirika la upelelezi la FBI kusitisha uchunguzi dhidi ya aliyekuwa mshauri wake wa usalama wa taifa Michael Flynn//Duru mpya ya mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaanza Geneva huku matumaini ya kupatikana ufumbuzi yakiwa madogo//Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wamiminika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakitoroka mapigano.
Syria yakanusha madai ya kujenga tanuri la kuteketeza waasi
Madai ya kujengwa kwa tanuri hilo yamegubika mazungumzo yanayofanyika Geneva
Erdogan kukutana na Trump Jumanne
Hatua ya jeshi la Marekani kuwaunga mkono waasi wa YPG, ndiyo itakayokuwa mada tete wakati rais.
Trump adaiwa kufichua siri za kijasusi kwa Urusi
Kuvujishwa kwa taarifa hizo kunahujumu chanzo muhimu na makubaliano ya kubadilishana taarifa za kijasusi
Erdogan kukutana na trump
Erdogan alisema Uturuki inajaribu kuifahamu zaidi Marekani kwa vile bado nchi hiyo iko katika mabadiliko
Ujerumani haitaongeza kikosi cha jeshi Afghanistan, Merkel
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema Ujerumani itaendelea kuongoza mafunzo ya wanajeshi.
Uturuki yapinga Marekani kuwapa silaha YPG
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema hatua hiyo haichukui mwelekeo sahihi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 29 wa 77
Ukurasa unaofuatia